Search results

  1. Machuchu

    MSAADA : Natokwa na damu ya hedhi siku 6 badala ya 4

    Zaleo. Kichwa cha habari kama kinavyojieleza. Mwezi wa 2 nimeblidi siku 6 na ya 8 ikaishia....nilishangaa sana kwa kua mimi huwa NABLIDI siku 4 tu nimemaliza. Nilijiona tofauti nikapotezea ila cha kushangaza na mwezi huu wa 3 mwishoni kuingia wa 4 naona hali ni hiyoiyo......ila cha kushangaza...
  2. Machuchu

    VIZAZI NA VIFO Wamekosea mwaka wa kuzaliwa kwenye cheti cha mtoto.

    Za leo wakuu. Kichwa cha habari kama kinavyojieleza... Cheti nilipewa mwaka huu mwezi wa 2 ila kwa usumbufu sana baada ya kujaza fom ilikua mwaka jana mwanzoni. Ila baada ya kukipitia nimekuta wamekosea mwaka baada ya miezi kadhaa je, nikiludi nibebe vielelezo kama mwanzo? Au aliepata tatizo...
  3. Machuchu

    Nisaidieni nimeibiwa simu, napataje nyaraka zilizokuwepo

    Za leo Ndugu zangu...... Nimeibiwa sim Jana kuna document na picha ambazo ni muhim kwangu je, nitazipataje na izo picha sijahifadhi kwenye google picture niliweka tu kwenye galary. Aina ya sim ni #Samsung Galax tablet.
  4. Machuchu

    Nielesheni mwezi mrefu na mfupi wa Hedhi

    Mwezi mrefu na mfupi huwa sijuagi...nimejalibu kufuatilia kwa makini kwa mfululizo ndani ya miezi mi3 ili nijue kama ifuatavyo:- August nimeanza tarehe 23 September nimeanza tarehe 20 October nimeanza tarehe 18 Je, apo mwezi wangu kwa ujumla utakuwa mrefu au mfupi? Je, tarehe za hatari...
  5. Machuchu

    Nina mchubuko usiopona njia ya haja kubwa

    Ze leo ndugu zamgu post kama ivyojieleza, ninamchubuko sehemu moja ambao unanitesa miaka nenda miaka rudi. Hauponi nimehangaika mahospitalini, Pharmacy lakini bado nikipata choo kigumu kidogo natoka hadi damu nilichunguzwa na sio bawasila na wala sina kinyama. Najitahidi kula matunda...
  6. Machuchu

    Je, Kuna aliefanya kazi kwa ndugu akafanikiwa kwa asilimia kubwa?

    Kuna kaka ambae ana miaka 37 na amebahatika kupata watoto 6 ambao wa2 hawajui hata walipo na hao wa4 wapo kwa mama zao na kila mmoja na mama yake. Ameniomba ushauli nikaona ngoja nije nishee na nyie labda kuna mtu alishawahi kuona au kusikia kama mtu anaefanya kazi kwa ndugu amefanikiwa kwa %...
  7. Machuchu

    Nisaidieni Usaha unatoka kwenye fizi mtoto wa miaka 5

    Za leo ndugu zangu. Mwanangu alikuwa anasumbuliwa na jino ambalo ni gego, jino ili halimuumi mara kwa mara anaweza kukaa mwezi au miezi 2 halimuumi then linakuja kumuuma. Cha kushangaza wiki iliyopita kama mungu nimemwambia fumbua mdomo niangalie jino nakuta kwa pembeni kwenye ufizi pamevimba...
  8. Machuchu

    Ila wanawake kwanini mnapenda Udaku na Upatu

    Za leo wakuu. Pitapita zangu leo nimeingia ofisi moja pale Mzumbe University ya Upanga, uyu mwanamama anafundisha pale ila mezani kwake ana magazeti ma2 ya udaku na 1 kalishikilia anasoma. Niijiuliza sana na kusema mule anafuata habari gani za maana.?? Pia wanawake wengi wanapenda Upatu (mchezo...
  9. Machuchu

    Mgongo unaniuma sana toka nijifungue.

    za leo. Ni miaka mitano (5) sasa mgongo unaniuma sana tena mno. Wengi waliniambia kwa kua umetoka kujifungua, na nilijifungua kwa njia ya kawaida. kuna miaka mi2 nyuma uliacha sasaiv umeludia tena wengi walisema ni godoro, kuna siku nilienda kwa wifi yangu nikakaa siku4 nikasema ngoja nione...
  10. Machuchu

    STAR TV hiki kipindi cha 'ngano ya Afrika' hakifundishi wala hakielimishi

    Za leo ndugu zangu. Ichi kipindi kilitakiwa kiwe cha miaka 70 au 60 ndio watoto ulikua unaweza kuwaongopea maana hakieleweki ata mtoto akiangalia nabaki naulizwa maswali nashindwa kujibu. Zama za zamani na za sasa ni tofauti, huwezi muhadithia mtoto hadithi umwambie zamani kulikua na masaa 82...
  11. Machuchu

    Kwanini wajane ni wengi sana?

