Kuna taarifa kwamba Riz-one anamiliki vituo vya mafuta vya Lake oil. Anashirikiana na jamaa mmoja ambaye alikuwa bosi wake na waziri aliyeshindwa uchaguzi 2010.
Kumbe ndio maana jamaa wana jeuri ehhhh. Du hata JK ana tenda ya kusupply mafuta serikali ya Burundi ndo maana mama alikuja...
hawa jamaa ni hawkers. kuna jamaa alikuwa anawasiliana nao eti kashinda Pound laki tano.. the same message.. akawapa data wakaingia kwenye email yake.. sasa anakipata na email yake imefungwa... be careful of this........
jinsi mambo yanavyoelekea kubadilika kuna dalili kwamba viti maalum mwisho wake ni 2014. Je itakuwa jambo la mbolea iwapo tanzania itabakia na wabunge wa kuchaguliwa tu!!!!!
nimevutiwa sana na discussion ya CV ya spika. La msingi hapa tujiulize ni kwamba usomi wetu umesaidia nini. Angalia sokione, mrema na kawawa walikuwa statemen. Lakini wasomi wetu ni bure kabisa. Kigezo cha elimu ndo kinatuponza watanzania na tunaiba mitihani vyuoni ili tufaulu then tuajiriwe...
World Bank approves $59 mln infrastructure loan for Tanzania
DAR ES SALAAM, July 1 (Reuters) - The World Bank said on Friday it has approved additional financing of $59 million to support the improvement of Tanzania's transport infrastructure.
The latest loan is in addition to an...
SOURCEsOURCE bUSINESS tIMESDate: Fri, 24 Jun 2011 17:09:20 +0100
Subject: Legitimacy crisis mounting over Tanzania's undisciplined regime (BT)
Written by Times Reporter
Friday, 24 June 2011 05:30
TIMES REPORTERS
THE Tanzania economy recorded relatively good economic growth over the last...
Niko hapa belgium naambiwa watanzania wakarimu na matajiri sana kwani raisi wetu hakatai mialiko hata graduation ya chekechea na anatumia fedha za dhahabu tunazouza.... Du kweli mambo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.