Search results

  1. DarProperty Tz

    Soma Jarida la The Darproperty bure, fuata link hii http://www.darproperty.co.tz/monthlyIssue/viewLatestMagazine

    Jipatie taarifa na maarifa mbalimbali kuhusu sekta ya miliki kuu kupita jarida hili. Soma Jarida la The Darproperty bure, fuata link hii The Magazine(March 2019)
  2. DarProperty Tz

    Dar property

    Investments opportunities in Dubai's new down town
  3. DarProperty Tz

    expoArusha

    Karibuni expo Arusha ,karibuni muone vitu tofauti na vilivyozoeleka kuhusu nyumba na materials zingine za kujengea
  4. DarProperty Tz

    Tanzania's premier real estate exhibition 2017

    this tym it will be held in three different cities,Arusha,Dodoma and Dar es salaam for further information go check our website DarProperty: East Africa's Ultimate Property Guide
  5. DarProperty Tz

    Tanzania's premier real estate exhibition 2017

    This is a unique property exhibition ever happened in Tanzania.The event will feature top brands in the real estate ,sub sector,that include but not limited to:Real estate developers.Real estate agents,mortgage lenders,constructions and building services providers. For further details...
  6. DarProperty Tz

    Yatakayojiri 2016 katika sekta ya Milki (real estate), Bei za pango kushuka

    Unalolisema lina ukweli lakini litatengeneza the negative effect huko mbeleni, yaani, kama interest rates zikishuka watu wengi wataweza kumudu kununua nyumba, hili lisipoenda sanjari na ongezeko la idadi ya nyumba tutafikia sehemu idadi ya nyumba haitatosha maihitaji hivyo kupandisha bei za...
  7. DarProperty Tz

    The third Darpoperty Expo

    Limited space available to the biggest real estate exhibition in Tanzania. Don't miss out call now and book your space among the greats in real estate.
  8. DarProperty Tz

    Ripoti ya soko la mikopo ya nyumba 2015.

    Tanzania Mortgage Refinance (TMRC) imetoa ripoti ya soko la mikopo ya nyumba Tanzania kwa mwaka 2015. Ufuatao ni muktasari wa ripoti ya TMRC; Soko la mikopo ya nyumba limeandikisha ukuaji mdogo wa 1% tu katika robo ya nne mwaka 2015. (Robo ya tatu ya 2015 ukuaji ulifikia 6.7%) Mlinganisho wa...
  9. DarProperty Tz

    Linda nyumba yako na Darproperty Insurance

    Linda nyumba yako na eneo lako la biashara dhidi ya moto na wizi. Mfano; Jihakikishe (insure) nyumba yako au eneo lako la biashara la thamani ya TSH milioni 100 kwa kiwango kidogo cha TSH. 150,000 tu kwa mwaka. Jihakikishe sasa na Darproperty Insurance. Piga simu no. 0654058869. Wakati...
  10. DarProperty Tz

    Ukiwa na mipango mizuri, kuwa na nyumba nzuri inawezekana

    Ukiwa na mipango mizuri kuwa na nyumba nzuri inawezekana. Kabla ya kuchukua hatua panga na fanyia uchunguzi mipango yako. Je itakuwa rahisi zaidi kuchukua mkopo wa nyumba kujenga na kuhamia kwenye nyumba yako huku ukilipa mkopo taratibu au kupanga na kujenga taratibu? Darproperty Mortgage...
  11. DarProperty Tz

    Wenye nyumba wana nafuu kuliko wapangaji jijini

    Watanzania wanaonunua nyumba kwa mikopo ya nyumba kutoka kwenyye taasisi za mikopo wanaokoa mpaka Tsh. 51,336,000 (USD 18600) kwa mwaka tofauti na wanaoamua kupanga. Marejesho ya mkopo wa nyumba ya makazi ni nafuu kulinganisha na kodi ya nyumba ya kupanga katika maeneo ya jirani na jiji. Kwa...
  12. DarProperty Tz

    Yatakayojiri 2016 katika sekta ya Milki (real estate), Bei za pango kushuka

    Karibu 2016, mwaka huu tutarajie kushuhudia mabadiliko makubwa kwenye sekta ya milki (real estate). Baada ya kuikaribisha serikali ya awamu ya tano ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania chini ya Raisi Dr John Magufuli. Raisi mpya, serikali mpya na mipango mipya. Utabiri huu ukwa kiwango kikubwa...
  13. DarProperty Tz

    DARPROPERTY

    Soma jarida la Darproperty la mwezi huu lililosheeni makala zilizofanyiwa uchunguzi, nyumba, viwanya na bidhaa bora zaidi za sekta ya ujenzi na nyumba. Usikubali kupitwa, Bofya hapa The Magazine
  14. DarProperty Tz

    DARPROPERTY THIRD EXPO.

    It's getting bigger and better than ever, The third Darproperty Expo for the first time in Arusha (New Arusha Hotel). Save the date.
  15. DarProperty Tz

    Darproperty Insuarance

    You take care of your investment, we take care of your risk.
  16. DarProperty Tz

    THE DARPROPERTY JANUARY EDITION.

    Its here The Darproperty Magazine January Edition. Packed with new property on the market and real estate news and insight, simply click The Magazine
  17. DarProperty Tz

    THE DARPROPERTY APP.

    We have made your life even easier download The Darproperty App on your device now and have access to real estate latest news and insights and the all the properties available in the market through out East Africa anytime any where. We are East Africa's ultimate property guide. Simply click the...
  18. DarProperty Tz

    Pendezesha kuta zako

    Kuwa mbunifu na ufanye ukuta wako uwe wa kuvutia kwa gharama nafuu. Pakaa rangi ukuta wako kwa kutumia lola ya kupaka rangi na ubadilishe muonekano wa nyumba yako. Inashuriwa kupakaa rangi ya chini (msingi) iwe ime poa na ya juu iwe ikolea zaidi (bofya apa kuangalia rangi mbalimbali Plascon...
  19. DarProperty Tz

    Salaam za sikukuu

    Salaam za sikukuu kwa wadau wote wa milki (real estate)
Back
Top Bottom