mh magufuli ameanza kwa kasi kujaribu kutekeleza ahadi na kurekebisha mambo ambayo hayakua sawa kwenye utawala uliopita,, je ni sahihi badala ya kumpongeza na kumtia moyo , kumkosoa na kujudge yale machache aliyoamua? watanzania wenzangu hamuoni kuwa mnakatisha tamaa uhudi zake na kuikwamisha...
nikweli kwamba aliondoka kwa hiari yake,hata hivyo alikuwa ni kijana mkubwa tu kama miaka 32 hivyo swala la kumpeleka hadi kwao lilikua gumu,hata ivyo kama hakutaka kwenda ingekua ngumu kumkamata kumrudisha kwao
Ni kweli tulifanya kosa,lakini cha muhimu sasa ni kuangalia nini cha kufanya.tunajaribu kufatilia kwa rafiki zake tumegundua kwao ipogolo.tunajaribu kutafuta ndugu zake
Tulikua na kijana wa kazi kutoka iringa,tuliishinae kwa takribani miezi kumi na tatu lakini alikuja kudhihirisha tabia zake za ulevi kupita kiasi,kiasi cha kusahau majukumu yake.mwisho wa siku yeye mwenyewe akaamua kuondoka nakusema anaenda kwao.basi tukampa chake,tukaagana.lakini inasema...
Mbona mi nilitegemea ki2 kama icho,we mtu siku ya kwanza kashaanza kurukiarukia wanaume,mara kamdandia buster,nikona hapa!!haya sasa.punguza shobo wewe!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.