Search results

  1. CARDLESS

    Utabiri: Yanga 4-1 Al ahly

    Habari zenu wadau wa michezo hapa jamvini. Kama kawaida ni wiki ya kushuhudia CAF CHAMPIONS LEAGUE game za pili kwa makundi na timu zote. Kutokana na hali hiyo, kuna game 1 tu kati ya game zote 8 za raundi hii ambayo ndio Clasic, kubwa, yenye ushawishi na yenye kuvuta hisia za watu wa soko...
  2. CARDLESS

    Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe usaili wakati kaujiriwa kama ilivyo kada zingine

    Maisha yamebadilika sana, watu wameongezeka sana, utandawazi nk. Vyuo, vimeongezeka na wahitimu wameongezeka maradufu. Hali ya Ajira ni changamoto sana kwa vijana hawa. Hali hii imepelekea mrundikano mkubwa wa wahitimu mbalimbali nyumbani. Katika hali kama hii ndipo suala la usaili...
  3. CARDLESS

    Siasa VS Uchumi: Sakata la Bandari zetu

    Ni dhahiri wa shahiri kuwa watanzania wengi hawana uelewa wa mambo mengi, na kwamba wako tayari kuchukua upande mmoja pindi itokeapo hoja yoyote ya nchi, haijalishi ina maslahi au haina maslahi kwa Taifa letu. Suala la Bandari, limekuwa hyped sana kwa siku 2 hizi, upande mmoja ukisema Bandari...
  4. CARDLESS

    Kanuni na Sheria za Uchaguzi wa kumpata Rais wa Tanzania zibadilishwe

    Wanabodi habari za siku Nimekaa nikaangalia namna nchi yetu tunavyoendesha Chaguzi zetu hasa huu Uchaguzi mkuu, na zaidi hapo kwenye Urais. Urais ni level kubwa sana ya Kiutawala na Uongozi nchi hii na karibu nchi zote Duniani. Rais hatakiwi kupatikana kirahisi rahisi tu. Mchakato wa kumpata...
  5. CARDLESS

    Yanga bingwa kombe la shirikisho Afrika?

    Kila nikiangalia game kwa angle zote, na kwa wataalam wote, matokeo yanasomeka USMA 1-3 YANGA. Kila mkulungwa niliyemuuliza anajibu Yanga tayari ameshachukua Kombe hilo. Nami nawatangaza RASMI MABINGWA WAPYA WA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA KUWA NI DAR YOUNG AFRICANS. MATOKEO YA JUMLA YATAKUWA...
  6. CARDLESS

    Mudathir Yahya Abbas badilika kiuchezaji

    Nimeangalia mpira wa YANGA vs USM ALGERS nikiwa home SINZA VATICAN hapa.... Sikupata fursa ya kwenda Uwanjani hasa nikijua wazi kupata nafasi itakuwa ngumu + mvua. Kwa nilivyoungalia mchezo huu kwa kina kabisa. Wachezaji muhimu AZIZ KI STEPHAN na KENNEDY MUSONDA + MAYELE (Hasa First Half)...
  7. CARDLESS

    Togolani Mavura: Kila Mtu anaye Bernard Kamillius Membe Wake

    Picha: Marehem Benard Membe Nimejaribu kukusanya ujasiri wa kuandika japo kwa uchache namna nilivyomfahamu Hayati Mheshimiwa Bernard Kamillius Membe, Mwanadiplomasia mahiri, Mwanasiasa kwa ajali, na Mwanaharakati kwa asili yake. Wengi walimjua kwa sifa hizo nilizoziainisha. Rafiki zake wa...
  8. CARDLESS

    Simba atafungwa na Yanga Jumapili

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa huu ni utabiri wangu binafsi juu ya mechi hii yenye kuamua hatma ya Ubingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara (NBC PREMIER LEAGUE). Huu ni utabiri tu, unaweza kuukubali au kuukataa kwa sababu zako, ila kwangu nimetabiri Simba atafungwa na Yanga siku ya...
  9. CARDLESS

    UTABIRI: Vipers vs Simba & Real Bamako vs Yanga

    Wadau wa michezo, weekend hii tutashuhudia game za kibabe katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika sambamba na ile ya Kombe la Shirikisho. Pamoja na kuwa game nyingi ila hapa mimi nitajikita katika kutabiri game mbili tu, hasa zinazotuhusu sisi Watanzania. Utabiri huu utazingatia zaidi hali ya...
  10. CARDLESS

    Niliyoyaona kwenye Game ya YANGA vs AL HILAL

    Habari zenu ndugu, wadau na wanabodi. Jana (08/10/22) kulipigwa mbungi la klabu bingwa Afrika kati Yanga vs Al Hilal, na matokeo yalikuwa sare ya 1-1. Binafsi mimi ni mfuatiliaji wa mpira tangu miaka ya mwishoni mwa miaka 1990. Na ni mpenzi mkubwa na Mwanachama wa YANGA, na huko Majuu basi...
  11. CARDLESS

