Search results

  1. Kijana ushe2

    Walimu wa Hisabati, hii inaweza kutusaidia kufaulisha Wanafunzi na kulipenda somo hili

    Habarini za humu JF Elimu, Leo nimekuja kutoa nami mawazo na mitazamo ni namna gani tunaweza kuwasaidia hawa watoto katika hili somo rahisi kabisa! MAMBO YA MSINGI KWA MWANAFUNZI NA KWA MWALIMU 1. Lugha adhimu ya kiingereza iwe mikononi mwa wanafunzi kwa vyovyote vile hasahasa grammatical and...
  2. Kijana ushe2

    Ratiba ya mitihani Kidato cha Pili na cha Nne 2021

    Wanajamvi, Habarini za Leo! Ninaomba wizara husika na baraza la mitihani la Taifa (BAMITA) AU NECTA watueleze kipi haswa kinachofanya wasitoe ratiba ya mitihani ya vidato hivyo mpaka muda huu mwezi wa nane huku tumezoea ratiba hutolewa mwezi wa nne tu leo imekuaje? Tangu baraza lianzishwe...
  3. Kijana ushe2

    Soma mitihani ya Mock, Joints, Pre-Mock na mingineyo hapa

    Ndugu wanajamii forums, Habarini za asubuhi. Naomba tuweze kusaidizana kwa MITIHANI mbalimbali kwa watoto wetu. Nimeanzia primary lkn naendelea kuweka MITIHANI mingi zaidi
  4. Kijana ushe2

    Wizara ya Fedha malimbikizo ya mishahara na madeni mengine hatujaona majina yake

    Wanajamvi vipi kuhusu majina ya malimbikizo ya mishahara tumeona kwenye bajeti yetu lakini mpaka sasa hatujaona majina ya watumishi wanaostahili kulipwa hayo malimbikizo. Wizara inayohusika kazi kwenu tunataka uwazi na ukweli.
  5. Kijana ushe2

    Kundi la vijana ni silaha kubwa ya mageuzi vizazi vijavyo hapa nchini Tanzania

    Ndugu wanajamvi leo nataka nigusie kuhusu wimbi letu la vijana wa hili taifa la Tanzania: Moja, vijana tupambane katika kutafuta riziki ya kila siku vijana tujikubali na tuweze kuuachia ubongo uweze kutafsiri vyema namna ya kupambana na maisha ya kawaida ya kila sikh na so kutegemea mtu ama...
  6. Kijana ushe2

    TAMISEMI, pesa za fidia ya ada idara ya sekondari hazitoshi; elimu ya bajeti ya mwaka kwa kila shule inahitajika

    Wanajamvi habari za leo, Poleni kwa majukumu na mihangaiko ya kulipambania taifa letu pendwa la Tanzania. Mnaomba niende moja kwa moja kwenye lengo la kuandaa huu uzi kuhusu elimu katika sekondari. Naomba wizara zinazohusika ziweke mikakati imara ili waweze kuzidhibiti shule za serikali: Moja...
  7. Kijana ushe2

    Selection form five na vyuo vya kati 2021/2022

    Wanajamvi nimekuwekea link ya moja kwa moja kuangalia machagulio ya SHULENI na tahasusi kwa SHULENI zote Tanzania Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2021
  8. Kijana ushe2

    Wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa na wakurugenzi matumbo joto

    Ndugu wanasiasa wenzangu, awali ya yote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE. Hawa watu wanahangaika sana na pia inabidi ikimpendeza Rais awateue upya au awaambie wachape kazi tu maana wanatumia fedha za umma vibaya. Wakurugenzi ndio wa hovyo kabsa muda huu kila...
  9. Kijana ushe2

    Taja walimu wa Physics Tanzania ambao wapo vizuri

    Naomba umweke mwalimu yeyote ambae ni mtambo wa physics kwa Tanzania yetu. Mimi naanza na; 1. MATHIUS MGONYA (Physics) huyu jamaa ni shida peleka swali kwake hautaamini huyu mwamba mbona hatari. Anapenda kuwasaidia wanafunzi wanaopeleka maswali kwake! Pepa hilo nalo hatari. Huyu ni nambari za...
  10. Kijana ushe2

    Uchaguzi 2020 Mambo muhimu yanayokifanya Chama cha Mapinduzi kiweze kuibuka kinara katika uchaguzi 2020 Oktoba 28

