Search results

  1. Machuchu

    Nimechoka kupokea wageni

    Huko ni kujiendekeza tu. Kabla ya kuolewa dada yao walikua wanaishije, maisha magumu sasahiv WAGEN ambao hawana moangilio sio fresh na Wala sio roho mbaya Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  2. Machuchu

    Serikali kupitia NECTA, Posho kwa walimu wanaosahihisha mitihani ya Taifa sio haki

    Mimi ndio maana kila mtoto WANGU akisogea darasa huwa natenga siku NANUNUA sukari, sabuni, chumvi, vitunguu naafuta nawapelekea japo kidogokidogo na huwa wanafurahi Sana zaidi ya Sana. Utakuta mwalim kavaa liatu au shati limechakaa had huruma Yaani hata Mimi ninae fanya biashara ya umachinga...
  3. Machuchu

    Kisa cha kweli: Tarimo alimlipa Measha Toyota Stout baada ya fumanizi

    Sio HARAKA kama anakimbizwa na kenge wa bluu
  4. Machuchu

    Kilimanjaro: Asasi inayohamasisha Ushoga na Usagai yafutwa

    Askari wa zenji ndio kaibua haya yote na kiwafungua macho wananchi na TAIFA kwa ujumla
  5. Machuchu

    Hatimae nimepona Masundosundo

    Huu ndio ugonjwa GANI au unaaminisha mafundofundo (tonses)
  6. Machuchu

    Mke wangu ana uvimbe kwenye ovari (ovarian complex cyst)

    Yaan nikisikia hivi mnazidi kunipagawisha
  7. Machuchu

    Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Kwa kipato chake, mbona nyingi Sana Mimi binafsi million ya pamoja sijashika kama yangu....mtu anasilimua kafilisika elfu 50 itakua M.4 acha masihara mkuu alaf KUMBUKA kakwambia kwa miaka iyooo
  8. Machuchu

    Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Kunywa soda hii sentesi ya mwisho
  9. Machuchu

    Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Hayo ndio yanayo nikost Mimi na mume WANGU... FUNGA, fungua kila siku ela z uku zinaend kununua vinywaj kwa wiki yeye peke yake anakunyw kret 3 had 4 maana anajua n MARAFIKI na si mchoyo....nimeongea NIMECHOKA NIMEAMUA nikae kimya na mm sinywi pombe lakin mwenzangu Muhaya huyu anakoga sio kunywa
  10. Machuchu

    Kitunguu swaumu kinazuia influenza!

    Unatafuna then inapiga mswak ukimaliz hapo unatafuna PK Ile ya blue yenye mint
  11. Machuchu

    Faida ya kitunguu maji katika mwili wa binadamu

    Mimi ndio juice yangu kuu kabla sijanywa chai Ila ukinywa lazim ukae utulie kama dakika5....kuhus ushuz Wala haunuk
  12. Machuchu

    Hakuna uzazi

    Nimejifunza kitu Asante sana ..... Ila umishafanyiwa opereshen ya mayoma yanaweza KURUDI kwa muda gani tena
  13. Machuchu

    Nahitaji mwanamke asiyezaa

    Unamtia ujinga sasa
  14. Machuchu

    Nahitaji mwanamke asiyezaa

    Maana ya proved ni nini?
  15. Machuchu

    Ukomo wa Kutungisha Mimba/Kupata Mtoto kwa Me na Ke.............

    Na mama nae akiwa na miaka mingap....Raha sana
  16. Machuchu

    Msaada: Uvimbe wa wanawake kwenye kizazi

    Na wanavyojua kuuza bei kubwa sasa
Back
Top Bottom