    Kocha wa Simba amewakataa wachezaji 5 wapya

    Ikiwa ni majira ya Saa 4 usiku huku niliko, na Saa 5 Usiku hapo Nyumbani Tanzania, napenyezewa habari nzito kidogo kutoka mitaa ya Msimbazi. Ikiwa imepita miezi miwili tangu dirisha la usajili lifunguliwe, pilika nyingi za usajili zilifanyika, Umafia, ubabe, ukatili na hata jeuri ya fedha...
  12. CARDLESS

    Yanga VS Simba 13.08.2022

    Wadau habari za usiku, ni matumaini yangu mko poa kabisa, na kwa wale wenye matatizo ya basi M/Mungu wafanyie shufaa warudi kwenye hali zao za awali. Mara baada ya salamu na dua zangu kwenu basi niende moja kwa moja kwenye mada husika. Na kabla ya kuzama ndani MIMI NI MPENZI WA YANGA hapa TZ...
  13. CARDLESS

    Simba SC, hii ya kubandua logo ya sportpesa na kubandika ya m-bet juu yake ni ushamba

    Katika hali ya kushangaza, Klabu ya Simba Sc imetumia Pasi kutoa logo za Sportpesa na kubandika logo za M-BET katika jezi za mazoezi, safari na hata vifaa vya mazoezi. Kulishindikana nn kuprint jezi mpya angalau pisi 100 mkaweka hiyo logo ya MDHAMINI mpya?? Au hao SPORTPESA bado wanatangaza...
  14. CARDLESS

    SIMBA SC: Tangu tuanze kampeni ya kuchangia ujenzi wa uwanja tumekusanya Tsh Mil 60 hadi sasa

    Klabu ya Simba kupitia mtendaji mkuu wake Bi Barbara Gonzalenz imesema tangu walipoanzisha utaratibu wa kuchangia ujenzi wa uwanja wa Klabu kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2021 hadi Mwezi huu wamekusanya Milion 60 tu. Karibuni wanaJF tujadiliane ukweli wa taarifa hii.
  15. CARDLESS

    Michango ya uwanja wa Simba imefikia wapi na wamekusanya kiasi gani?

    Habari zenu wadau, Kama itakumbukwa hapa Jukwaani watu wengi tulisema saaana, tulitolea ufafanuzi ni kwa namna gani KAMPUNI hupata pesa zake na hata hatari iliyopo mbeleni ambapo wananchi watakuja kuibiwa pesa zao. Miezi sasa imepita na hakuna mrejesho wowote wa pesa ambazo zilizokusanywa...
  16. CARDLESS

    Ushauri kwa watanzania waishio Afrika Kusini

    Habari za jioni wana JF. Nimuombe Mungu azidi kuwajaalieni Afya, riziki, na nguvu zaidi. Haya twendeni kwenye mada. Kwa wiki kadhaa sasa SA kumekuwa na wimbi la maandamano sehemu mbalimbali za miji kama JOBURG (JOZ), DEBENI (DURBAN) nk. Maandamano haya wameyaita kwa jina la OPERESHINI DUDULA...
  17. CARDLESS

    TRA hamjawatendea haki INTERNS wenu

    Jana wakati natoka kazini, nilipata wasaa wa kupitia maeneo yangu ya kujidai TABATA. Kwa bahati nilikutana na kijana mmoja ambaye nilimfahamu kupitia kazi zetu hizi. Kwa bahati mbaya sana alinijulisha kuwa wamesitishiwa mikataba yao, mbaya zaidi ni kwamba wameambiwa mwisho ni IJUMAA yaani jana...
  18. CARDLESS

    Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

    Wakati Mh Rais Uhuru Kenyetta anatoa hotuba yake kulikuwa na mwingiliano wa Adhana kutoka moja ya msikiti ulio karibu na uwanja ule. Cha kushangaza mara baada ya kusikia hivyo alilazimika kusubiri mpaka adhana ile iishe. Hii inaashiria nini wanabodi? Au alitulia tu kwa huzuni yake?
  19. CARDLESS

    Kijana wa kisasa unatakiwa uwe na hivi vitu

    Habari za usiku wadau wa JF na poleni na mihangaiko ya maisha yenu. Hakika mungu atawapa rehma zaidi. Niende moja kwa moja kwenye mada. Maisha yamebadilika sana tena sana, wasomi ni wengi, wasiosoma pia ni wengi lakini mbaya zaidi fursa za kiuchumi ziko shared kwa pande zote mbili hizo. Sasa...
  20. CARDLESS

    Msaada wa kuipata simu iliyoibiwa ikiwa mpya kwenye box lake

    Habari zenu wadau. Naomba msaada ni kwa namna gani maweza ipata Simu yangu ambayo imeibiwa Dukani ikiwa kwenye box lake yaani haijafunguliwa, kwamba aliyeiba ndio atakuwa mtu wa kwanza kuitumia. Nawezaje kuipata? NB: Imei namba ipo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom