Search results

  1. C

    JF ladies talk talk …...

    lol hii mada imenivutia let me share some thing with u nice ladies.. kwa upande wangu napenda kuvaa nguo ndefu i mean kama sketi basi ndefu mara nyingine navaa hata baibui(hijabu), viatu simple shoes, nywele mara nyingi napenda kusuka rasta wivingi na wigi sio mzuka kwangu, napenda saana vidani...
  2. C

    Wandugu wa it naomba ushauri kwa wakali walioweza ku-unlock airtel modem

    even mi nataka unisaidie ku unloock modem yangu ya voda IMEI yake ni 359592035142457....C E 1588 NTASHKURU SANA
  3. C

    so scared

    even me nshangaa kwanini kwake tu na sio kwa mwingine
  4. C

    help me

    mmh sasa teli? wengine tupo vijijini sasa tel haikamati mbaka upande juu ya mlima kama sio juu ya mti
  5. C

    help me

    jukwaa hilo ni lipi mama, emu tuambie na sisi
  6. C

    help me

    air tel ndio kidogo huduma zake rahisi ukilinganisha na voda
  7. C

    help me

    mamboz wadau, naombeni msaada wenu wa ku unlock moderm yangu ya voda ili niweze kutumia mtandao wowote maana voda ipo expensive sana na hizi ela zetu za mawazo ni noma. natanguliza shukran
  8. C

    Help (ushauri)

    Kwenye mapenzi kati ya watu wanaopendana kujaribiana na kupimana ni kitu cha kawaida huyo mwenzi nwako alikuwa anataka kujua msimamom wako na kujua ni jinsi gani unampenda ukizingatia ulishawahi kumtosa mwanzoni na kumwachia na kiumbe, cha msingi kama unampenda kweli we endelea naye na mulee...
  9. C

    Airtel Internet

    Kwa kutumia modem unaweza kununu kifurushi(bandle) cha mb 20 kinachoisha baada ya mass 24 ila inategemea na juhudi zako za kutumia km unatumia sana unawezakushangaa mb 20 zimeisha kabla ya masaa 24 na km hutumii sana unaweza ikabaki hata baada ya mass 24 kwisha ila ndo hutoweza kuitumia tena...
  10. C

    Yamenikuta, maji yapo shingoni, naomba ushauri wapendwa plse!

    duh pole sana kaka ila yakubidi uchunguze chanzo cha mkeo kuchukia nduguzako inawezekana ndugu zako wakawa hawampendi mkeo ndio maana na yeye hawapendi.....cha kufanya nenda kaseme kwa ndugu wa mkeo ili wamkanye mtoto wao na akishindwa kubadilika mpe likizom ya japo mwaka akakae kwao then...
  11. C

    (Lokua Kanza)

    No comment
  12. C

    so scared

    to be honest sipati maumivu yoyote chini ya kitovu wala baada ya tendo[
  13. C

    so scared

    nnaposema sipo tayari kumpoteza i mean nampenda sana na kumuacha sio rahisi kwanza tumefikia hatua nzuri tu sasa na nikimuacha itabidi nianze upya kutafuta mwingine na wanaume wenyewe hamueleweki then malazi mengi[
  14. C

    so scared

    thanx ntafanya ivo
  15. C

    so scared

    hunitakii mema nikupe namba yake tena mmh patakua hapatoshi
  16. C

    so scared

    jamani sdhan km nilianza nikiwa na umri mdogo, nilikua nshaanza chuo dat time naanza hayo mambo.......na sasa nina zaidi ya 25, kuwa ni yeye anaetoa damu mmh ndo kwanza unanifumbua macho inawezekana eeh ngoja nilifanyie kazi
  17. C

    so scared

    mmh kuhusu uume mkubwa i can say yes some how kajaaliwa
  18. C

    so scared

    thanx elly
  19. C

    so scared

    thanx michele, kuhusu uume mkubwa some how i can say yes yaanin Mashaallah. na akianza huwa atumii nguvu bt inapokua katikati mechi imechanganya nadhan mzuka unampandaga anajikuta anaongeza spidi.....ila kuna baadhi ya siku tukiwa tuna doo damu hazitoki naninavosema damu simaanishai damu km...
  20. C

    so scared

    thanx ilo nalo neno.... im on da way to hospital
Back
Top Bottom