Search results

  1. Joeli

    Njia rahisi ya kuondoa matangazo kwenye simu zenye Android 9 kuendelea bila kuroot

    Kama unatumia simu ya android kuanzia toleo la 9 pie, basi njia inakufaa. Huitaji ku root. Jinsi ya kufanya 1.) Nenda Settings --> Connections --> More connection settings --> Private DNS 2.) Chagua Private DNS provider hostname 3.) Sehemu iliyo wazi, jaza moja kati ya anwani hizi hapa...
  2. Joeli

    Msaada Galaxy note8 imeingia ukungu

    Nna Galaxy note8 ambayo naitumia tangu mwaka 2017 mwezi wa kumi na moja. Ni water resistant, hivyo uwa kuna siku napiga picha nikiwa ndani ya maji na haijawahi nisumbua. Wiki iliyopita nimeingia nayo kwenye maji nikapiga picha vizuri, ila baada ya muda ika anza kustuck, nikaireboot, ikawaka...
  3. Joeli

    Msaada Galaxy note8 imeingia ukungu

    Nna Galaxy note8 ambayo naitumia tangu mwaka 2017 mwezi wa kumi na moja. Ni water resistant, hivyo uwa kuna siku napiga picha nikiwa ndani ya maji na haijawahi nisumbua. Wiki iliyopita nimeingia nayo kwenye maji nikapiga picha vizuri, ila baada ya muda ika anza kustuck, nikaireboot, ikawaka...
  4. Joeli

    Samsung Galaxy S9 na S9 Plus, Muonekano, Bei na Features mpya

    Jana Tarehe 25 Feruary katika Maonesho ya Simu ya MWC Kampuni ya Samsung imezindua Simu mbili mpya Samsung Galaxy S9 na Samsung Galaxy S9+. Mtaawasaba imefanya uchambuzi wa kina katika simu hizi mbili na kukuletea sifa, muonekano, bei ya vitu vipya vilivyoongezeka katika simu hizi mbili. Muundo...
  5. Joeli

    Msaada line ya TTCL ninayotumia kwenye router haisomi kwenye simu

    Habari wanajukwaa, Nna line ya ttcl ambayo naitumia kwenye mobile router hizi za huawei (dashboard yake haina option ya kurecharge). Tatizo linakuja wakati wa kujiunga na kifurushi. Nikiitumia hiyo line kwenye simu karibia zangu zote uwa haisomi (inaandika emergency call only) ila nikiirudisha...
  6. Joeli

    Kickass torrents gone for good?

    Tovuti mashuhuri na maarufu inayolist torrent ya kickass torrent au kat.cr imefungwa na serikali ya Marekani pamoja na mmiliki wake kukamatwa huko Poland. Tovuti hiyo iliyojipatia umaarufu na kuwa the largest torrent site on earth baada ya the pirate kuzamishwa na umaarufu wake kupungua, vyanzo...
  7. Joeli

    Google watangaza toleo jipya la Android

    Jana katika mkutano wakila mwaka na madeveloper uliopewa jina la I/O, kampuni ya Google ilitangaza toleo jipya la android lililopewa codename android m, ambayo inatarajiwa kuchukua nafasi ya android lolipop ambayo iko kwa sasa. android m ambayo imeachiwa jana rasmi kwa ma developer, itaanza...
  8. Joeli

    Re: Wana IT msaada tafadhali

    .
  9. Joeli

    Njia rahisi kurudisha mafaili yaliyofichwa na virusi kwenye flash au External hard disk

    ishawahi kukutokea umeweka flash au external hard disk kwenye kompyuta na pale pale mafaili na mafolda yote yakageuka shortcut au yakapotea kabisa, kuna njia rahisi (kwa watumiaji wa windows 7 na kuendelea) ambayo itasaidia kurudisha mafaili yako pamoja na mafolda yaliyokuwemo ndani ya flash...
  10. Joeli

