Search results

  1. J

    Tahadhari mtanzania

    Great thinkers tunajadili somo sio mtu. Mimi nimeipenda hii ya kudumisha lugha na kutoa nasaha. Lakini nikusahihishe tu Chinga, huyu Mzee anaongea sana tena kwa busara kubwa, hajiropokei tu bungeni. Labda Chinga uangalii BUNGE na usikilizi radio wala kuangalia tv. Huyu ndiye chanzo cha bodaboda...
  2. J

    Kwanini CCM imehamishia mashambulizi Tanga?

    Greatthinkers hawaongei vitu kwa utashi wao na kwa lugha zenye maswali ya wazi kabisa. Great thinkers wanaongea facts na wanatumia maneno kujieleza waeleweke.
  3. J

    GESI YA MTWARA: Yaliyomkuta NUNDU kumkuta MUHONGO?

    Ewe Tina usiandike vitu usivyokuwa na uhakika navyo. Zebu tafuta ukweli aliouleza Nundu na usichukuwe uongo wa Mfutakamba. Nundu ndiye aliyetaka kampuni zishindanishwe na hakuwa na uhusiano wowote na China Merchant. Hata majuzi na yeye pia aliongelea na kustajabishwakwake kwa China Merchant...
  4. J

    Tahadhari mtanzania

    Ushauri mzuri Mhandisi lakini ni wangapi watauzingatia. Naburudika kwa lugha na ushairi
  5. J

    Kwanini CCM imehamishia mashambulizi Tanga?

    Unapouliza, "Kwanini CCM imehamishia mashambulizi Tanga" inabidi utueleze zaidi ili tukuelewe. 1. Kwani mashambulizi yao yalikuwa wapi kabla ya kuhamishiwa Tanga? 2. Mashambulizi hayo ni yapi na wana shambulia nani? nk. nk. nk.
  6. J

    Mh. Kikwete mtikisiko mkubwa wa 4 nchini unakuja kama maagizo haya hayatafuatwa

    Bwana Buberwa, Tafadhali sana waache viongozi watafakari hatima ya nchi yetu, usituletee ushetani wako
  7. J

    Mh. Kikwete mtikisiko mkubwa wa 4 nchini unakuja kama maagizo haya hayatafuatwa

    Bwana Buberwa, Tafadhali sana waache viongozi watafakari hatima ya nchi yetu, usituletee ushetani wako
  8. J

    Rais Kikwete atunukiwa u-profesa na Rais wa China

    BEHOLD usianzishe topic za kizushi zisizoeleweka hapa! Mrejeo wa hili uliloliandoka uko wapi?
  9. J

    Mwigulu Lameck Nchemba afunguka kuhusu urais 2015

    Lowassa hafai kuwa Rais wa nchi hii kwani yeye na wenzake wanaojiingiza kwenye campeni wakati muda bado na kutuonesha uwezo wao na wa marafiki zao wa pesa binafsi wakati wananchi wako hoi HAWATUFAI. Hawa watatuongezea umasikini badala ya kuuondoa. Nchemba kwa Urais bado ila anafaa kuwa Waziri wa...
  10. J

    Zanzibar wajiandaa kudai Referendum for Independence + Devolution Max

    Referendum hata iwe ya Wazanzibar peke yao ni kupoteza pesa kwani jibu litakuwa wazi MUUNGANO DAIMA. Hivyo wanataka tutengane wakati umefika wanyamaze. Hawawezi kututenganisha katuuuu. QUOTE=ugwenousangi;10763229]Wakuu habari za ndani kabisa kutoka Visiwani ni kuwa tayari watu wa kule washaanza...
  11. J

    Mnyika: Maharamia wamefanya uharamia kupitisha Katiba Haramu

    Sasa nimeamini Tanzania hakuna upinzani bali UTOTO unaojifanya upinzani. Wamedhihirisha UTOTO wao kipindi cha Bunge la Katiba. Mungu ijalie CCM ishikilie dola kwa miaka mingi hadi upinzani wa kweli wenye nia ya kuendeleza nchi utakapopatikana. Mungu iepushe Tanzania na balaa wanaloitakia UKAWA...
  12. J

    Picha: Mazingaombwe ya safari ndefu ya kura 30 za siri zilizoipitisha rasimu ya Sitta na Chenge!

    SIRI GANI? Waliopiga kura za siri walikuwapo mjengoni matokeo yalipotangazwa ildhihirika kuwa karibu wote na nyakati nyingine WOTE walipiga kura za NDIO sasa kama walipiga hapana si hata mmoja angesema sivyo! Msijaribu kuchafuwa nchi. Bunge limesema NDIO hivyo acheni kutunga uongo wenu kama...
  13. J

    Picha: Mazingaombwe ya safari ndefu ya kura 30 za siri zilizoipitisha rasimu ya Sitta na Chenge!

    By Erythrocyte: Asante kwa picha mkuu , wabebaji wamenuna , HIYO IKIWA NI ISHARA YA KUJUA KINACHOKWENDA KUFANYIKA . Waliopiga kura za siri walikuwapo mjengoni matokeo yalipotangazwa ildhihirika kuwa karibu wote na nyakati nyingine WOTE walipiga kura za NDIO sasa kama walipiga hapana si hata...
  14. J

    Picha: Mazingaombwe ya safari ndefu ya kura 30 za siri zilizoipitisha rasimu ya Sitta na Chenge!

    Waliopiga kura za siri walikuwapo mjengoni matokeo yalipotangazwa ildhihirika kuwa karibu wote na nyakati nyingine WOTE walipiga kura za NDIO sasa kama walipiga hapana si hata mmoja angesema sivyo! Msijaribu kuchafuwa nchi. Bunge limesema NDIO hivyo acheni kutunga uongo wenu kama kawaida -...
  15. J

    Warioba katika 'dakika 45' za ITV akihojiwa kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya...

    Ingekuwa bora Warioba anyamaze. Anapotetea takwimu kuonesha kuwa Watanzania wanataka serikali 3 anatia kinyaa - aidha anafanya makusudi au hajuwi kabisa anaongea nini!!!!!!
  16. J

    Nape na UVCCM Acheni unafiki kwa Mwl.Nyerere,Tundu Lissu Hongera Sana

    Mwalim Nyerere hakuwa mungu lakini pia hakuwa binadamu wa kawaida. Anastahili kuheshimiwa sio kubezwa na akina "serikus" Tundu Lusu
  17. J

    Watanzania wanateketea,Wapo wapi usalama wa Taifa na Intellijensia ya Police?

    Mpangawangu hulali kwako nyumbani hiyo saa 7.55 usiku wa manane ulikuwa unafanya nini madanguroni kama nawe so mteja?
  18. J

    Watanzania wanateketea,Wapo wapi usalama wa Taifa na Intellijensia ya Police?

    Tatizo la Mpangawangu ameingia hapa zaidi kulaumu CCM. Kwanza ajuwe watendaji Serikalini sio CCM na jukumu la maadili ni la raia wote. Nimuulize alijuwaje kuwa wanafanya aliyoyaeleza kama naye hakuingia na kupata huduma kwenye madanguro. Wacheni kugeuza kila jambo kuwa siasa zenu za chuki dhidi...
  19. J

    CV ya William Lukuvi

    HAKUNA CHUO KINACHOTAMBULIKA CHA WASHINGTON INTERNATIONAL UNIVERSITY kwa hiyo watu wote wanaojigamba na shahada za huko ni vihiyo. Ona hapa: The name "Washington International University" is used in promotional materials for other unaccredited distance learning institutions. There are no known...
  20. J

    Lowassa: Kiongozi na wananchi wote wanalalamika

    Lowasa ni "low hasa"; anashindwa kutenganisha vipaumbele na matokeo! Katika kipanga, "ajira" ni matokeo sio kitendea kazi. Vipaumbele ni vitendea kazi vya kuletea matokeo. Ajira hazishuki kutoka mbinhuni. Sikujuwa kuwa huyu ni kilaza msanii kiasi hiki.
Back
Top Bottom