Search results

  1. T-Bagwell

    Kwanini NHIF inaweka sheria ngumu kwa wanachama wake

    Habari za muda huu wadau. Mimi ni mwanachama wa NHIF kwa taktibani miaka 10 sasa lakini kuna baadhi ya changamoto nilkua nazipitia nyingine nilikua nazisikia kwa wanachama wengine lakini week iliyopita ndipo lilinikuta jambo. Week iliyopita nilienda hospitali flani ambayo ni mbali kidogo na...
  2. T-Bagwell

    Nahitaji IST namba D

    Habari wana jamvi. Nahitaji gari aina ya Toyota IST namba D Rangi iwe kati ya silver, black au white. Budget ni 7 - 8M. Gari iwe haijarudiwa rangi.
  3. T-Bagwell

    Utawala wa Wataliban Afghanistan

    Habari za muda huu… Naomba kupitia uzi huu tushirikiane ku comment picha za matukio (kuchekesha/kufurahisha na kusikitisha) za wanamgambo wa Taliban baada ya kutawala Afghanistan.
  4. T-Bagwell

    We cheat on our girlfriends but we don’t want them to cheat on us

    You know why? Because we know cheating is WRONG! We cheat for SEX, just to F**K But when the girl cheats she cheats for LOVE & AFFECTION. She cheats with a guy that can potentially replace you. We cheat the most bit women cheat the best. We dish it out but we can’t take it back, we act...
  5. T-Bagwell

    Kwa wale msiokuwa na dini, maisha yapoje mtaani?

    Habari za muda huu wana JF?? Tokea miaka ya 2017 niliamua kuachana na dini rasmi, japokua nilikaa muda mrefu sana kabla ya hapo pasipo kuhudhuria kwenye nyumba za idaba. Hapa nauliza kwa wale wenzangu ambao hawana dini kama mimi . Mnaishije hapo mtaani kwenu? Maisha yako ya ndoa au mwenzi...
  6. T-Bagwell

    Nashindwa kuchagua pa kuhamia...

    Habari za muda huu... Nimekuwa nikibadilisha badilisha sana baadhi ya simu kutokana na mapungufu niyakutayo ndani ya simu baada ya kuzinunua na nilikiwa siwezi kukaa na simu zaidi ya miezi mitatu kama nitakuta mpungufu makubwa ndani yake... Kwamfano nilishatumiaga Samsung s6 Edge lakini...
  7. T-Bagwell

    A man is romantically involved with two women.....

    A man is romantically involved with two women. He tells woman #1 "I love you. It's only you" He tells woman #2 "I love you. But there's someone else" Which woman does he love more? And Why??
  8. T-Bagwell

    Inawezekanaje fingerprints zisiendane na za mtu mwingine??

    Habari za muda huu wana JF? Kama tunavyojua Dunia ina watu zaidi ya Bilioni 7. Najaribu kuwaza inawezekanaje fingerprint ya mtu mmoja isifanane na ya mtu mwingine hapa duniani? Ukiachana na vidole vyote kwa pamoja, inashindikana kweli fingeprint ya kidole kimoja kuendana na fingerprint ya...
  9. T-Bagwell

    Bangi haijawahi kuniletea utofauti wowote

    Habari za muda huu wana jf? Kama tujuavyo binadamu kabla hajatoweka kwenye uso wa dunia hujaribu jaribu vitu mbalimbali ili kumfanya atambue uzuri au ubaya wa hicho kitu. Kwamfano kila mtu wakati ni mchanga/mdogo alijaribu kutambaa, akasimama na mwishowe akaweza kutembea. Kwa wale watumiaji...
  10. T-Bagwell

    Ni uongo gani mwalimu wako wa Msingi/Sekondari alikudanganya??

    Habari za muda huu wana Jf? Ni kitu gani wakati uko shule ya msingi/sekondari mwalimu wako alikufundisha lakini baadae ulivyoendelea kupata elimu ulikuja kugundua kuwa mwalimu alikifundisha kitu ambacho hakikuwa cha ukweli Mimi wakati nipo primary mwalimu wangu mkuu alishawahi kunifundisha...
  11. T-Bagwell

    Hali ya kufanya jambo huku ukihisi tayari umeshalifanya inawatokea na nyie?

