Kuna kadi ya tigo niliitumia muda mrefu sana Zaidi ya miaka kumi baadaye ikagoma kufanya kazi kupeleka tigo nikaambiwa muda wake wa matumizi umeisha nikapewa nyingine.
Nilikuwa natuma email kwenye info@heslb.go.tz kuulizia status yangu napewa mrejesho kwamba mailbox yao is full kwahiyo yangu haukuwa delivered. Wajitahidi basi kupunguza inbox yao meseji zetu ziweze kuwafikia.
Unapobadili sim card kwa ku swap inabidi kwa baadhi ya bank ikiwepo crdb bank kwenda kwenye tawi la bank husika na kujaza fomu ili ku activate huduma ya simbanking ambapo kwa bank ya NMB hali ni tofauti ambapo kazi hiyo unaweza kuifanya mwenyewe kupitia kwenye ATM za Bank ya NMB. Ninashauri bank...
Kutokana na uchaguzi mkuu wa Rais, Ubunge na Madiwani kutarajiwa kufanyika siku ya tarehe 25/10/2015 ambayo ni siku ya jumapili .
Ni busara makanisa kama inawezekana wakubaliane kufanya ibada siku ya Jumamosi ya tarehe 24/10/2015 ili kuwapa waumini wao nafasi ya kupiga kura kwa ufasaha siku ya...
Nenda ukasome Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa TZ za mtu mwenye sifa za kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu. Ni lazima atoke kwenye chama kilichopata wabunge wengi na awe amechaguliwa kwenye jimbo la uchaguzi. Wabunge wa viti maalum au walioteuliwa Rais hawana sifa hizo isipokuwa uwaziri wa kawaida au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.