    Za leo, Nimechunguza kwa undani na kwa makini katika swala la ndoa. Kwanini wajane ni wengi sana wanaume hutangulia kufa tatizo huwa mawazo mengi ya kulea familia au kutarajiana katika ndoa, au umri umeenda na anaona kashakuwa mtu mzima na hajajiwekezea, hesabu za haraka haraka katika ukoo...
  12. Machuchu

    Nalia naishi kwa huzuni, mzazi mwenzangu kamchukua mwanangu

    Za leo ndugu zangu, Mzazi mwenzangu kamchukua mwanangu kwa kisingizio kwa kua anaendanae likizo Mwanza ambako yeye ndiko anapofanyia kazi zake za sanaa za kuchora, kuuza vinyago na pia ni mtangazaji wa kituo cha Televeisheni kipindi cha Pan Afrika Star TV kinachorushwa saa 11:30AM kila...
  13. Machuchu

    Natafuta mmiliki halali wa kitabu hiki

    Za leo. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nimejalibu kufuatilia kwa ukalibu zaidi lakini nimeshindwa. Laiti kingekuwa na ISBN namba na na namba ya sim au barua pepe ingekuwa rahisi. Nilikua na shida sana na mmiliki anaejua anisaidie. Kitabu kinaitwa (SOMA KWA HATUA) Chapa ya kwanza ilitoka...
  14. Machuchu

    Mwanamke akiwa na elimu ni rahisi kumuacha mwanaume

    Navyosikiaga mwanamke akiwa na elimu na mwanaume hana mwanamke humnyanyasa mwanaume kutokana na elimu yake ivi kuna ukweli ndani yake? Au akimsomesha baadae anatafuta mwenye elimu na kumuacha. Niliwahi shuhudia na si kuambiwa mwanadada alimuacha mwanaume baada ya yeye kufika chuo tena mwaka wa...
  15. Machuchu

    Kuosha gari na Maji ya chumvi kunadadili rangi ya gari????

    Za mjioni wakuu poleni na kazi. Kichwa cha habari kama kinavyojieleza hapo juu. Kuna ugomvi mkubwa sana leo nimeushuhudia kati ya muosha gari na mwenye gari. Kama kawaida amepaki gari kaenda madukani mkaka akaliosha kuja akawa kashika kiuno anashangaa gari lake limebadilika rangi (Aling'aka...
  16. Machuchu

    Tabia hii Wanawake / Wanaume inaniuzi

    Habari za mwisho wa mwezi:- Katika maisha tunayoishi kuanzia watoto hadi kuanza kusoma, I-VII, I-IV, V-VI unaenda Chuo, Field na maisha ya mtanzania bila kusahau ni kuhamahama. Mnakutana na watu wengi na kufanya matukio mengi sana. Inapokuja mkapotezana kwa namna yeyote ile mkikutana hasa...
  17. Machuchu

    Mtoto wa miaka 4 na miezi anaumwa jino (Gego)

    Za leo wakuu, Naombeni ushauri ndugu zangu. Mwanangu anaumwa jino ambalo ni gego la kutafunia. Halijaoza bali limecrake tu. Kwa wanaojua tiba ya meno bila kung'oa maana naona mtoto ni mdogo sana. N.B Nilienda Hosp ya Private walikataa kumng'oa kwa kua mtoto ni mdogo sana wakanishauli atumie...
  18. Machuchu

    Naombeni msaada ndugu zangu wa J.F

    Za leo. Husika na kichwa cha habari kama hapo kinavyosema, Mimi nina zaidi ya miaka mingi Sinywi maziwa ni kinywaji ambacho nimejitahidi kukinywa ila nimeshindwa kabisaaaaa.....nikinywa natapika sana, nikajaribu njia ya kuywa nimefumba macho pia ikanishinda. Imefika stage hata chombo...
  19. Machuchu

    Wamama ivi mnaakili na uchungu kweli?

    Leo ndugu zangu. Nimeleta uzi huu kwa uchungu na masikitiko makubwasa. Ivi kwa nini unabeba watoto zaidi ya wa2 unaenda nao kariakoo kipindiichi karibu na sikukuu?? Kweli mwanao ummemzaa unashindwa kujua size ya nguo kweli au kwa nini usibebe nguo kama kipimo??. Najuaga wenye maduka hawakatai...
  20. Machuchu

    Mshana Jr nisaidie

    Za leo wakuu, Leo nimekaa sehemu kuwasikiliza wanaume 9 wakimpa pole mwenzao kwa yaliyomkuta. Uyu mwanaume alikuwa na mali na uwezo na biashara kedekede na nyumba juu, alibahatika kuoa akapata watoto wa2 wa kike.... ila kwa imani za kiislam uyu mwanaume akaamua kuoa mwanamke mwingine kisiri bila...
Back
Top Bottom