Search results

  1. Florida Pangs

    Makosa ya uchaguzi "Kutoa Siri"

    yes uko sahihi kabisa, hii inaonesha kuwa hata sheria za uchaguzi zinalinda haki ya usiri wa kura ya mpiga kura.
  2. Florida Pangs

    Uchaguzi 2020 Mnyika: Tume ya Taifa ya Uchaguzi inashiriki mchezo wa kuvuruga Uchaguzi

    Sasa jamani Uchaguzi ukiendeshwa wanavyotaka kwamba mgombea hana sifa hajui kusoma wala kuandika, hajui kuandika hata tarehe yake ya kuzaliwa, huo utakua Uchaguzi au mkutano wa Chadema maana tunajua huko Chadena tunajua anachosema mzee wa Bilicanas hakipingwi. Ila binafsi sishangai kwa sababu...
  3. Florida Pangs

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

    wenzake wanatangaza sera zao yeye kutwa analalamika kwenye kampeni akishindwa ataibebesha lawama Tume wakati hana hoja za kuwashawishi wapiga kura wamchague. Kama vp na yeye atafute wanafunzi wake awapeleke kwenye mikutano yake, lakni ajue hata hao wanafunzi wanasikiliza Sera sio matusi na...
  4. Florida Pangs

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

    Tumeshamjua Lissu amerudi Tanzania kuhakikisha anavuruga uchaguzi ili awape mabwana zake huko Ulaya sababu ya kuutia kasoro uchaguzi maana anaamua kuishambulia Tume ili imchukulie hatua za sheria alafu ionekane anaonewa. Ila kama kweli anayo malalamiko ya maadili apeleke kwenye kamati za maadili...
  5. Florida Pangs

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

    majukwaa ya kampeni sio njia ya kufikisha malalamiko ya kiuchaguzi.huyo lissu alichukua hatua gani kuwasilisha malalamiko kwenye kamati za maadili au amezoea mipasho kila kitu anajua ni siasa
  6. Florida Pangs

    Zanzibar 2020 Hongera ZEC kwa maamuzi ya akili. NEC ni tatizo katika Uchaguzi wa Bara

    Mimi tofauti ninayoiona ni kwamba huku NEC inaonekana wagombea wengi walioxhukua fomu ni mabwege na walilazimisha kuwa na sifa za kugombea wakati hawana, sasa NEC imelazimika kuwakata kwa sababu kama mgombea hajui kusoma na kuandika alafu analazimisha kupitishwa, mi naona NEC ilikuwa makini...
  7. Florida Pangs

    Uchaguzi 2020 Rufaa 557 za Tume ya Uchaguzi, tunataka Matokeo

    huyo aliyeandika DSM alipotakiwa aandike jina kamili alishindwa, sasa unataka tume ipitishe mambumbu wakagombee watupe shida wananchi kumsomea barua zake.
  8. Florida Pangs

    Uchaguzi 2020 Rufaa 557 za Tume ya Uchaguzi, tunataka Matokeo

    Kwan kinachoendelea sasa ni wewe bwege, iache tume ifanye kazi yake na kumbuka ni Tume huru isiyofanya kaz kwa mashinikizo yenu, we subiri kama na wewe umekata rufaa utapata majibu yako
  9. Florida Pangs

    Uchaguzi 2020 Ni hatua zipi za kisheria ambazo Tume (NEC) ina mamlaka dhidi ya mgombea anayetaka kusababisha uvunjifu wa amani?

    sijawahi kuona Dr mwoga kama wewe, kwa nn usimtaje uyo mgombea.Ila najua kwa sababu ni majungu yako dhid ya uyo mgombea huwez kumtaja, sasa sidhani kama kuna tume inayoshughulika na majungu ya vijiweni.
  10. Florida Pangs

    Uchaguzi 2020 Kazi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ni nini?

