Search results

  1. mpandaone

    Usajili huu wa walevi Yanga haukubaliki kabisa

    Mimi kama mshabiki wa Dar young Africa sikubaliani kabisa usajili huu wa walevi wawili, Ogra na Mkude. Hawa ni walevi sio wachezaji, hawastaili kusajiliwa Yanga.
  2. mpandaone

    Msaada anayejua kilimo cha njugumawe na changamoto zake

    Nataka kuingia kwenye kilimo cha njugumawe, naomba anayejua chochote kuhusu hili zao naomba taarifa zake
  3. mpandaone

    Hivi kwanini wasomi wanakuwa na roho mbaya kuliko watu ambao sio wasomi

    Naomba mojakwakwamoja niende kwenyemada yangu unakutamtu aliyosomasana wakipatavyeo wanarohoo mbayasana kulikovyeo hivohivikishikiliwa nawatu sio wasomo maanaunamkutamtu ana PhD lakinindioananzishasheria kandamizi zakukandamizawanyo naombatujadili
  4. mpandaone

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero angalia maslahi ya wananchi

    Mimi mwananchi wa kawaida wa Mpanga Mrimba Halmashauri ya wilaya ya Kilombero. Kero yangu juu ya huyu Mkurugenzi wa Halmashauri ni kikao chama diwani kilipiga kura kwa pamoja kiliamua Makao Makuu ya Halmashauri yatahamia Mngeta ambayo yatakuwa katikati kwa sisi wananchi tunaotoka mbali. Yeye...
  5. mpandaone

    Sisitunatimu kochahatuna

    Boramaximo kulikohuyi
  6. mpandaone

    Sisitunatimu kochahatuna

    Boramaximo kulikohuyi
  7. mpandaone

    Sisitunatimu kochahatuna

    Boramaximo kulikohuyi
  8. mpandaone

    Michango imerudi tena mashuleni

    Katika hali isiyo ya kawaida Shule ya Msingi Mchombe wilaya ya Kilombero imewataka wazazi kuchangia tsh2000 kila mwezi za kuajili walimu na tsh 1000 kila mwezi kwa ajili ya mitihani. Tunamuomba waziri Simbachawene aingilie kati suala hili.
Back
Top Bottom