Search results

  1. Pablo

    Kuna wakati najivunia kuwa Mtanzania

    Ni kipindi hiki cha COVID 19. Kuna wakati mtu unaweza tenda mazuri mia lakini moja baya likatia doa hayo mazuri mia. Pia kutenda mabaya mia kuna zuri moja laweza futa hayo mia. Kipindi hiki cha pandemic kimenifanya nifurahi kuwa mtanzania ukiachilia mbali changamoto za Rais Wetu Lakini he is...
  2. Pablo

    Corona: Kwanini kuna usiri? Hivi vifo ni kweli au kiini macho?

    Kwa hali ya kawaida, kama ingekuwa ni vita basi tungeona hata picha au video watu wakiwa wamekufa maeneo husikia Nchi kama marekani idadi ya vifo zaid ya 90 elfu hadi sasa na vifo zaidi ya 1000 kwa siku lakini hakuna video zinazoonesha hata kwa kubahatisha basi baadhi ya miili ya watu hao...
  3. Pablo

    Memes For Life | Tupia Memes Tucheke Pamoja

    Maisha lazima yaendelee..Corona tutaishi nayo tuu. Meme Lords tukutane hapa tuchangamshe jukwaa Tupia ya kwako. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Pablo

    Hali ni Mbaya, Usijidanganye Ipo siku Utatoboa (Tafuta Mbadala au Rudi Kijijini)

    Mnafikilia Vibaya mno!! Tena Mnachukulia Vitu kirahisi Sana nyie Mnaohangaika Kutafuta Ajira Na wengine Mnasema Ipo siku Mungu Atashusha neema. Hapana Tafuteni Shughuli nyingine Mbadala ikishindikana Rudi Kwa Mama au Baba Maana Mzazi Hato Kutupa Kamwe. Umepanga chumba Unalipa Kodi Umehangaika...
  5. Pablo

    Don't Comment. Just scroll

    Aisee nasema hivi tuelewane . Marufuku kukoment chochote kwenye uzi huu. Wewe utakae koment ni nyauba. Nataka uzi huu uwe kimya miaka yoote. Hata like sitaki nimesema. Ukiona mtu ka komenti ruksa kumuita nyauba. Sasa nione limtu linagusa like au comment. Nyauba nyie.
  6. Pablo

    King Kiba, Abdully Kiba, Ki2ga, Kill, Cheed "SINA" Mmeuaaa!!

    Kiukweli napenda mziki mzuri, licha ya kumkubali ally K lakini pia nakubaligi hit songs za mnyama plutnumz, Leo nimemaliza 500MB kwa kuirudia hii ngoma ya " sina " jamaa katukosha ile mbaya nimejaribu kupitia comments hakuna watu walio isema vibaya isipo kuwa mmoja tuu katika watu woote ambaye...
  7. Pablo

    Kampuni gani unaikubali kwa kutoa movies kali kati ya hizi?

    Nimejaribu kuangalia baadhi ya movies za wenzetu nimegundua kuna utofauti mkubwa wa movies zinazozalishwa na makampuni tofauti ya Marekani Mimi binafsi napenda Muvi iliyotengenezwa na The Universal, Lions Gate, Warner Bross na Ghost House Kiukweli Muvi yoyote ikitengenezwa na hizi kampuni si...
  8. Pablo

    Wazazi wetu na kauli zao

    Mara nyingi inapotokea mzazi anaona kwa namna moja au nyingine mwenendo wa kijana wake haupo sawa huwa wana kauli zao. Mimi binafsi nilikuwa sijatulia kabisa kwa kupenda totoz, mama hakuniacha salama kwa kauli zake "wewe hangaika hangaika tuu, siku ukianza kujiharishia mimi sitakuwepo. Kuhusu...
  9. Pablo

    Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

    Huyu ni Shishi Trump anafuraha kupita maelezo kwa kuolewa na Uchebe. Twende mbele turudi nyuma hapa mjini utadanga wee ila mwisho wa siku ndoa utaihitaji tu. Na kama ukifika 40's haujaolewa hautakuwa na maisha yenye amani. Hongera Uchebe naona mzimu wako haujaleta masihara kama mzimu wa Nuhu.
  10. Pablo

    Navuta picha baadhi ya member humu JF watafananaje siku nikikutana nao

    Kiufupi Wengi Humu Hatujuani. Najaribu Kuvuta Picha Tu Baadhi Ya Member Humu WaTafananaje Siku Nikikutana Nao. 1. The Bold Huyu Jamaa Kwa Story Zake Humu Jf Nahisi Ni Mshikaji Tu wala Siyo Mtu Mzima, Ni 35's+ yrs. Pure Black Kama Mrundi, Mrefu Mwembamba Na Anapenda Kuvaa Black Glass Na...
  11. Pablo

    Andika usichokipenda humu JamiiForums

    Andika Vitu Viwili Tu Usivyo Vipenda Humu Ndani. Mimi Binafsi Sipendi Couple Ya Mahondwa Na Smart. Siwaelewi na Sitakuja Kuwaelewa. Simpendi Vladmil Puttin Kwa Kujisifia Anatongozwa Na Wadada Wa Humu. Sijui Atakuwa Lini. Weka Usivyo Vipenda Humu ndani.
  12. Pablo

    Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu.

