Search results

  1. AlP0L0

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Nia ya kuwekeza ni kutegenea kurudisha hele yako na faida.
  2. AlP0L0

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Hapa ndio shida ilipo, wakati watu wanakula matunda ya uwekezaji wao wengine ndio wanaona unyonyaji, wamesahau kua watu waliwekeza nadio maana wakajulikana.
  3. AlP0L0

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Harmonize watu walifanya uwekezaji kwake, yeye alijua ni msaada tu. Watu waanza kuvuna kutoka kwake, yeye anaanza kiwavimbia.
  4. AlP0L0

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Watu wakiwekeza kwenu mkishatoboa mnasahau mnaanza kiwavimbia, Harmonize alisahau kabisa kuwa watu waliwekeza kwake, Hakuna msaada kuna uwekezaji mlijue hilo kwanza.
  5. AlP0L0

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Dunia iko wazi sana siku hizi sio kama zamani, jidanganyeni wenyewe.
  6. AlP0L0

    Wairan 8000 ni Wayahudi

    Israeli haiwezi kushinda vita yoyote maana chuki walionayo imewatoa akili🤣🤣🤣🤣
  7. AlP0L0

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Wale ni Wamongoli! Ngoja tumwite Othman Bay aje amalizanenao.
  8. AlP0L0

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Katika nchi zenye uwezo kijeshi Israeli mtoe, ule uongo mliokua mkidanganya marahii umefika mwisho. Hana uwezo hata wa kupigana na wanamgambo, mwezi wa sita huu anahangaika na Hamas. Kuporomosha majumba na kuuwa wanawake na watoto huo ni wendawazimu sio vita.
  9. AlP0L0

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Simba kwisha habari yenu, vipigo vitaendelea kwa kipindi cha miaka 10.
  10. AlP0L0

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Kwahiyo wewe mpaka upigwe 5 ndio usikie maumivu sio?
  11. AlP0L0

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Kwani hizo hazijawatosha?
  12. AlP0L0

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Bora ya hayo, leo Israeli 80% ni mashoga uhuru ukizidi ni hatari kwa binadamu.
  13. AlP0L0

    Airtel 5G Unlimited Internet

    Kwa Airtel haina shida, ila kwa voda hilo ni deni watakudai.
  14. AlP0L0

    Tetesi: Ubalozi wa Tanzania Uturuki unashirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwadeport Watanzania

    Sasa wewe Mzee wa Uturuki hapa unalilia nini, wee rudi tu uje ukalime mihogo, watuki hawataki nchi yao.🤣🤣🤣🤣 Shida iko wapi hapo.
  15. AlP0L0

    Tetesi: Ubalozi wa Tanzania Uturuki unashirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwadeport Watanzania

    Sasa kama huna hayo unayoyaita makaratasi unataka balozi afanye nini? Ubalozi Uturuki unafanya kazi nzuri tena mnatakiwa mumshukuru balozi maana mnatakiwa mfikie jela.
  16. AlP0L0

    Ajira serikalini zimetangazwa, vijana zingatieni haya

    Huko ni kujiwekea vizingiti wewe mwenyewe, always think positively.
Back
Top Bottom