Search results

  1. S

    THE CONFUSED PROF. I SALUTE YOU

    Kwa mara ya kwanza jamii yako ya Iti wameanza kukubali jitihada zako katika uongozi. Wiki hii umeonyesha jitihada kubwa kulidhihirishia jamii yako (Wana Itilima ) kuwa ukiamua unaweza, umetumia utaalam wako katika political science kuliongoza jopo hilo kwenye mkutano...
  2. S

    Wenye uwezo wa kutabiri; Kwanini Mzee Abdalah Bulembo hajagombea uongozi Jumuiya ya Wazazi?

    Naomba kuuliza hili swali, Kwani nimekuwa nikitafakari sana juu ya hili swala, pia juu kikao kinacho endelea Ikulu cha CCM.
  3. S

    Barua kwa Mhe. Rais Magufuli

    Ndugu rais, naomba nianze kwa kutoa Shukrani za dhati kwa namna unavyo pambana kila siku kuhakikisha Taifa letu linakuwa miongoni mwa mataifa bora Kiuchumi barani Afrika na dunia nzima, ni jambo jema linalostahili kuungwa mkono na kila raia mtanzania mwenyewe nia njema...
  4. S

    Rais Magufuli Mungu amekupa nafasi kusaidia Taifa, Tafadhali tuokoe maisha magumu.

    Wanajamvi, mimi ni moja wapo ya watu niliye amini katika mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yetu, nimiongoni mwa watu walioona mapungufu madogo kwenye serikali iliyopita, na nikatamani mabadiliko ili kurudisha heshima ya nchi yetu. Baada ya uchaguzi nimeanza kuona kuwa nchi...
  5. S

    Eneo linauzwa Bei cheee.

    Wanaja jamvi napenda kuwajulisha kuwa kuna eneo linauzwa pale maswa mjini mtaa wa majengo mapya karibu na hospitali ya wachina , eneo limepimwa na lina viwanja vinne vilivyo kwisha pimwa, bei nzuri kwa faida ya pande zote mbili, wahi mapema... Kwa mawasiliano...
  6. S

    Simba ubingwa mapemaaa

    Wadau nikweli simba kapewa pointi 3 za kagera ? Au wameamukutu joke.. Kama ni kweli mbona sherehe asubuhi tu msimbazi.
  7. S

    CCM mbona mnajimaliza wenyewe!!

    Nawashukuru wadau wote kwa juhudi zenu za kusaidia serikali hii ya awamu ya tano kuhakikisha inasonga mbele kuleta maendeleo Makubwa, ipo dhamira nzuri kutoka kwa viongozi wetu, wanayo yatenda viongozi wetu yanathibisha hiyo nia njema. Lakini naomba niwakumbushe chama tawala kuwa...
Back
Top Bottom