Search results

  1. Ruby Morogoro

    Rais Filipe Nyusi wa Mozambique

    Huyu ni miongoni mwa marais ambao nawapenda sana. Sikiliza kiswahili chake na jinsi anavyoelezea mpaka ya bunge? Mahakama na serikali toka kwenye video hii. Kuna hela za wahisani zimetumika ndiyo sivyo, anaelezea vizuri sana bila hata jaziba hatua zinazopashwa kuchukuliwa. Big up president...
  2. Ruby Morogoro

    Yellow maize

    Natafuta mwingi ya njano kuanzia tani 5 na kuendelea, mwenye nayo anijulishe.
  3. Ruby Morogoro

    White navvy beans

    Hello! Tafadhali nahitaji mtu mwenye maharage tajwa hapo juu. Nitaomba nijulishwe yapo wapi, Bei, na idadi. Asante.
  4. Ruby Morogoro

    Wizara ya Nishati yasema hakuna mgao wa umeme

    Wizara ya nishati imeendelea kushikilia msimamo wake kuwa hakuna mgao wa umeme nchini! Chanzo; AzamTV Sasa kauli yake anasema ni matatizo ya mashine kuwa ni mbovu zikitengemaa hali itarejea kawaida, tatizo Tanesco hawana spinning power reserve (ziada ya umeme) basi huo ni mgao, wateja...
  5. Ruby Morogoro

    Nahitaji Moonstone

    Tafadhali Mtu yeyote mwenye moonstone gem na yenye moto/silk kali awasiliane nami.
  6. Ruby Morogoro

    Marble stones

    Wale wazee wa mawe! Je kuna mtu anayefahamu wateja wa marbles stones?
  7. Ruby Morogoro

    Wanunuzi wa Spessartite garnet

    Naulizia wanunuzi wa spessartite garnet toka Mozambique. Km kuna wanunuzi wowote Arusha au Dar basi tujulishane. Karibuni
  8. Ruby Morogoro

    Mgao wa umeme upo?

    Kuna tatizo la maeneo tofauti kutokuwa na umeme kwa muda mrefu na bila taarifa toka TANESCO. Ni vyema tukapaswa kujua mapema kama ni tatizo la mgao wa umeme basi tujipange mapema kwa kukodisha generators kuokoa biashara zetu. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ruby Morogoro

    Mwenye moonstone gem tukutane hapa

    Naomba mtu yeyote mwenye moonstone ambayo ni gem tuwasiliane. Unaweza weka picha hapa na tuyajenge. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Ruby Morogoro

    Madini tukutane hapa

    Nimeona wajasiriamali tukutane hapa kwa kubadirishana mawazo juu ya madini ya aina mbalimbali. Ni kwa kuuliza maswali, kurusha picha za madini, kupeana ushauri, kujenga mtandao, masoko, nk. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ruby Morogoro

    Feldspar iliyochongwa

    Hapa napenda kuwaonesha ni jinsi gani madini yetu yakiongezewa thamani yanapendeza. Hayo machafu ni kabla ya kuchomgwa na mengine ni baada ya kuchomgwa. Feldspar hii ni grey colour na imetoka Morogoro maeneo ya Kilindi, wito wangu ni kwa wachimbaji wadogo waongezee thamani madini kwa kuchonga na...
  12. Ruby Morogoro

    Madini ya Rhodelite yanapatikana mkoa gani?

    Natuma tena ombi kuuliza km kuna mtu yeyote mwenye madini aina ya Rhodelite. Je madini haya yanapatikana mkoa gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ruby Morogoro

    Natafuta mawe haya kutoka Kondoa

    Natafuta mawe haya toka Kondoa, Haneti-Yebo. Mwenye nayo tafadhali ani PM! Yote hapo juu natafuta, Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom