Search results

  1. B

    Wassira azomewa vibaya mkutanoni na kuondolewa chini ya ulinzi mkali wa Polisi!

    Hii jamii forum sasa inaonekana ina Fungamana na chadema,haitoi habari kwa usawa,juzi juzi hapa kuna wanachama wa chadema wamehamia Ccm hamjasema!!!
  2. B

    Wassira azomewa vibaya mkutanoni na kuondolewa chini ya ulinzi mkali wa Polisi!

    Jamani penye ukweli tuseme ni kweli ole millya aliokota watu wakadai wamehama ccm kwenda chadema,mie nilikuwepo arusha wazi kabisa ungejionea kama ungekuwepo,
  3. B

    Ridhiwani Kikwete ang'aka tena

    shangaa na wewe watanzania walivyo na choyo,idea za kijamaa ndo zimetujaa,ndo mana watu hawaishi kuoneana vijicho,roho mbaya,mtu akinunua gari fisadi,wabongo bana
  4. B

    Ridhiwani Kikwete ang'aka tena

    wewe umeongea kitu,sio hawa washabiki wa kisiasa wanabwabwaja tu
  5. B

    Ridhiwani Kikwete ang'aka tena

    . hujasema kitu bado hapo
  6. B

    Jk kukakutana na mke wa mandele bondeni

    kwani kuna ubaya gani jamani mna mnakua sasa hata hamna hoja mnakua mnapinga tu vitu hovyo,yule ni binadamu hakuna ubaya wowote kama aliona kapata hata dakika 5 asiende kujulia hali watu basi kazi,iko siku hata akienda kumcheki mzazi wake mtasema,dah kuongoza nchi za kiafrika!!!!!!!
  7. B

    Natamani kuifunga jela mifupa yake

    dah nimeshangazwa sana na huyu jamaa na maelezo yake,yani huyu jamaa ni mdini kupindukia hata haoni hoja ya post,ni ukweli nyerere ndo chanzo cha umasikini wetu,we nchi gani unataka kuchcange dola hata ikiwa moja eti mpaka upate kibali cha ikulu?!!!! haya ndo mambo ya nyerere,sasa huyu jamaa...
  8. B

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    jamani tuache kua negative sana na huyu president,he is not crazy,udini upo na nyie mnaojifanya kukataa haupo ndo wa kwanza kua na udini
Back
Top Bottom