Search results

  1. kimpango

    Barua ya wazi kwa Katibu Mkuu (CCM) Taifa uvurugwaji wa Uchaguzi wa Kura za Maoni CCM-Kiluvya

    Mheshimiwa katibu hatuna namna ya kukufikia zaidi ya njia hii tupokee 27th Julai 2020 KWA KATIBU MKUU (CCM )TAIFA NAKALA KWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA , KATIBU WA CCM MKOA WA PWANI, KATIBU WA CCM WILAYA YA KISARAWE, KATIBU WA CCM KATA YA KILUVYA Yah: MALALAMIKO KUHUSU UCHAGUZI WA KURA...
  2. kimpango

    Jifunze lugha yoyote duniani bure ujiongezee thamani katika soko la ajira na ushindani dunia ya sasa

    kujua lugha mbalimbali ni moja wapo ya njia ya kuongeza thamani ya ulichonacho kwa mfano wapo watu wenye elimu ndogo tu ambao kujua lgha fulani imewafanya kupata kipato maradufu nakualika kujifunza lugha mbalmbali bure huku ukifurahia .. kupitia LINK : Learn a language for free
  3. kimpango

    Waheshimiwa Waziri Mkuu, Jafo, Jokate Mwegelo msisahau ahadi zenu kwa Sisters of Mary's Makurunge (Kiluvya)

    Tunashukuru Kanisa Katoliki Tanzania kuwapigania na kuwapa assurance wafadhili hawa kuweza kuwekeza mradi mkubwa wa shule kwa wasichana watokao kwenye mazingira magumu na shule imefunguliwa lakini kwa nyakati tofauti nimeongea na uongozi wa mshule hiyo (ma sister wa kifilipino) tukiwa kwenye...
  4. kimpango

    Uchaguzi TLS umewadia; Je, tumchague Fatma Karume tena?

    Haya mawakili mkae mkao wa kiuchaguzi tena kipyenga kimeshapulizwaaaa pyuuuu na tume ila siyo ya Jecha.... February hii.. Mh. Wakili Msomi Fatma Karume muda wake wa urais unafikia kikomo yeye pamoja na uongozi mzima ..ingawa umma wote haupigi kura lakini waweza kuwa unanufaika na uchaguzi...
  5. kimpango

    Je walio karibu naye wamelewa ? wamevimbiwa?wanajipendekeza? wanamuogopa,wanampuuza au wanamuonea haya??

    Hiki ni kisa cha mfalme wa nchi ya kufikirika tu , mfalme huyo pamoja na kufanya mambo mazuri sana kama kujenga miundombinu kama barabara hakuwaza kuwa baada ya muda flani uwezo wa watu kununua magari utapungua na waliyonayo ndio hayo hayo hivyo foleni zitapungua.... ajira hakuna au...
  6. kimpango

    Msaaada kuhusu affidavit

    wajuvi wa sheria naomba msaada katika hili naomba cases au maamuzi ya mahakama za juu zinazoelezea kuhusu Kamishna wa viapo(commissioner for oaths) kuweka jina lake kwenye jurat katika affidavit na pia if sehemu yenye maneno haya ni part of the jurat of attestation BEFORE ME...
  7. kimpango

    Kaka Maxmiliani Tumaini tumechoka na uharibifu wako tunaomba uoe

    Ujumbe ufike kwa wanaume wote wenye 35 na zaidi
  8. kimpango

    Uganda amefuzu AFCON Tanzania njia imekuwa rahisi ikishinda kesho imefuzu msituangushe.

    Habari njema ni kuwa uganda imempiga tena cape verde kwa goli1 kwa 0 hii inamaanisha imefikisha pointi 13 zisizoweza kufikiwa na timu yeyote huku ikibaki na mchezo mmoja wakati Tanzania ina point 5 cape verde 4 na lesotho mbili hii ina maanisha Tanzania inahitajika kushinda gemu yoyote kati ya...
  9. kimpango

    House4Rent Nyumba inapangishwa ubungo kibo

    Wadau nimepata uhamisho natakiwa niripot mtwara tarehe 1vNov 2016 .Hivyo sina budi kuhama ikiwa bado miezi miwili kodi iishe kuanzia Nov 1. Hivyo basi ujiwa na kodi ya miezi miwili unirudishie unaingia..miezi ikiisha unaendelea kulipa kodi ya miezi 6 ..3 au 12 kadri utavyoelewana na mwenye...
  10. kimpango

    Napangisha nyumba ipo Kimara Kibo

    Habari wajameni kutokana na hali ya mazingira ninahama kutoka kimara kibo kwenda kiluvya .. Sasa nyumba ninayoihama ni nzuri kukaliwa na mpangaji yeyote kutokana na kuwa karibu na miundombinu yote na usalama wa kutosha ina vyumba viwili vya kulala kimoja master ina public toilet, bafu na store...
  11. kimpango

    Ukweli mchungu kwa vyama vya siasa 2020!!!!

