Search results

  1. P

    Kati ya Songea na Singida ni mkoa upi mzuri kwa mtu anaetaka kuishi na kujishuhurisha na ufugaji na kilimo?

    Naishi Singida karibu sana kama una lengo la kufuga kuku aisee huku ndio penyewe njoo pm nikupe full data za Singida
  2. P

    Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Karibu sana ni pm tafadhal
  3. P

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimewahi kuuliza kuwa kuna eneo hapa singida mjni karibu kabisa na substation panaitwa kimpungua hapana umeme halafu ni mjni kwanini tanesco mmeshindwa kupeleka umeme?
  4. P

    Nauza mashine ya selcom

    Biashara Mzee kama haikulipi haina Tatizo
  5. P

    Nauza mashine ya selcom

    Laki 2 ni pm
  6. P

    Natafuta mume "very serious"

    Karibu
  7. P

    Elimu ya msingi kuwa miaka 6?

    Jibu ni kweli mwisho darasa la 6 hiyo mbona ilishatangazwa tangu mwaka 2016 saiv walionza na huo mfumo wapo darasa LA tatu
  8. P

    Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    We unapata kiasi kwa mwaka acha kulalama hujalazimishwa kusali hapo kwenye jumuiya nenda makanisa mengine yanayotoa sadaka ukisali unapewa,na hela ya bajaji ya kurudi kwako
  9. P

    Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

    Bukulu kondoa hapa
  10. P

    Mwl mwenzangu anataka mume

    nicheki pm tuzungumze kwa kina
  11. P

    Nahitaji gari ya Mil 5.5 mpaka 6.5

    old school new model
  12. P

    Nahitaji gari ya Mil 5.5 mpaka 6.5

    njo nikupe peoget km unataka gar ya kaz
  13. P

    Naitaji gari nzuri ya mkononi, bajeti yangu ni.....

    njoo pm nikupe gar km bdo hujapata
  14. P

    Azam news wamekuja Juu sana kwa habari

    mambo mengine bhana Yani kweli unafananisha azam na itv ya Sam mahela huko ni kumkosea kbs bakhresa azam fananisha BBC au Al-Jazeera na km michezo fananisha na bein sports au superspot itv walishindwa hata kuonesha sports pesa picha za hovyo kbs
  15. P

    Uzi kwa ajili ya kuwataja wale unaohisi wanaweza kuukwaa ukuu wa wilaya

    Charles Hilary anastahili kuwa mkuu wa wilaya hata wa mkoa
  16. P

    Kwanini jezi ya Ibrahim Ajibu Migomba inauzwa bei kubwa sana ukilinganisha na ya Niyonzima?

    angalia maneno ya kuandika mkoani ndo wap yawezekana ww mwenyew umezaliwa kambi ya fisi mbulu leo unajiita wa mjini
  17. P

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    kimya mpk leo sijapata ufafanuzi wa swali langu
  18. P

    Nauza sofa , Startimes , feni

    weka picha
Back
Top Bottom