Search results

  1. filadelifia toto

    RC Makonda, je unafahamu hili kuhusu mashoga na ushoga?

    Washamba , + malimbukeni.
  2. filadelifia toto

    Ukitaka kuichukia Serikali ingia JF mara nyingi

    Hivi; huu upumbavu utakoma lini? Si Kila anaenungunika alikua hana kipato halali. Haitaji kua na elimu ya msingi darasa 4, eti ndipo ujue madhira yanayo wakumba wakurima wa nchi hii kwa awam hii ya 5.wakulima wa Rudewa hawana wa kumuuzia Mahindi hata kwa hiyo bei ya kutupwa ya debe 1tsh 3000...
  3. filadelifia toto

    Haya: Zoezi la Uhakiki Lianze Mapema!

    Itakuwa ngumu,hivi; bwana yule alie tajwa mjengoni, amesha pimwa malinda? Nadhani aanze yee.
  4. filadelifia toto

    Haya: Zoezi la Uhakiki Lianze Mapema!

    Watu hawataki kupimwa tezi beberu, sembuse ushosti?
  5. filadelifia toto

    Barua ya kuachishwa kazi imeniharibia siku kabisa leo

    Haaaaa!!!wewe situmeongea hata nusu saa haijapita? Umeniambia ni siri ,kumbe Imesha fika huku?
  6. filadelifia toto

    Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

    Hii katiba ya 77 haifuatwi. Je, tukitunga mpya wasimamizi watashuka?
  7. filadelifia toto

    Tumefika hapa kwasababu ya CHADEMA, wanapaswa kuenziwa!

    Huo ndiyo ukweli usiyo pingika.ila kwakuwa tumehamia kusadikika, chini ya majivuno,ukweli utaitwa uongo na uongo utaitwa ukweli.
  8. filadelifia toto

    Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

    Watakuja kina ;Rutashobya ,Enjai ya kyasha, na msubili, Brtanica
  9. filadelifia toto

    Akram Aziz adaiwa kukamatwa na nyara za Serikali

    Silaha zote hizo? Kg ajitokeze mbele ya wandishi atoe ufafanuzi wamambo yafuatayo: Mosi; alianza kumfuatilia lini? Mbili:mapambano yakumkamata yamesababisha vifo, au majeruhi kwa Kwa pande zote mbili? Tatu:usalama wetu kama nchi uko wapi kama m2 mmoja anaweza kumili silaha zote hizo...
  10. filadelifia toto

    Haya ndiyo yaliyojiri leo huku La Paz nchini Bolivia

    Hii tim, kimataifa inafanya vibaya kwasababu:mwenyekiti, hana uzoefu na michuano ya kimataifa. Achilia mbali ile ya ubingwa ,hata ya kilafiki ni 0. Baada yakukabidhiwa timu kama mwenye kiti,alianza mikakati ya ushind.ikiwa nipamoja na kupiga marufuku wachezaji wote"kunywa viroba" haikuishia kwa...
  11. filadelifia toto

    Ibn Khaldun (1332-1406) na kodi

    Cha ajabu ,hazipati wachangiaji.
  12. filadelifia toto

    Uhasama wa KIANJA na KARAGWE

    Kuna hadithi kua;karagwe ilifua chuma kabla.ya Ulaya je.nikweli? Kanazi haiku's na Mkama.
  13. filadelifia toto

    Alfajiri ya furaha kubwa! RIP DR. FUPI

    Mkuu,Ukijibiwa,uniambie.
  14. filadelifia toto

    Utekaji (kidnapping): Chatu anayeitafuna Tanzania

    Ebu tuwekane sawa, katekwa Moho, au Moo?
Back
Top Bottom