Search results

  1. Mwifwa

    Natafuta mke wa kuoa

    Ngoja wahusika waamke
  2. Mwifwa

    Hivi kuna ushahidi gani wa kwamba mimea haipati maumivu inapokatwa?

    Kama haipati maumivu basi Mimisa pudica isingekuwa ina kunja matawi inapokuguswa
  3. Mwifwa

    Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

    Public ni kujiexpose kwa halaiki/watu. Hapo usiku umekutana na nani zaidi ya mwenye duka..
  4. Mwifwa

    Shabiki la Mamelod Sundowns damu

    Tuliosoma kwa Cuba tumekupata
  5. Mwifwa

    Ushauri: Ripoti ya CAG isirudiwe tena kusomwa hadharani, inatia hasira na kuleta manung'uniko, wanaotuhumiwa hawajawahi kukamatwa

    Tuendelee kushuhudia maajabu kwa wenzetu. Juzi hapa Msenegali kachukua madaraka, hiyo yote ni sababu ya utayari wa wananchi kwenye kujikomboa
  6. Mwifwa

    Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

    Kila mtu na hulka yake, ila kwa sasa imekuwa fasheni ikiambatana na ulimbukeni
  7. Mwifwa

    Shabiki la Mamelod Sundowns damu

    Ukiswitch akaunti usisahau[emoji2][emoji2]
  8. Mwifwa

    Shabiki la Mamelod Sundowns damu

    Tumekupata kabisa 1979magufuli
  9. Mwifwa

    Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko

    Hivi mifumo haisomani, yaani integrated? ambapo kitu kikikatwa kinaingia mahala pake? Hata hawa waliokopa bank ambapo salary slip itaonesha wamekatwa na bank hizo hela hadi mwajiri azipeleke Bank? Sijui kuhusu hili naomba kuelimishwa
  10. Mwifwa

    Umewahi kusikia kitu kinaitwa Tego?

    Mtego mzuri ni ule wa kugandiana kama Dogs[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Huu ukiambiwa uweke reheni mali yako, mbona fast tu unaweka kitu mezani ili mtego uteguliwe Kuna mkasa si uliletwaga humu jamvi miaka ya 2017(kama sijakosea), tukio lilitokea huko Tanga
  11. Mwifwa

    Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

    Sasa kama linaburuzika hadi chini kwanini usilikanyage na ukizingatia kushuka ngazi litakuwa karibu kuburuzika Pia hukulikamata na kulivuta juu kama mnavyofanya kwenye madera
  12. Mwifwa

    Yuko wapi Mzee wetu Agrey Mwanri?

    Mimi ni typing error sababu ya key board "h" na "j", "t" na "y" zimekaribiana ni rahisi kuteleza na kugusa herufi iliyokaribu. neno " bahati" nimeliandika vizuri pale mwanzo, ila lingine ndio nimeteleza. Yeye neno "Mwandri" sio bahati mbaya maana hapo ni lazima kutokana na matamshi yake ndio...
  13. Mwifwa

    Ushauri: Ripoti ya CAG isirudiwe tena kusomwa hadharani, inatia hasira na kuleta manung'uniko, wanaotuhumiwa hawajawahi kukamatwa

    Kazi yake ni kukagua ma kutoa ripoti. Sualabla kufanyiwa kazi ni suala la serikali. Kama serikali haiizifanyii kazi basi huo ni "..........wake" - Prof Asad
  14. Mwifwa

    Ushauri: Ripoti ya CAG isirudiwe tena kusomwa hadharani, inatia hasira na kuleta manung'uniko, wanaotuhumiwa hawajawahi kukamatwa

    Itasomwa tena kwa kina mbele ya media Ya leo ilikuwa ni brief tu kwa Rais
  15. Mwifwa

    Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  16. Mwifwa

    Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

    Sasa kama umevaa ndefu iliyofuata mwili hadi miguu ilivyo, kwanini usianguke. Kuna vitu huwa mnalazimisha hata hadhira wanaona haviwapendezi. Nguo ndefu pana utaangukaje
  17. Mwifwa

    Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

    Hahahaaaa Hapo kuanza kuinama kwa kuvizia ndipo huwa nafikiri sijui kwanini hamuwazi sawasawa pindi mnapovaa nguo za namna ile
  18. Mwifwa

    Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani akinyoosha mikono juu akiwa amesimama, neema inaanza kupunga upepo
Back
Top Bottom