Search results

  1. palsa

    Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    I am the opposite. Huwa nasahau kuna huo upande wa maisha😁😁. Kuna saa nakua napanga mipango then nashtuka najiuliza hii mipango mbona kama haina considération ya mwili mmoja.
  2. palsa

    Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    Kumbukeni kuna swala la nguvu kupungua kuendana na umri. Sawa mtapata wanawake vijana ila kusaidiwa kutahusika.
  3. palsa

    Kazi ya Translation

    Nilipata.
  4. palsa

    Kazi ya Translation

    Naufufua huu uzi! Nahitaji watu 7 kwa ajili ya kazi ya kutafsiri kutoka kiswahili kwenda kingereza. Naomba unitumie email yako kwa sms hapa. Nitakuemail maelezo mengine! mwisho wa kinitumia PM ni kesho saa sita mchana. Tafdhali uwe na uzoefu na kazi hii.
  5. palsa

    Ana 1 ya 7 PCB, yatima anasomea udaktari na kakosa mkopo

    UDOM? yani UDOM iwe juu ya KCMC?
  6. palsa

    Yameanza kwa TRA yatafata kwengine, TRA kusimamia wenyewe ajira badala ya utumishi tunarudi kule kule kwenye ajira za ukoo na kujuana

    Utumishi walikua wanaajiri watu, wakifika kwenye mashirika mashirika yanawarudisha sababu hawakidhi viwango. Sasa sielewi inamaana process nzima ya kuajiri haikua inamhusisha aliyeomba kuletewa watu au.
  7. palsa

    Idadi ya Waislamu duniani yafikia Bilioni mbili mwaka 2023

    Kutakuja tokeo tabaka, dini huwa zinakuja na utamaduni. Litatengenezwa tabaka la liberal muslims ambao watapindisha na kuondoa utamaduni wa muarabu.
  8. palsa

    Nini kinasababisha vijana kuoa 'mashangazi'?

    Huyo bwana harusi sio mzaramo lakini.
  9. palsa

    Nini kinasababisha vijana kuoa 'mashangazi'?

    Aisee... Inawezekana! kuna mbegu ya wadumavu inasambaa kwa spidi sijui itakuaje.
  10. palsa

    Nini kinasababisha vijana kuoa 'mashangazi'?

    Kwanini wanaume wa TZ wadogo wadogo kama watoto. Picha za zamani mbona watu walikua wamepanda.
  11. palsa

    Hoyce Temu kaanza mwaka vibaya

    Hao waliopewa nafasi kabla ya mamiss etc wamefanya nini cha maana. Zaidi ya wizi!!!
  12. palsa

    Asante 2022, nilipata mil. 4.5 kimasihara

    Humuhurumii aliyekosea muamala. Dah!
  13. palsa

    Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2

    Kila mtu aje na mali zake mkutane katikati ili kuepuka usumbufu.
  14. palsa

    Huyu Mzungu ni kweli yupo tayari ama natafutiwa njia ya kutapeliwa?

    Ogopa matapeli. Kuna tapeli mmoja alikua anahadithia wanavyodanganya watu, akasema kuna namna izo video zinakua recorded ili kumuaminisha mtu wa upande wa pili na wanatumia same video kwa kila mhanga ila akasema huwa maongezi yanakuwa mafupi na wanatoa sababu ili yasiendelee mfano kusingizia...
  15. palsa

    Interlocking blocks for low-cost construction

    Nahitaji 100 napata?
  16. palsa

    Majanga ya nyumba za hidden roof[contemporary]

    Na fundi kesharudi Msumbiji
Back
Top Bottom