Search results

  1. Nyabutoro

    DOKEZO Mbunge wa Ngorongoro (CCM): Maisha yangu yapo hatarini

    wanamtengenezea safari nyingi nyingi sana yaani matukio kila kukicha kiasi kwamba hana kabisa muda na wanaoendesha serikali ni genge fulani lipo Kule kunani. Yaani Rais Samia ni mzalendo sana tena sana. HII NI KWELI, SASA NANI AMWAMBIE UKWELI MAANA HAWAMPI HATA MUDA WA KUSOMA VITU.
  2. Nyabutoro

    Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

    Usiigombanishe TEC na CCM, nenda kivyako
  3. Nyabutoro

    Prophet Sanga 2022: Niliona mawe yenye moto,nikaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto, ikakaa, tuombe

    Yeye alitabiri tu, wala usimtukane, kwa yanayoendelea ni kama vile kuna kitu kinaelekea kuwa kweli
  4. Nyabutoro

    Kuzuia habari Waraka wa Maaskofu kuripotiwa kwenye Vyombo vya Habari ni uminywaji wa kiwango cha juu sana katika utoaji habari

    Tena watu wanayaamini makanisa kuliko vyombo vya habari. Washauri wanaendelea kumpotosha Mama
  5. Nyabutoro

    Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

    Usipotoshe, wanapewa ruzuku kwenye maeneo ambayo Serikari imepungukiwa na uwezo wa kutoa huduma kwa jamii mfano Afya, elimu nk. Na haya madhehebu yanendesha kwa niaba ya Serikari mf KCMC, Ndolage Hospital, Bugando nk. Usipotoshe ukweli
  6. Nyabutoro

    Rais Samia, nikutakie kila la heri wakati huu mgumu kisiasa

    Wewe ndio wale wale wachawi wa Mama
  7. Nyabutoro

    Rais Samia, nikutakie kila la heri wakati huu mgumu kisiasa

    Nimelikubali sana andiko lako, ni kweli mama ana nia njema na watu ila amezungukwa na manyang'au.Kuna umuhimu wa kuwachukulia hatua kwa mujibu wa taratibu. Wameishakosea, badala ya kuchutama wanakimbia
  8. Nyabutoro

    Wakatoliki (TEC) wameanza, huenda wakafuata waprotestant (CCT), wapentekoste(PCT) na wasabato. Rais Samia nakushauri achana na DP world!

    Wewe na wenzio mna agenda za siri kuelekea 2025, lakini kama kweli mnamtakia mema Mama yetu kipenzi aliyetufungua minyororo ya utumwa ya awamu ya 5 mwambieni ukweli. Msitumie udhaifu wake wa upole uliopitiliza kumwangamiza.Sala za watu hazitawaacha salama.
  9. Nyabutoro

    Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

    Umeungana na Kitenge, hili litapita kwa kula za wananchi, wengi wape, uzuri Mama ni msikivu, yata mkijikombaa atawasikiliza walio wengi
  10. Nyabutoro

    Tuwape pongezi polisi kwa kuzuia nia ovu kwa kuwaweka sehemu salama wahusika!

    Kwa haraka haraka, ulipozaliwa hukunyonya maziwa ya mama, alafu ulilishwa makande, matokeo yake ukadumaa, pole sana
  11. Nyabutoro

    Rais Samia Ushauri huu wa Kikwete Uliusikia?

    Eti kupindua nchi, hiyo ni hatua kubwa mno, na mara zote huwa siri
  12. Nyabutoro

    Kuna viashiria vikubwa vya uvunjifu wa amani siku zijazo…

    Pole masikini, unaweza kutazama usione au ukatazama na kuona, muulize Joshua na Kareb kwenye Agano la kale
  13. Nyabutoro

    Wengi wanadhani bado tuko kwenye Siasa, ikitamkwa Uhaini hakuna Siasa tena bali Mifumo Yote inaamka!

    Umenena, ukizingatia na kwa mara ya kwanza Kiongozi mkuu wa nchi alifia madarakani miaka ya karibuni, ni vyema kuwa wapimaji wazuri wa matendo na maneno. Mlale salama
  14. Nyabutoro

    CCM wameshapanik, zama zile za giza zinarudi tena!!

    Umeandika kwa ufupi sana, wameelewa wachache, ongeza maneno'' mene mene tekeli na peresi''
  15. Nyabutoro

    Zama za akina John Okello zimerudi Afrika. Kila taifa linahofia Mapinduzi. Ufisadi ndio kichocheo cha Mapinduzi

    Tunawahitaji akina John Okello, Dedan Kimanth na wengine wa aina hiyo, na wanakuja
  16. Nyabutoro

    Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

    Wakati ule! Sindio? Sema huyu Mzee ni muungwana sana, mpaka sasa tungekuwa njia panda
Back
Top Bottom