Search results

  1. T-Bagwell

    Sinza ipi ni nzuri kuishi?

    Makaburini
  2. T-Bagwell

    JamiiForums Usiku wa manane

    0522Hrs
  3. T-Bagwell

    Kwa masikitiko makubwa, mwandani wangu ananisaliti na wanaume zaidi ya wa 5

    Kwahiyo angemuoa ndio angeachana na hao wanaume wengine?? Mal*ya ni mal*ya tuu hata akiwa mke wa ndoa na hata ukishamuoa ukawa na haki nae kisheria itakusaidia nini baada ya kujua ni mal*ya?? #KATAANDOA
  4. T-Bagwell

    Kwanini NHIF inaweka sheria ngumu kwa wanachama wake

    Kuna watu wanaishi zaidi ya km300 ndipo wakute hospitali za mikoa au ofisi za NHIF?? Hoja yangu kubwa hapa ni kwamba NHIF inajitahidi sana kumkwamisha mwanachama wake kuliko kumsaidia.
  5. T-Bagwell

    Kwanini NHIF inaweka sheria ngumu kwa wanachama wake

    Verification status ya nini wakati namba ninayo na utambulisho niko na vitambulisho vingine?? And what if ingekua ni emergency na sina uwezo wa kufika NHIF?? Au kama ingekua ni weekend pia nisingeweza kupata msaada kisa tuu card haipo??
  6. T-Bagwell

    Kwanini NHIF inaweka sheria ngumu kwa wanachama wake

    Hata kwenye ATM unaweza pasipo hata hiyo Card ya bank wala kitambulisho
  7. T-Bagwell

    Kwanini NHIF inaweka sheria ngumu kwa wanachama wake

    Njia waliyokuja nayo ndio kama hiyo lengo ni kukwamisha tuu wateja wao, Dunia ipo mbele sana kama mtu anaweza kwenda ofisi za Tigo/Voda na aka renew line kwa kutaja namba za NIDA na kuweka fingerprint, kwanini kwenye afya za watu wafanye masihara hivi??
  8. T-Bagwell

    Kwanini NHIF inaweka sheria ngumu kwa wanachama wake

    Kwa kusema kosa ni la NHIF hauoni kwa mikakati hiyo ni dhahiri wana lengo la kumkwamisha mteja wao zaidi ya kumsaidia?? Kama unaweza kutoa hela bank pasipo card za bank?? Kwanini usiweze okoa uhai wa mtu kisa tuu card?? Nilijaribu kuwaza kwa wanaopata ajali kwa bahati mbaya labda card...
  9. T-Bagwell

    Kwanini NHIF inaweka sheria ngumu kwa wanachama wake

    Fraud kivipi wakati ukiingiza namba kwenye NHIF portal inakuletea details za mgonjwa pamoja na picha?? Pamoja na hayo nilishakua na file hospitalini hapo ukaachilia hayo nilikua pia na kitambulisho cha taifa, leseni ya udereva, cha mpiga kura na card za benki. Kwanini hawakutaka kunisaidia kwa...
  10. T-Bagwell

    Kwanini NHIF inaweka sheria ngumu kwa wanachama wake

    Boda boda umbali wa 100Km+??
  11. T-Bagwell

    Kwanini NHIF inaweka sheria ngumu kwa wanachama wake

    Huyu inawezekana hata account ya bank hana, watu tunaendesha magari mkoa kwa mkoa na unamtajia traffic namba ya driving license au unamuonesha picha na anakuelewa. Haelewi hata kama siku hizi kuna utaratibu wa kutoa hela kwenye ATM/kwa mawakala pasipo hata hizo card.
  12. T-Bagwell

    Kwanini NHIF inaweka sheria ngumu kwa wanachama wake

    Hatukatai ni utaratibu lakini ulazima hasa uko wapi na manufaa kwao yako wapi kama kweli lengo lango ni wateja wao wapate huduma bora??
  13. T-Bagwell

    Kwanini NHIF inaweka sheria ngumu kwa wanachama wake

    Bila ya chai kweli mambo hayaendi
  14. T-Bagwell

    Kwanini NHIF inaweka sheria ngumu kwa wanachama wake

    Hapana, kama bima gani ambayo ni complicated kushida NHIF na kwenye nini hasa?
  15. T-Bagwell

    Kwanini NHIF inaweka sheria ngumu kwa wanachama wake

    Wangetoa hata option ya watumishi wa umma kuchagua bima tofauti tofauti labda wangejifunza kitu.
  16. T-Bagwell

    Kwanini NHIF inaweka sheria ngumu kwa wanachama wake

    Niliwaza nikasema kama wangeruhusu watu kuhama basi ni dhahiri shirika lingefungwa, Changamoto ni nyingi… nina mfanyakazi mwenzangu jina lake na la mzazi wake limetofautiana herufi moja tuu lakini wamegoma kumkampatia BIMA.
  17. T-Bagwell

    Kwanini NHIF inaweka sheria ngumu kwa wanachama wake

    Waligoma na ukiacha hayo nipo na file hospitali hapo kwasababu hua nativiwaga hapo.
Back
Top Bottom