Search results

  1. A

    Sadiki Awaamuru Wahanga wa Mafuriko: Yu hev tu GO!!

    viongozi wa serikali mnaombwa mjipange pale mnapotoa kauli mbele ya raia. Kumetokea mkanganyiko pale ambapo Mh. Waziri mkuu aliposema kuwa waathirika wa mafuruko waliopanga mabondeni, watafikiriwa kwa ajiri ya kutafuta makazi mapya ya kupanga. Sintofahamu imekuja pale ambapo Mkuu wa mkoa wa DSM...
  2. A

    Tabora iliyodidimia inahitaji kuinuliwa...

    Unalosema ni kweli mwana JF, mimi nilienda mwezi Dec, 2011 kuna barabara ya kutoka Itigi to Tabora ni mbaya sana. Wanadai barabara ya rami wameanza lakini kinachofanyika hakionekani. Tunachoomba ni wabunge wa maeneo husika wasilale wafanye kazi ili mkoa wetu upate maendeleo kama mikoa mingine...
  3. A

    jamani hofu ya nini interview dodoma?????

    According to human resources recruitment and selection precedures, the number of interviewee should be short listed depending on the number of position available. Hivyo, siasa imefanyika badala ya kutumia utaalamu. Kwa hali huyo naona kuwa zoezi zima ni batili, warudie upya!!!!!
  4. A

    Siku 30 Nzito za Maisha Yangu. ooh, Glory to God!!!

    All the best dada Judith! Utakuwa mwanamke jasili, maana mila za kibongo ni ngumu mwanamke kumtamkia mwanamme? Are you sure that huyo mvulana yuko tayari kuoa tarehe hiyo? Nimefurahi sana plan zako b'se 1st June is my birthday and 4th June, 2011 is my wedding day, so welcome and join us.
  5. A

    Serious and real smart beautiful girl required for serious relationship.

    Duh! Jiandae kutoa short list ili baadae uwafanyie interview! You will get many candidates but no longer the qualified one. Be careful bro, you will take 50yrs wthout get ur choice. All the best.
Back
Top Bottom