    Haya ndio maneno watanzania waliyotafuta sana kupitia google kwa mwaka 2014

    Kwa mujibu wa Google trends, mwaka 2014 watanzania wame google maneno yafuatayo kwa wingi. haya ndio maneno 10 yaliytafutwa kwa sana... Pia kuna list ya maneno ambayo yametafutwa kwa kasi sana, kutokana na sababu za kimaadili sitapost list hiyo, ila unaweza jionea mwenyewe hapa
  11. Joeli

    Google imetangaza rasmi Android 5.0 Lollipop

    Sio tetesi tena, jana Google wametangaza toleo jipya la operating system yao ya android. Toleo hilo ambalo mwanzoni lilijulikana kama android L sasa imethibitishwa kuwa L inasimama badala Lollipop. Pamoja na kutangazwa kwa toleo hili jipya ambalo litaanza kupatikana rasmi kwa watumiaji wa...
  12. Joeli

    Blackberry waja na simu mpya, Blackberry passport

    Basi nikjua kampuni ya blackberry ilishajifia kitaaambo, actually haipo kwenye race za smartphone japo siku za awali wao ndio walikuwa vinara, anyways siku mbili zilizopita jamaa wametoa kitu kipya walichokipa jina la Blackberry Passport. simu hii ina kioo cha mraba pamoja na physical...
  13. Joeli

    Iphone 6 is here

    kwa mujibu wa mitandao ya neowin na mingineyo wameanza kupost picha na video za iphone 6. picha zimetolewa na mtandao wa kichina na wale jamaa ambao ndio hujulikana kwa kuleak product za apple kabla hazijatoka wanaojulikana kama 9to5mac tayari wanaamini picha na video ni za iphone 6 halisi...
  14. Joeli

    Samsung wametoa Galaxy Note Edge flagship

    Haya tena wale wapenzi wa teknolojia hasa gajeti, leo Samsung wamezindua flagship yao kutoka familia ya Galaxy note amabyo inakwenda kwa jina la Samsung Galaxy Note edge. Simu hii ina kioo klichojikunja tofauti na flat screen tulizozoea, kwa sasa hii ndio highest end phone kutoka Samsung...
  15. Joeli

    Sikiliza: Profesa Jay – Tatu Chafu mp3

  16. Joeli

    Wataalamu wa simu za android clone

    Dogo kaja na simu yake Galaxy s4 inajirestart kila muda mpaka itakapoisha chaji izimike. mie kwa haraka haraka nikaona hapa naiwekea firmware mpya maana factory reset haijasaidia kitu, hapo ndio shida ilipoanzia, kabla sijaanza kudownload android 4.4.2 kitkat nikaona kwanza niikague...
  17. Joeli

    Samsung wazindua tablet line ya Galaxy tab S

    Muda mchache uliopita kampuni ya Samsung wamezindua flagship tableti yao mpya kwenye familia ya Galaxy tab. Ambapo kuanzia leo tarehe 13 juni watu wataweza kuiagiza kabla haijaanza kuuzwa madukani mpaka hapo mwezi ujao. Tableti hii ambayo inatoka ikiwa na ukubwa wa aina mbili yani toleo lenye...
  18. Joeli

    MyElimu.com - Mtandao unaowakutanisha wanafunzi wa sekondari Tanzania

    myelimu.com ni mtandao unaowaleta pamoja wanafunzi wote wa sekondari Tanzania kujadili masomo pamoja na maswala mengine mbalimbali ya kitaaluma. Muanzilishi wa mtandao wa myelimu.com Bwana GIVENALITY anasema, mtandao huu ni njia nzuri ya wanafunzi kuafaidi utandawazi hasa intaneti, badala ya...
  19. Joeli

    Dr. Dre - Bilionea wa kwanza mwana hiphop

    Taarifa ambazo amezithibitsha mwenyewe Dr. Dre ni kwamba kampuni ya apple wananunua beats by dre kwa dola za kimarekani bilioni 3.2 na kumfanya awe mwana hiphop wa kwanza billionea. =====================================================
  20. Joeli

    Mtoto wa mbuzi kwa kiswahili anaitwaje?

    Kwa anayefahamu jina hasa la mtoto wa mbuzi kwa kiswahili anifahamishe.
Back
Top Bottom