    Imeandaliwa na Mwl.ngh'oloyape, Habarini wanajamvi wa siasa forum nimejaribu kufuatilia siasa za Tanzania na jinsi ambapo tunajinasibisha mitaani kwamba Lissu atakuwa Rais wa JMT nimegundua na kuweza kuona hawezi kufikisha 40% kwa ujumla katika uchaguzi huu kwa sababu kuu zifuatazo: 1. Chama...
  11. Kijana ushe2

    Chama changu CCM tuchangamke tunapotea sana

    Wasalaaam Mimi kada mtiifu wa chama Cha MAPINDUZI CCM ninawasalimu kwa hekima watu wote bila kujali rangi Wala chama. Naomba nijaribu kutoa hili dukuduku langu ambalo chama changu hasahasa KATIBU MKUU na MWENYEKITI wetu hawapendezwi nayo kabisa. 1. RUSHWA, ndugu wanachama rushwa ndani yetu...
  12. Kijana ushe2

    Nimenunua kiwanja lakini kina shida

    Habari za asubuhi wanajf wenzangu Awali ya yote namshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kunijalia kuwa SALAMA wa AFYA. Nimenunua eneo la makazi kwa muuzaji ambae hapo awali walielewana na mtu kimdomo bila maandishi na akapewa hela laki 1 (NILIKUWA SIFAHAMU KUHUSU HYUO MUNUNUZI ) Baadae wakawa wanatafuta...
  13. Kijana ushe2

    Matokeo kidato cha pili 2019 yanatoka lini?

    Ndugu wana taaluma idara ya elimu habari za asubuhi, Naomba mwenye tetesi au lini matokeo ya hawa vijana yanatoka lini maana humu JF kuna watu wapo kwenye Baraza la Mitihani la Tanzania na naamini Wana ratiba kamili kuhusu lini matokeo yanatoka siku ndio zimeyoyoma zaidi Jumatatu vijana lazima...
  14. Kijana ushe2

    Soko la pamba: Serikali haiko makini Wananchi kanda ya ziwa waliwa

    Ndugu wanajopo habari za siku nyingi na pilikapilika za kulijenga taifa letu la uchumi na viwanda . Naomba mawaziri na manaibu mawaziri waliopo humu wajaribu kufuatilia kuna wananchi kanda ya ziwa wameuza pamba kwa mkopo mpaka sasa hawajapata hela yao lakini pamba imeshatolewa kwenye stoo za...
  15. Kijana ushe2

    Kusoma masters ya education

    Ninaomba kujuzwa je GPA 2.6unaweza soma master ya education either kupitia Open university au kupitia vyuo vya kawaida Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Kijana ushe2

    Nauliza Itilo sec school nzega mjini

    Naomba msaada kwa mtu yeyote hapo anisaidie mawasiliano ya simu nataka nipate mwanga zaid Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Kijana ushe2

    Kama unahitaji vitabu vya advanced level physics njoo PM tuyajenge

    Habari za siku wana jamii forum wenzangu mimi ni mwalimu by professional hivo imenibidi nihangaike huku na huku kutafuta vitabu na mpk sasa namshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kupata vitabu muhimu kabisa kwa bei ya kawaida kwa INDIAN BOY mmoja ambae nimekuwa rafiki yake kupitia Mtandaoni Kwa leo...
  18. Kijana ushe2

    Barcelona asubiri fainali moja na Alaves(Copa Deley)

    Wanamichezo leo ni wasaa wa kusubri wanavyoharibiwa uwanjani kwao BARCA na wazee wa TURIN naamin mwenye macho haambiwi tazama game ya leo mtu analala kwake 2 kwa moja macho yetu 2145 wasaa wa game yenyewe sisi tumetangulia na majirani zetu ATLETICO MADRID tunawatazama nyie wabebwaji kwa...
  19. Kijana ushe2

    Mimi mgeni wenu humu

    Napenda kukaribishwa kwa bashasha nyingi za hapa na pale.Mimi ni kijana kutoka katika mtaa maarufu kabisa hapa TANZANIA ambapo mke wa mtemi wa UNYANYEMBE alihongwa hela kwa ajili ya kutekeleza kile kilichokuwa kimedhamiriwa na Wazungu HONGWA KINAMAPULA nasema NAWAKARIBISHENI SANA KWETU KIJIJINI...
Back
Top Bottom