Search results

  1. V

    Kwanini CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani huwa hawachambui Bajeti ya Serikali ikishasomwa?

    Sawa ila mwendazake anajua na ndio maana alivuruga uchaguzi 2020
  2. V

    Head of State anaposhangaa kupokewa na Head of state

    mama anazidi kuifungua nchi........:D:D:D:D:D:D:D:D:D
  3. V

    Rais Samia amechanga karata zake vizuri

    Ndio uliletwa na yeye kwani uongo??alikuwa anapika data tu.alifeli kwa kila jambo mleta mada umesema kweli yote.aliamini kwenye kuvuruga nchi,vuruga uchumi wa nchi na wa wananchi,ukabila ulishamili hasa wa kipande cha wale washamba wachunga ng'ombe.
  4. V

    Haya ndio mazungumzo kati ya wana CHADEMA na Rais Samia. Haya ndio madai ya wana CHADEMA kwenye suala zima la maridhiano

    Sio kipimbi tu bali huyo ni msukule eti Magufuli alichaguliwa kwa asilimia 88 anajitekenya halafu anacheka baada ya huo ushindi ikaweje??
  5. V

    Absalom Kibanda awakosoa vikali CHADEMA, asema "Ukishakula nyama ya mtu huachi", Lema amjibu

    N huyo ndio anaitwa mwandishi nguli,sijui anawaza kwa kutumia nini.
  6. V

    Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

    Uko sahihi mkuu kama SOPHIA SIMBA NA MEMBE waliofukuzwa CCM kisha wakasamehewa na kurudishwa kundini hakuna kisichowezekana.
  7. V

    Gavana Luoga akitoa takwimu za mchango wa kanda ya ziwa kwenye uchumi wa Tanzania

    Mkuu mmoja si alitoka huko huko juzi juzi tu ndio aina ya hao watu,uliona alikokuwa anaipeleka hii nchi???wengi ni washamba na mazuzu kibao huo ndio ukweli japo mchungu.
  8. V

    Kiingereza cha Rais Samia

    Ni sawa Nyerere alikuwa yuko vizuri kwa Kiingereza ila aliharibu hadi leo wachache wanaweza kuwa fluent kwenye hiyo lugha,ni hao hao awamu ya kwanza kwa ubinafsi wao wakapindua mitaala ya elimu mara elimu ya UPE,mara masomo yote kwa kiswahili utadhani ndio kilikuja na hayo masomo nchi...
  9. V

    Zitto Kabwe: Tangu mwaka 2015 Serikali imepeleka Mabilioni ya fedha Mwanza ambayo haijulikani yanapokelewa na nani, CAG atueleze!

    Aisee!!! basi sawa ila bila shaka ni kule kule Chato.Mtawala hafuati sheria za nchi,taratibu zake wala kanuni sijui tunamuweka fungu gani huyu?
  10. V

    Zitto Kabwe: Tangu mwaka 2015 Serikali imepeleka Mabilioni ya fedha Mwanza ambayo haijulikani yanapokelewa na nani, CAG atueleze!

    🤣 🤣🤣🤣Wao walimuita shujaa wa Afrika sijui aliifanyia nini Afrika ??!!!
  11. V

    Baada ya tukio hili hajaonekana tena hadharani

    ''Naweza kukufanya usiongee hapa Bungeni mwaka mzima na usinifanye chochote" 🤣 🤣
  12. V

    Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

    Anaemsujudu yeye alisema wazi kabisa kuwa 2020 hakuna kitu kitaitwa upinzani hapa Tanzania na kweli alilifanyia kazi kwa kushirikiana na Polepole na Bashiru je mbio zao waliweza kumaliza jibu ni hapana ila wao ndio WALIMALIZWA.Chadema ipo vilevile tena inapendwa zaidi.
  13. V

    Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

    Akili kubwa ni ile ya kupora wake za watu tu .
  14. V

    Kwani, watu wa mitandaoni siyo Watanzania? Rais Samia amejiongoza vibaya!

    ''HUKO KWENYE BUNGE LA KATIBA ALIFUATA NINI TENA AKAWA NAIBU SPIKA''Hii mada ya Mkuu MMM Umehitimisha kwa swali zuri sana, hawa ndio maccm mahili sana kujitoa ufahamu WANAJUA VYEMA katiba ikibadilika tu wao unawatoa nje ya reli.Nguvu yao kuu ni usalama wa taifa ,tume ya uchaguzi na vyombo vya...
  15. V

    Baada ya mapokezi ya Mbowe kudoda Hai, Shaka Hamdu Shaka atikisa Arusha

    Kongamano la UWT kumpongeza Samia sasa hayo ndio mapokezi ya Shaka mngekuwa mnapendwa hivyo mngehangaika kupora kura na kuvuruga uchaguzi mzima kama alivyofanya yule jamaa yenu kisha akasombwa na mafuriko ya Mungu.
  16. V

    Video: Afande IGP Sirro anamjibu nani hapa?!

    Sipati picha mwenda zake akuseme umjibu??weee!! 🤣 🤣 🤣 🤣
  17. V

    Sasa ni wakati sahihi Mbowe kuachia ngazi

    Mleta mada hakika unapitia changamoto za kimaisha na kiafya lakini pamoja na madhira hayo huachi kumuota Mbowe alikufanyia nini??Kibaya??
  18. V

    Askofu Bagonza: Tunahitaji Tanzania Mpya inayowezesha Raia wake kuishi kwa furaha na watu wasiokubaliana nao

    Hakika hatutasahau ufundi wa Muumba milele acha aitwe Mungu.
  19. V

    Iringa: Freeman Mbowe mgeni rasmi Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na BAWACHA

    CCM HAMJAKOSEA KUIOGOPA CHADEMA KULIKO CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA NCHINI NI CHAMA MAKINI,KIMEJIPANGA SANA RUHUSUNI MIKUTANO YA SIASA MUONE.
  20. V

    Wanachama CHADEMA wavutana vikali na Polisi Iringa, wakataa kushusha bendera zao

    Haya mapolisi ya nchi hii ni ya ajabu sana hayataki kujifunza yakiona bendera za Chadema miili inawatetema kama yule mkongo wa Yanga.
Back
Top Bottom