    Hii ni tathmini yangu binafsi kama mtanzania isihusishwe na utafiti wowote uliowahi kufanywa/utakaofanywa na taasisi yoyote. 1.Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 hautakuwa na shamra shamra sana na ni dhahiri wagombea wa upinzani watakuwa wachache kuliko uchaguzi uliopita kutokana na kukata...
  12. kimpango

    Donald Ngoma aombewa kwa T.B Joshua leo

    Leo nimemuona Mchezaji wa zamani waki Yanga aliyesajiliwa Azam akiombewa na Prophet T . B Joshua naamini ameamini naamini kuponywa
  13. kimpango

    Ujumbe wa muhimu kutoka kwa Mzee Richard Mabala "Mabala the farmer"

    Mwandishi,mwanazuoni na mchambuzi mahiri ametahadharisha juu ya kauli iliyotolewa ya ''walio soma shule za private kutopewa mikopo'' Nakiri Mimi mimi nikiwa mmoja wapo niliyefaidika na mkopo wa elimu ya juu na bado ninaulipa ,ingawa sikusoma shule za serikali wakati huo wakati huu nisingepata...
  14. kimpango

    Mh. Rais Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Dar msaidieni huyu mama

    Rais wangu msikivu na mkuu wangu wa mkoa na viongozi wengine wa serikali yetu naomba mmsaidie huyu mama na watanzania wengine kama hawa Tanzania nzima naamini kwa usikivu na chuki yenu dhidi ya dhuluma kwa wanyonge hiki kitafanyika
  15. kimpango

    Heri ya siku ya kuzaliwa J.K. Nyerere. Yote uliyoyatabiri yanatokea

    Mwalimu sitasahau tarehe ile uliyoiacha ,wengine walikuwa mashuleni wengine makazini,kila mtu anakumbuka tarehe ile alikuwa wapi? though tayari kuna wengine wamekusikia na kusoma baadhi ya maandiko yako lakini hawajui kuwa ulikuwapo kweli maana ni vijana tayari.... mwalimu sitasema sana mengi...
  16. kimpango

    Jamani kupita pita kote huku sisikii nikitajwa kwa Makonda!!!!

    nimekaa najiuliza zama za ujana wangu miaka 10 iliyopita nilivyokuwa mungu alini nusuru na magonjwa ili niweze kushuhudia leo wanawake zaidi ya mia waliwahi kuniambia oho nina mimbva yako .lakini sijaitwa mpaka sasa au kutajwa au vile mi sio maarufu kama lowasa ,au mi sio kiongozi wa dini...
  17. kimpango

    MSAADA; Kushindwa kuleta shahidi au ushahidi muhimu mahakamani!!!

    Wadau naomba msaada wa kesi/vifungu zinazohusu athari ya upande kushindwa kuleta mashahidi wa muhimu kwenye kesi pamoja na ushahidi muhimu kwenye kesi husika Swali la nyongeza evidence Act and Elecronic Transaction Act is applicaple in Labour matters especially cma? Shukran Petro E. Mselewa...
  18. kimpango

    Baraza la Wazee CHADEMA lamtaka Rais Magufuli aongoze kwa busara na hekima ya mtu mzima, ladai kauli zitawapeleka ICC

    Baraza la wazee wa CHADEMA wamezungumzia kukamatwa, kubambikiziwa kesi, kuteswa, kutekwa, kushambuliwa hata kuuawa kwa viongozi wa kisiasi hata wananchi wengine wanaoonekana kukosoa utendaji wa kazi wa Rais Magufuli na serikali kwa kutumia rejea ya matukio kama la Tundu Lissu, kuuawa kwa kaimu...
  19. kimpango

    Hivi tarehe 26 April 2018 itakuwa sikukuu ya maadhimisho ya Muungano?

    Wanajamvi nauliza hivi tarehe hiyo itakuwa na maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar au kutakuwa na shughuli nyingine kama kutakuwa na maadhimisho /sikukuu niambieni yatafanyika mkoa gani ili nishone suti ya sherehe nikahudhurie maana Waasisi walifanya jambo kubwa sana... Asanteni
  20. kimpango

    Je, ni kweli alichosema Humphrey Polepole kuhusu vijana kupatiwa elimu ya ufundi stadi bure?

    Nimemsikia kwenye taaarifa ya habari ITV akisema serikali imeagizwa na chama chake kuwafundisha vijana wote Tanzania elimu ya ufundi stadi bure ili kuondoa tatizo la ajira na akasema Fedha zimeshapatikana na wataanza mwezi huu na wengine mei nchi nzima.. HILI NI JAMBO JEMA ..MAGUFULI HUYU WHERE...
Back
Top Bottom