    Habari za muda huu Kuna hali huwa inanitokea sijui kama na nyie huwa inawatokea na je huwa ni kawaida au sio kawaida Ni ngumu kuelezea lakini natumaini mtanielewa Hali yenyewe ipo hivi unakuta unafanya kitu flani lakini jinsi kitu hicho kinavyoendelea ni kama vile ulishawahi kukifanya. Na...
  12. T-Bagwell

    Nini tofauti ya kuajiriwa kupitia TAMISEMI na Wizara ya Afya?

    Habari zenu wakuu? Mnamo tarehe 10/5/2018 TAMISEMI walitangaza ajira 6180 kwa kwenye sekta afya nchini. Tarehe 11/5/2018 Wizara ya afya nao wakatangaza ajira 1500 kwenye sekta ya afya. Ukiangalia kada zinazohitajika kwenye tangazo la TAMISEMI na Wizara ya afya ni sawa tofauti ni wingi tuu wa...
  13. T-Bagwell

    Msaada kuhusu mkoa wa Tabora

    Habari wana jf? Natarajia kuelekea mkoa wa Tabora kikazi hivi karibuni Sijawahi kufika mkoa huo kabla Sasa naomba msaada wenu wana jf kuhusu mazingira,mandhari na watu wa mkoa huo. ... nini chakufanya, nini chakutokufanya na vingine vingi ambavyo unaweza ukahisi vitanipa mwangaza juu ya...
  14. T-Bagwell

    Msaada: Daktari/hospitali nzuri ya watoto

    Habari wana JF Kwa yeyote anayejua daktari mzuri au hospitali nzuri kwa ajili ya watoto wachanga iliyopo Dar, naomba anisaidie jina la hospitali au contacts za Daktari. Ahsanteni.
  15. T-Bagwell

    Msaada kuhusu simu iliyoibwa

    Habari za jioni Wakuu Miezi kadhaa iliyopita niliibiwa simu yangu... kwavile niliinunua ikiwa full boxed nikafungua shtaka polisi na nilipeleka risiti polisi pamoja na Imei number Polisi wakaniambia nisubiri mtuhumiwa atapatikana Ni mwezi na zaidi ya wiki 2 sasa hakuna...
  16. T-Bagwell

    Business strategy

  17. T-Bagwell

    Kwa mfanano huu wa sauti, utashindwa kukubali kuwa VN ya mbowe na wema ni ya kutengeneza?

    Habari Jf Sauti zinafanana sana wakuu, ukimskliza huyo dada kwenye hiyo video sauti yake inafanana sana na sauti ya wema Sauti kama hiyo ukiisikiliza kwenye audio ni ngumu sana kukubali kuwa muongeaji sio wema.
  18. T-Bagwell

    Msaada: Nisaidieni movies za kuangalia kipindi hichi wakati nasubiri......

    Habari za weekend Jf Mimi ni mfuatiliaji wa movies hizi The blacklist Into the Badlands Blindspot Sasa zote zimefika season finale, wakati nasubiri next seasons naombeni masaada wa movies nyingine nzuri na zenye maudhui kama hayo za kuangalia kwa kipindi hichi nikiendelea kusubiri...
  19. T-Bagwell

    Walimu mnaofundisha Uraia mna kazi sana.

    Habarini wana Jf. Nimeweka uzi hapa mda si mrefu, mods wameuhide sjui nikichungualia kwa kutumia ID nyingine siioni. Turudi kwenye mada... Walimu mnaofundisha Uraia unaweza fundisha mjina ya viongozi kwamfano mkuu wa mkoa au waziri kabla hujamaliza kipindi unapata taarifa yule waziri amekuwa...
  20. T-Bagwell

    Hivi JF kuweka avatar ya jinsia ya Kike kama wewe ni wakiume ni dhambi?

    Kama ilivyo facebook, Instagram,whatsapp, Twitter au Forums nyingine Watu wanaweza kuweka avatar za wapenzi wao, watoto au watu wanaowakubali. Kwenye hili jukwaa imekuwa tofauti sana ukiweka avatar ya jinsia ya kike basi watu wana judge straight kuwa ni Ke Au ukiweka avatar ya kiume wana...
Back
Top Bottom