    Mngekuwa serious kuiongoza hii nchi msingetuuliza hayo maswali.Nyinyi endeleeni tu kukesha mitandaoni na kusoma vitabu vyenu vya ujasusi badala ya kusoma Sheria na Kanuni za Uchaguzi mnazopewa kwenye vikao na Tume. Shida yenu wakati tume inapowaalika kwenye vikao vya kikazi mjifunze na kuuliza...
  11. Florida Pangs

    Uchaguzi 2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

    Ukitaka kuamini kuwa Mnyika ni mnafiki, mwoga na lengo lake ni kuwateka kiakili Watanzania wajinga, kwa nini hayo maneno hakusema kwenye mkutano na badala yake aliwaita waandishi pembeni akawalisha upuuzi huu ndio maana hakuna hata chombo kimoja kimeripoti zaidi ya mitandao ya CDM.Mi...
  12. Florida Pangs

    Ikulu na Tume ya Uchaguzi waagiza magari mapya, huku hospital zikiwa hoi bila PPE wala bajeti. Watu wako busy kusaka madaraka na vyeo

    Mtoa hoja kama umeshindwa kufikiri kwamba magari ya Serikali hununui kama maharage kwa Mangi maana yake kuna siku utatuletea post utuambie bunge livunjwe na majukumu mengine ya Serikali yasitekelezwe pesa zake zinunue barakoa.Acha ujuha na kutaka kutufikirisha mawazo unayoyatoa kama unafikiria...
  13. Florida Pangs

    Benjamin Mkapa: Natamani kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi, Wapinzani wahusishwe kwenye kupiga na kuhesabu kura na kutangazwa mshindi

    Usilazimishe mawazo yako ndio yawe ndio uhalisia wa mambo na wala mkapa hakumaanisha kama unavyotafsiri
  14. Florida Pangs

    CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Mtoa hoja usipotoshe watu, Chadema imemuandikia Msimamizi wa Uchaguzi Mbeya na sio Tume ya Taifa ya Uchaguzi.Unavyoonekana hujui unachozungumzia ila kwa kifupi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hausimamiwi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
  15. Florida Pangs

    Plan B ya NEC kuwalisha kiapo makada wa CCM kujitoa chama

    Mtoa post hebu jitahidi kujifunza mambo kabla ya kuanza kukosoa, kwa mujibu wa sheria ya taifa ya uchaguzi kabla ya wasimamizi wa uchaguzi hawajaanza kutekeleza majukumu yao sheria inawataka wale kiapo cha kujitoa uachama wa chama cha siasa na hiyo ni sheria iliyotungwa na Bunge kwa hiyo hilo...
  16. Florida Pangs

    Hivi tume ya uchaguzi wanajisikiaje kusimamia vitu feki na kula mishahara bure?

    mi sidhani kama haya madai yako kama yana ukweli wowote, siku zote tume inapotekeleza majukumu yake inanukuu vifungu ya sheria na katiba sasa huo ufeki unatoke wapi labda utuletetee ibara za katiba na vifungu vya sheria unavyovisimamia kwenye hoja yako. mi nadhani kwa sababu katiba na sheria...
  17. Florida Pangs

    Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

    inaonekana mtoa post umetoka kulala unatusimulia ndoto yako, wenzako wanafikiria jinsi ya kuijenga tanzania ya viwanda we unaendekeza ndoto za kusimuliwa ambazo haziingii akilini.Afu unamtaja raia kama mjombaako hujui huyo ni mkuu wa nchi mpe heshima yake
  18. Florida Pangs

    Liwale: NEC yawataka wananchi kupiga kura kwa utulivu

    Kama una wivu na cheo cha Jaji au Uenyekiti wake, nenda ukasome nawe uwe Jaji, lakini binafsi nampongeza Jaji Kaijage, Dk Kihamia kwa majukumu yao wanayotekeleza kwa kufuata katiba na sheria.Endeleeni kusimamia chaguzi zetu kwa kuzingatia sheria.
  19. Florida Pangs

    Liwale: NEC yawataka wananchi kupiga kura kwa utulivu

    ni haki ya kila mpiga kura wa Liwale na kata 4 aliyejiandikisha, kujitokeza kupiga kura Oktoba 13
Back
Top Bottom