Search results

  1. enjai ya kyasha

    Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Wanaumia wanatamani kulia ila ndo basi tena.
  2. enjai ya kyasha

    Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    We huna akili ilibidi jamaa awaunganishe we na mpenz wako awapige miti. Yani unamfuma mtu red handed af unaanza mara aaaoh oooh na blabla kibao. Ua a useless man.
  3. enjai ya kyasha

    Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Siku ile zengeli anapiga mpira unadunda nje ya goalline na refa anasema ni goal si mlishangilia? Mnahisi Ihefu hawakuumia. Basi mkae mkijua malipo ni hapa hapa duniani.
  4. enjai ya kyasha

    JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji849][emoji849]
  5. enjai ya kyasha

    Misiba ya waislamu haina mambo mengi, nimependa sana

    Kesho anarudi kwa muumba kivipi? Mtu anarudi kwa muumba punde tu roho ikiachana na mwili na sio anapozikwa.
  6. enjai ya kyasha

    Tujifunze kuheshimu kukataliwa (rejection)

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. enjai ya kyasha

    Kusomesha watoto shule za private ni matumizi mabaya ya fedha

    Bila shaka na wewe ni zao la elimu bure maana uko bure bure hadi upstairs.
  8. enjai ya kyasha

    Uchambuzi wangu Simba sc 1-1 Azam fc

    Yanga mlitamani simba ipoteze hii game ila wapiiii, mbali na kumuhonga huyo mbuzi kayoko bado mmebuma.
  9. enjai ya kyasha

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ndo ukaamua kuja kunisema huku? Kuwa na kifua basi.
  10. enjai ya kyasha

    Zambia anafungwa na Morocco , Tanzania tunamfunga Congo, bado tuna nafasi kubwa tu

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Congo ipi unayomaanisha .
  11. enjai ya kyasha

    FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Mechi ijayo tukupange namba ngapi ili urekebishe hayo mapungufu.
  12. enjai ya kyasha

    FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Watu bwana sa stars ina mpira gan ambao mlitegemea ipate ushindi.
  13. enjai ya kyasha

    Diarra hapaswi kucheza Yanga, aende Ufaransa

    Ufaransa ya Chitoholi
  14. enjai ya kyasha

    Wanaume, unatumia gharama gani ku-shave kwa mwezi?

    Mimi nanyoa mara4 na kila kunyoa ni jero hivyo natumia 2000
  15. enjai ya kyasha

    Muhudumu anataka nimnunulie Savana wakati mimi natumiaa local bia

    Muhudumu wa bar usipokua kua makin anakufirisi. Af mbaya zaid unakua hauko peke yako anawapanga kama mabasi ya magufuli terminal
  16. enjai ya kyasha

    Timu ya hamasa AFCON mnasemaje kuhusu jezi ya taifa stars?

    We jamaa akili huna tangu lini brandikacheza mpira. Af kwa akili yako ukivaa sijui nike na adidas hujui kama unamfaidisha mzungu ambaye hana impact kwenye maisha yako. Bora hata sandarland akiuza jezi ananunua sukari analipa kodi anatoa ajira n.k.
  17. enjai ya kyasha

    Kombe la Mapinduzi linaenda kupoteza hadhi na sifa ni bora yafutwe tu

    Utopolo wakitolewa kwenye mashimdano wanaanza kuyaponda. Sa nyie wakatimnaenda kushindana si mlisema mnataka mbebe: Mfungaji bora Kipa bora Ubingwa Beki bora Sa mmekosa vyote mnaweweseka.
  18. enjai ya kyasha

    Yanga ilikuwa na malengo makubwa sana na Kombe la Mapinduzi

    Sio nyie mliosema mnaenda kubeba kila kitu huko mapinduzi?
  19. enjai ya kyasha

    Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

    Monduli nako kuna maroon berret?
Back
Top Bottom