Search results

  1. mwanaludewa

    Rais Samia: Nani atazikwa na hela?

    Majizi karibu yote yana nature ya kujifanya yana hofu ya Mungu
  2. mwanaludewa

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Tafitini mjue hitaji la soko!!! Nilimsikia Muungwana mmoja "Watanzania si wajinga"!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mwanaludewa

    Akram Aziz adaiwa kukamatwa na nyara za Serikali

    Wamekagua mfukoni ana kadi ya chama gani?Kadi ya chama atakayokamatwa nayo ndiyo itabainisha sura na rangi halisi ya chama na wanachama wa chama hicho.
  4. mwanaludewa

    Huyu ndiye kiongozi mwenye mamlaka makubwa duniani kuliko mtu wa aina yoyote

    Ukiendeleza mjadala na watu hao utaumwa kichwa!Roho ya chuki inawatesa!Nao ni mawakala wa roho za kuzimu.
  5. mwanaludewa

    Huyu ndiye kiongozi mwenye mamlaka makubwa duniani kuliko mtu wa aina yoyote

    Duniani umeishi saana haizidi miaka 100!Haya mambo ukifuatilia saana unaweza hata ukalazimika kufunguliwa faili pale Mirembe!!!!! Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  6. mwanaludewa

    Mwanza: Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge

    Kuna watu kwa makusudi wameingia kwenye siasa kimakosa.Mbaya zaidi wakapewa mamlaka makubwa!Najiuliza tu hivi kazi ya mbunge ni nini? Hivi huwezi kufanya siasa za kiustarabu ukiwa nje ya ccm?Nini maana ya mfumo wa vyama vingi vya siasa?Kwanini Kiongozi mmoja kasema kuhamia kwao mwisho ,,Disemba,?
  7. mwanaludewa

    Propaganda za TBC zitamfanya Rais Magufuli asiione MBINGU bila sababu za Msingi sana

    Kwani kuna tofauti kati ya TBC,Uhuru na ccm?Ongeza Habari Leo,Jamvi la Habari,Tanzanite,Hoja,Tazama nk.
  8. mwanaludewa

    Bodaboda 'za Lugola' zenye tela kuwa hivi...

    Miongoni mwa wizara tata Tanzania hii ni miongoni
  9. mwanaludewa

    Mbunge James Mbatia, amchomolea RC Makonda mwaliko wa uzinduzi wa Flyover ya Tazara

    Tatizo neno "Mfumo wa vyama vingi vya siasa"Limetafsriwa hovyo!Bro Makonda anajiona anajua kila kitu!Kitendo cha kuaminiwa na mtu mmoja mwenye mamlaka anajiona anajua kila kitu.Watu wakishakuwa na magwanda yao ya vyama hekima wanaipeleka likizo.
  10. mwanaludewa

    Tanzania haimo kwenye nchi 50 zenye amani

    Na bado!Nasikia ipo orodha ya juu ktk nchi ambazo wananchi wake hawana furaha!Amani na furaha ni vitu vinavyoendana!
  11. mwanaludewa

    Baada ya TCRA kuzuia local channels, Chaneli za Kigeni zinazotumia Kiswahili zashika usukani. Kenya yatawala soko

    Ni ngumu kwangu kuangalia TBC 1 angalau dk 30 mfululizo inakinzana sana na utashi wa akili yangu!Lakini haina shida najifariji na K24.Kama wanaamini wataipaisha TBC1 ngoja tuone!
  12. mwanaludewa

    Nini kimewapata wapinzani kiasi cha kuhamia CCM kila kukicha?

    Kwa sasa wanafuata sehemu watakayokula mkate kwa Amani!Wengi si wanasiasa ni wapigania fursa!Wameipata na wanaitumia! Halafu kwa mbaali naona ni mkakati ambao umesukwa kikamilifu. Kama ni diwani amebaki na udiwani wake,kama ni mbunge amebaki na ubunge wake,kama alikuwa hana cheo amepewa!Tena...
  13. mwanaludewa

    Freeman Mbowe kuongoza uzinduzi wa sera za Chadema toleo la 2018

    Mambo kama haya yanatakiwa yajibiwe kwa hoja lkn wengine akili zetu zinatutosha wenyewe.
  14. mwanaludewa

    Chaguzi za Marudio mpaka sasa zimegarimu bilioni 80 sawa na vivuko 6 vipya

    Kati ya vitu vinavyoligharimu taifa kwa sasa ni chaguzi za marudio.Ulianza kama mchezo wa kuigiza hivi lkn hadi sasa faida za marudio ya chaguzi hizo zikiwekwa kwenye mizania ya watu wenye fikra huru na hasara zake,lzm ielemee kwenye hasara! Si mikokotoo tu ya ngawira lkn zimechochea uhasama wa...
  15. mwanaludewa

    Simu za Mkononi ndio Janga linalotafuna Maisha ya watanzania kwa kusababisha ajali

    Simu ni janga si kidogo!majumbani hakunogi,ndoa kusalitiwa,kazi haziendi(darasani,mabenki,ofisini),mashuleni,barabarani kuanzia watembea kwa miguu hadi wale wa Kimara-Gerezani,waendesha mitumbwi hadi nyambizi!Kimsingi ni zaidi ya janga!!
  16. mwanaludewa

    Kumbe Sumatra ni mbuzi wa kafara kisheria hawausiki na chombo chochote cha Serikali

    Pengine kuna wengine watafuata!Muda atakuwa hakimu.
  17. mwanaludewa

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Ulivyoandika na ulichokiandika kinatafsri ulivyo
  18. mwanaludewa

    Ripoti ya CAG ni ngumu! inaweza kuzua makubwa yasiyotarajiwa, bado mbichi mno!

    Hazijaibiwa bali zimetumika ima bila maelezo ya kujitosheleza au nje ya bajeti iliyopitishwa na bunge! Jibu ni jepesi wafuatao haiyamkini wakawa na majibu mujarabu >Wabunge wote walioachia ubunge wao na kupelekea chaguzi za marudio! Kauli zao zilikuwa "Tunaachana na vyama vyetu ili kuunga mkono...
Back
Top Bottom