Search results

  1. KASHOROBAN

    Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

    Hapa ndio hupendelea pia ushirikina uchukue nafasi, yaani kuearoga hawa jamaa hasa walokimbilia Dodoma, wameiona ikulu ni chungu kukaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. KASHOROBAN

    Anayejua kanuni za uongozi wa juu serikalini atawapongeza CHADEMA

    Mimi naunga mkono sumaye kupigwa chini ktk uchaguzi pia kujitoa chamani, uyu alikuwa mpango was ccm kuiumiza chadema. Kawaida sumaye alianzia utaratibu wa chipukizi wa ccm, akaja akawa uvccm, kapitia post mbali mbali za ccm, leo kaja chadema miaka mitano anataka uenyekiti taifa?? Chadema are not...
  3. KASHOROBAN

    Mbowe: Katika viongozi wa chama chetu sioni mtu wa kumwachia hiki chama kwa maana wote tunafahamiana

    Wewe ni mjinga sana, mbona wa ccm anayeongoza nchi anapita bila kupingwa?? na anayetaka kuchuana naye B Membe mnataka ata kumfuta uanachama kisa anapambana na magu kt uenyekiti?? Narudia tena kuwa wee ni jingalao
  4. KASHOROBAN

    Ben Saanane kumuondosha muuaji wake kama Joseph Muscat kwa kumuua Daphne Caruana Galizia?

    Dah roho yangu huniuma sana jinsi Ben saanane alivyotoweshwa na majahiri haya akiwacha ndg na jamaa zake wakimlilia mwanawao, at the same time walomteka wakiplead majukwaani ati tuendelee kuwaombea. Kweli wanamdhihaki sana Mungu wetu wa haki tena hadharani. Tunamuomba Mungu atendee kama...
  5. KASHOROBAN

    Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

    Msanii, Kweli ccm haina ridhaa ya wananchi Bali ina ridhaa ya police, nimedrive toka kigamboni kibugumo mpaka mabibo na kurudi sijaona popote wananchi japo wapo ktk msululu wakipiga kura. Next time muwe mkiwataja viongozi mnaowataka au mashemeji zenu wanaotembea na dada zenu na so ghiriba za...
  6. KASHOROBAN

    Shaka: Viongozi wa upinzani ni wachanga kisiasa

    Na ww ni bwege1 tu at I kawanyoosha viongozi wa ccm, dah hero nisiyaseme yote
  7. KASHOROBAN

    Mjadala huru: Je, ni nini imekikumba Chama Cha Mapinduzi?

    Wewe kama sio maiti basi ubongo wako ushaoza, ulichokiandika ni maushuzi tu
  8. KASHOROBAN

    Mjadala huru: Je, ni nini imekikumba Chama Cha Mapinduzi?

    Na iwe kweli, Mungu atuongoze tushuhudie anguko la mkoloni wa mwisho (ccm)
  9. KASHOROBAN

    Get Rid of Donor Relience Mentality - Magufuli

    We fala wewe hujui kuwa deni la taiga linakuzwa na hao mnaowaita mabeberu, wewe ni fala lia lia tena linalojopendekeza
  10. KASHOROBAN

    Nini kimekuza deni la Taifa kwa trilioni 20 kutoka 2015 hadi 2019?

    Ivi nikikupa like unaona uko?? Nimelike maelezo yako mkuu.
  11. KASHOROBAN

    Dhuluma ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yatinga kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa

    We ni kama jibwa tena lile lizee tu, hizi nondo wanazimwaga saa ngapi wakati bwana mkubwa anataka awaone ccm tu wakifanya siasa??. Kweli kama hutumii masabuli kufikilia basi unatumia ubongo wa maiti alooza kutafakari. Ni maoni yangu tu
  12. KASHOROBAN

    CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    We mbwa kabisa, washiriki vipi wkt more than 90 % wameenguliwa? U r a dog
  13. KASHOROBAN

    Chama cha Mapinduzi chapita bila kupingwa Jimbo la Hai

    Wewe kwa hoja zako za kipumbafu na kipuuzi unatuahibisha sana wahaya
  14. KASHOROBAN

    Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Kweli kabisa yani anavyotamba kiukweli hajitofautishi na Mungu uyu
  15. KASHOROBAN

    Meya Jacob amjibu Makonda juu ya upotoshaji wa Kituo cha Afya

    RC wetu akili ndogo, anasahau haraka sana uyu mfoji vyeti
  16. KASHOROBAN

    Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

    Ah ah mlitarajia haseme nini?? Hamjui kuwa apo ndo kwenye shithole aka bomba aka mrija unaompa salali???
  17. KASHOROBAN

    Eritrea panatisha, Bora Tanzania

    Ethiopia ya kale ndo iko mawazoni mwako, waziri mkuu wao kawa mtamu kwa democracy mpaka kapata Nobel prize, chezea wenye roho nzuri wewe
  18. KASHOROBAN

    Eritrea panatisha, Bora Tanzania

    Mbona kama wana furaha??
  19. KASHOROBAN

    Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Ni kichekesho sana, husiombe nafsi ikakusuta, duh naona Sasa watanzania wanamtumia meseji dikteta akseh
Back
Top Bottom