Search results

  1. tokenring

    Wanaume mnakera sana

    Sasa si ungesema tu huyo mwanaume wako, kuliko kutujumuisha wote.Maana kama Mimi niko makini kwa Majukumu yangu.
  2. tokenring

    Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Ndugu kweli huna akili timamu. Yani mtu kaachwa kugongwa kimya kimya huko hadi asubiri mpo wote ndiyo aje agongewe chumba Cha lodge mliyofikia, hiyo ni dharau kiwango Cha Flyover. Maana alivyo kuaga anatoka alikuwa na uwezo wa kwenda kupigiwa lodge nyingine, Kwa hiyo itoshe kusema MUACHE na...
  3. tokenring

    Namba 13 ina shida gani?

    Ubungo Plaza ipo floor ya 13
  4. tokenring

    Ufanye nini gari yako inapofeli breki?

    Asante kwa darasa . Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  5. tokenring

    Naweza kupata basi la saa 5 usiku kutoka Mwanza kwenda Musoma?

    Nafikiri amemaanisha Lamadi Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  6. tokenring

    Tabiri hapa matokeo ya mechi ya marudio kati ya Simba SC dhidi ya Wydad Casablanca

    Mbona umetoa utabiri wa kiujumla ndugu mnajimu?!!! Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  7. tokenring

    Mapenzi yananitesa, bora nife tu

    Acha ujinga we jamaa, Kwa hiyo unataka ufe ili umpe mwanya Ashura ale good time na kaka Yako? We achana naye tafuta maisha mengine
  8. tokenring

    Kuna anguko kubwa sana la kujua kuandika sentensi na herufi sahihi za maneno miongoni mwetu Watanzania

    Wakati mwingine unakuta anayeandika hivyo ni msomi kabisa! Inasikitisha kwa kweli!
  9. tokenring

    CRDB Bank hela zetu nani wanazitoa kwenye account

    Hii kesi hata mm ilishawahi kunitokea! Nenda kwenye tawi hasa ulilofungulia akaunti kuna barua watakuandikisha,Kisha utasubiri ndani idadi ya siku watayokuambia na fedha zitarudi dusco dusco kama zilivyokuwa zinatoka. Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  10. tokenring

    Uchambuzi: Simba atapigwa 3-0 na Power Dynamo

    Wewe Sasa ndiyo tafsiri ya kamati ya roho mbaya!
  11. tokenring

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Usifanye hvyo mkuu,We tupia tupia kila unapopata nafasi! Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  12. tokenring

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Sasa INSIDER MAN si ungemcheki yule mama ake anayekaa Masaki badala ya Polisi.?! Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  13. tokenring

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Bro kama unaimalizia kuna PM tafadhali niendelezee na Mimi hizo episodes.
  14. tokenring

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Aaah twin polee nilikuwa nasoma soma story ya INSIDER ila Manta Maana yake ni "bila" yani manta shaka = bila shaka Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  15. tokenring

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Ukiipata nitag na mm ndugu yangu Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  16. tokenring

    Leo nahisi siku yangu imeanza vibaya

    Mkuu una uhakika hujaangusha elfu 10? Halafu huyo mwanamke akatumia fursa hyo ya kujilipia nauli na kukuachia 'chenji' yako yote. Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  17. tokenring

    Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

    Azaboy Mambo vp? Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  18. tokenring

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Labda Itakuwa mmewe kamla mkeo so huenda alikuwa anasaka malipizo. Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom