Search results

  1. Vw Jr

    Mambo 10 katika Derby ya Leoo

    Mambo 10 nilioyaona Simba Vs Yanga Cc @ALIKAMWE 1: WHAT A GAME[emoji119] CLASSIC [emoji119] One of the best perfomance kwenye 'derby' ya Dar es Salaam. Viingilio vimeenda kihalali 2: Yanga walikua bora sana kipindi cha pili, walifanya kile ambacho timu nyingi hua zinaogopa kuwafanyia Simba...
  2. Vw Jr

    Which is the best answer....

    Wale wazee wa Grammar,,,, embu njooni mtuambiee hapa....! Someone asked "are you with it"? Which is the best answer to be answered amongst of the following,,,, a) am not with it... b) its not with me.. Regards..!
  3. Vw Jr

    Manchester Utd na kilichotokeaa mwaka 1999

    MANCHESTER UNITED NA KILICHOTOKEA MWAKA 1999. Na Tom Thomas Mwaka 1999 unabaki kuwa mwaka bora kwenye historia ya Manchester United. Mafanikio yaliyopatikana yanaufanya kuwa mwaka bora na wa kipekee sana. Ni mwaka ambao klabu ilifanikiwa kushinda mataji makubwa matatu. UEFA Champions League...
  4. Vw Jr

    Matukio ya 2019 duniani

    Nitachangia kutokana na ufahamu wangu wa mambo hasa kutokana na hii dunia kuendeshwa kwa siri kubwa sana .. Kila mchoro hapo umewekwa kurepresent jambo flani kulingana na umuhimi wa mchoro au mhusika alionao kwenye ulimwengu unaonekana... Picha ya Trump inaonekana ,pia Putun anaonekana ,kuna...
  5. Vw Jr

    Maneno mazuri ya kumrudisha mpenzi wako aliyekuacha

    [emoji252] ..Kwa Maneno Haya Lazima Akusamehe.. [emoji420]..Usiniache kwenye Dunia ya maumivu,usiniache kwenye mvua ya sononeko, njoo unirudishie tabasamu kwenye maisha yangu. Njoo unibusu na busu lako litokomeze maumivu haya.. Bado nahitaji joto tamu la huba toka kwako,,, njoo baasi unifute...
  6. Vw Jr

    Hili ni Swali lenu wale wataalam wa Music(Nota)

    Habari za muda huu Wakuu... Heri ya sikukuu ya Pasaka Nipo hapa kwa jambo tu kuwaulizaaa wale wajuzi na watalaam wa muziki na Pianists.. [emoji446][emoji443] ..... Nimekuwaaa nikijulizaaa sanaaaa katika hiliii swala bado sipatii jibu,,,, Katika Suala la Music kuna aina mbiliii kwa uelewa...
  7. Vw Jr

    Nielewesheni zaidi kuhusu bachelor of science in social protection

    Habar za mudaaa huu wakuu... Nimechaguliwaaaa IFM kusomaaa BACHELOR OF SCIENCE IN SOCIAL PROTECTION.. ina deal na nin hasaa... Nahitaj ufanunuzi wakui...
  8. Vw Jr

    Mida ya kubet...

    Ahyaaa walee wazeee wenzangu wa mikekaa ndo siku zetu hizi za kumtwanga muhindii... Dondosha maon yaqo hapaa...
  9. Vw Jr

    Nielewesheni kuhusu Bachelor of science in property and facilities management

    Hiii faculty inahusiana na nin wakuuu... BACHELOR IN SCIENCE OF PROPERTY AND FACILITIES MANAGEMENT...?? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Vw Jr

    Kati ya hizi kozi, ni ipi nzuri zaidi?

    Hiv kati ya hizi faculties ipi ni nzuriii zaidi... Hasa kwa arts... 1.Bachelor of science in land management and valuation.. 2.Mass communication.. 3.B. Law.. Sent using jamii forums mobile app
  11. Vw Jr

    Hizi kaz zetu bhana...

    Hiz kazi zetu bhana yaaan utakuta kitimu kimoja tu kinakunyima utajirii hahaha oxford utd Mungu anakuonaaa...
  12. Vw Jr

    Hili tatizo linasababishwa na nin..??

    Habar za mda huu.. Wadau naomba mnisaidiee.. Wakati nafungua fb acc yangu katika kuiprotect nili allow ile "CODES APPROVALS" kwa no angu yangu ambayo nmeuingia fb.. Kuna ck nikalog out... sasa nikitaqa kulog in teenaa wananambiaa log in by aprrovals codes ambazo wanazituma kwenye no angu...
  13. Vw Jr

    Msaada plz..

    Account yang ya fb imehackiwa... Tangu juz najarb kuresend codes but hazij mwenye ujuzii na hayo mambo anisaidiee tafadhaliii....
  14. Vw Jr

    Dalili kama hizi zinaashiria nini kwa girlfriend wako?

    Jamani dalili hizi zikianza kuonekana kwa mpenzi wako zinaashiria nini? 1. Kutopokea simu zako 2. Kutojibu sms zako ingawa anazisoma daily 3. Mkikutana hasemi chochotee yuko kimya tu au ndo usaliti huo?
  15. Vw Jr

    Msaada: Jinsi ya kupata aproval codes za facebook...

    Hellow wadau mweny huo ujuzi anisaidie pliiz maana account yang imehackiwa kila nkiresend codes hazij kwa no angu nifanyaje...
Back
Top Bottom