    Kheri Ya Mwaka 18' !!! Mwanzo Wa Mwezi Ndio huu, Nina Airtime Yakutosha Voda Naunganisha 4GB Wiki Nzima Kwa Bei Chee 3000/= Tu. Sasa Wewe Ukiona buku Tatu ni Kubwa na Unahisi Utaibiwa Basi endelea Kutumia Buku Kwa Internet Kila Siku. Njoo Pm Kama Unahitaji. Sipo Kwenye System na Wala Sina Shida...
  13. Pablo

    Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

    Nimegundua hilo. Maana humu tangia nijiunge sijawahi kuona bandiko la kijana akitafuta mwenza umli chini ya miaka 28. Mwanaume akitafuta mwenza kigezo umli 28-35 Mwanamke akitafuta mume umli ni 33-40 Kiufupi ni kwamba humu Jf 80% ni wahenga. Vijana wadogo wadogo wapo ila hawatafuti wachumba...
  14. Pablo

    Tulioishi kotaz (watoto wa kotazi) tukutane hapa

    Tulioishi kotaz za polisi, magereza, jwtz na majeshi mengine Tuelezane maisha kwa ujumla yalikuwaje. mimi binafsi nimeishi kotaz za JW kama ujuavyo kuna kotaz za maofisa na wale wachini. Nilikuwa mjanja mjanja kumega watoto wa wajeshi. Nakumbuka siku moja niliitwa kambini kwa mashtaka wamama...
  15. Pablo

    Wizi kupitia mitandao ya simu

    [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Wizi kupitia mitandao ya simu ========Sehemu ya tatu ( wakala wanavyoibiwa =============== Habari zenu wadau. Kabla haujaendelea chini pitia uzi hapo juu kisha tusonge na hii sehemu ya tatu inayohusu mawakala...
  16. Pablo

    Kwa waliosoma Tambaza Secondary tukutane hapa

    Wana tambaza eeehhh. Salamu kwenu asee!!! Nimemaliza hapo juzi kati tu 2013. Kuna mengi yakusimulia ikiwa ni pamoja na manyanyaso tunayo yapata ya kutokuwa huru kuelezea ni kipi tufanyiwe au nini kifanyike ili Tazama Mbali zaidi ifanye vyema kitaaluma. Binafsi namkumbuka mwl. Mjuni (Islael...
  17. Pablo

    Mliofanya malipo HESLEB kupitia mpesa njooni niwadokeze kidogo

    Salaam!. Ni gazeti lakini jitahidi usome kama umeshawahi kutana na tatizo hili kwenye malipo ya huduma (paybills) kupitia mitandao ya simu, case study M- PESA Ipo hivi, kila muamala wa mobile money unapofanywa unakuwa katika hali nne ( 4status) A. Successful B. declined (cancelled) C...
  18. Pablo

    Wizi kupitia mitandao ya simu

    Sehemu ya Kwanza Habari, Tafadhari usivuke bila kusoma uzi huu ni muhimu hata kama sio kwako bali itasaidia watu wako wa karibu. Leo nimeona niweke wazi ni jinsi gani matapeli wanavyozidi kuwaliza ndugu zetu kupitia mitandao ya simu. Takribani miezi 6 sasa wizi huu umeshamili na unakua siku...
  19. Pablo

    Punguzeni masharti na sisi tupate wachumba

    Eti kila mdada akija kutafuta mchumba utasikia anatangaza sifa za bwana amtakae. Awe mcha Mungu, sijui mrefu mara mfupi, mweupe au mweusi n.k, kinachoniuzi mimi kwenye umri tu. Utasikia awe 28 - 35 kha! Hivi na sisi wenye umri 20-26 hamtaki tupate? Kwani humu JF ni kizazi cha 1980's tu...
  20. Pablo

    Nataka kumrudia msichana wangu

    Habari wakuu, Kama heading inavyojieleza. Nilikuwa na msichana wangu namuelewa na yeye alikuwa ananielewa vizuri tuu. Tulianza date last year Jully nikafumania nyavu zake Octoba last year. Nakumbuka baada ya kumchapa day 1 alifululiza kukileta wiki nzima nikawa najilia sana bila choyo ila...
Back
Top Bottom