Search results

  1. youngforeva

    msaada tafadhali

    habari za jioni wapendwa..samahani mi nimehitimu mwaka jana chuo ,nisaidie katika kazi tafadhali 1.nimesomea journalism with mass communication 2.nimesomea kozi maalumu ya NEW AND SOCIAL MEDIA,KUTENGENEZA BLOGS NA KUZIENDESHA,kuendesha website na mitandao yote ya kijamii na mambo mengi...
  2. youngforeva

    mpasuko sehemu ya haja kubwa

    asantheni kwa ushauri
  3. youngforeva

    mpasuko sehemu ya haja kubwa

    jamani naomba msaada wenu,maana mwenzenu nilikuwa najisaidia sana choo kigumu hadi nikapata mpasuko katika sehemu ya haja kubwa,nilielekezwa kutumia vidonge vya ANUS but ilinisaidia tu kukata damu iliyokuwa ikitoka nikijisaidia,,but mpasuko bado upo na mda fulani wanipa maumivu makali wakati wa...
  4. youngforeva

    ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    Hilo neno..hope wamekusoma...waambie wasomee online journalism
  5. youngforeva

    Watanzania vs waganda & wakenya

    Uvivu na kutopenda kujituma ni hali ambayo imeonekana ikileta ugumu kwa vijana wengi wa Tanzania kuleta ushindani wa soko huru la Afrika mashariki lilifunguliwa mnamo mwezi juni mwaka 2011 ili kuruhusu nchi za Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi na Tanzania katika kushirikiana mambo mbalimbali...
  6. youngforeva

    Vijana tanzania na soko huru la A. Mashariki

    Starehe pia na ulevi limeonekana ni tatizo linawakumba watanzania wengi mda wa kazi wanaacha kuendelea na kazi kwenda kufanya starehe mda wa kazi na kusahau mda huo ni wa kazi na sio mda wa kufanya starehe, hali hiyo nayo imekuwa kama chachu kwa vijana hawa kuweza kufurukuta katika soko la...
  7. youngforeva

    Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

    we nae ingia tu hapo baharini uweze kuoga maana umbea ulikuwepo tangu mwanzo ila sisi ytunauendelza tena we nahisi ungekuwa msanii wa bongomovie usingeuza hata movie moja maana unaonekana una roho mbaya kama ya paka mwenzenu kufungungiwa umefurahiiiiiiiiiiiiiiii,,,haya igiza we tukuone
  8. youngforeva

    Vijana tanzania na soko huru la A. Mashariki

    Uvivu na kutopenda kujituma ni hali ambayo imeonekana ikileta ugumu kwa vijana wengi wa Tanzania kuleta ushindani wa soko huru la Afrika mashariki lilifunguliwa mnamo mwezi juni mwaka 2011 ili kuruhusu nchi za Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi na Tanzania katika kushirikiana mambo mbalimbali ya...
  9. youngforeva

    Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

    we huna lolote wivu tu nae umekujaa
  10. youngforeva

    Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

    umeona eh hata mi nilihisi hivyo maana mtu huwezi msimamisha mtu yule kisa ana nyodo mbona hao viongozi wenyewe wanagombana kila siku kati ya shirikisho na chama halafu hawajiuzulu basi na wao wajiuzulu ili tujue
  11. youngforeva

    Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

    hakuna aliyeoza bana hayo ni maisha ya kawaida tena watu wa huku uswahilini ambao hawajulikani mbona ndio wameoza kuliko hao wa bongo movie ila hamuwasemi
  12. youngforeva

    Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

    Aunt alifungiwa na viongozi wa Bongo Movie kushiriki katika filamu kwa miezi minne,,,eti kisa kikidaiwa ni nyodo na mengine yaliyo nyuma ya pazia...mbona kuna watu kibao wakorofi kuliko aunty au hawawaoni
  13. youngforeva

    Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

    jamani mi namhurumia sana aunty ezekiel alipopigwa marufuku kushiriki movie za kibongo na wenye mamlaka hiyo...jamani sasa huko ndio mtu anakotegemea kula na kuishi,,sasa wanadhani ataishi vipi na hayo maisha atayaendesha vipi,,akiwa malaya tena wataanza kumlaumu,,mi naona siyo haki bana...
  14. youngforeva

    je kuna udhaifu katika kudhibiti madawa ya kulevya kwa vijana

    AKIFAFANUA kuhusu uingizwaji wa madawa ya kulevya nchini,kijana mmoja aliyewahi kutumiwa kama mvushaji wa madawa hayo(jina linahifadhiwa) ya kulevya alifafanua kuwa,mambo kama hayo hayawezi kuzuilika hata kidogo kwani baadhi ya viongozi wa jeshi la polisi kitengo cha kudhibiti madawa nchini...
  15. youngforeva

    bora nchi yenye uhuru wa habari

    sasa unadhani bila kuwa na uhuru wa wa habari hayo maoni utoayo yatafanyika vipi
  16. youngforeva

    bora nchi yenye uhuru wa habari

    ni bora kuishi katika nchi isiyokuwa na utawala wa serikali yyote lakini iwe na uhuru wa vyombo vya habari ili kutoa habari za kinachoendelea kwa wananchi kuliko kuishi katika nchi yenye serikali lakini hakuna uhuru wa vyombo vya habari maana waandishi na vyombo vya habari vinashindwa...
  17. youngforeva

    natafuta marafiki wa ukweli

    naitwa james nina umari wa miaka 21,ni mwanafunzi wa chuo hapa dar,,,nahitaji marafiki wa ukweli wa kusaidiana katika raha na shida....umri kuanzia miaka 26 na kuendelea
  18. youngforeva

    Waandishi wa habari matatizo tu

    waandishi wengi wa habari wanashindwa kufanya kazi ambayo itawapa haki wananchi bali wanabaki kucoment maneno ambayo yameazungumzwa na wanasiasa wambea tu kama wao,,hawasemi matatizo waheshimiwa hao wanayosababisha ila wanabaki kusema uongo na kuopotosha jamii katika mambo mbalimbali eti kisa...
  19. youngforeva

    Tupinge malipo ya rada kama tulivyopinga dowans(richimondi)

    Nakumbuka juzi waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa alisema kuwa pesa zote tunapaswa tupewe kupitia serikali yetu na si kupitia NGO'S mbalimbali ili kuweza kusaidia mambo ya kimaendeleo mbalimbali maana hawaiamini serikali yetu tena, lakini waziri amekataa na kusema hawako radhi...
  20. youngforeva

    Mbunge kaugua ghafla

    tatizo wana mambo mengi bana,,hawakawii kurogana hao
Back
Top Bottom