Search results

  1. Elly255

    Natafuta ofisi Mwenge, bajeti laki 2/mwezi

    habari zenu wadau wa JF. kama kichwa cha habari, natafuta office ya kupanga eneo kuanzia kivulini mpaka roundabout ya Mwenge. Office yaweza kuwa ground flow au hata gorofani. Nb: office iwe karibu na barabara kuu ya ubungo-Mwenge. Bajeti yangu laki 2 kwa mwezi. Kama unayo njoo PM faster tuyajenge
  2. Elly255

    Master bedroom inahitajika-Kimara korogwe

    Rejea mada tajwa hapo juu. Chumba cha kupanga kikubwa ft 14 na kuendelea chenye choo ndani, tiles, na gypsum kinahitajika haraka. Chumba kiwe ndani ya fensi yenye geti. Bajeti 100k kwa mwezi. Kama unacho njoo PM mapema
  3. Elly255

    Naomba kujuzwa Kuhusu Diploma in Diagnostic Radiography

    Wadau wa JF habari zenu, Mimi kijana wenu leo naomba kujuzwa ni chuo gani kwa hapa Dar kinatoa kozi hii ya Diagnostic Radiography kwa ngazi ya Diploma. Udahili unaanza tar ngapi kwa mwaka huu wa fedha 2020/2021. Asanteni
  4. Elly255

    Ni wapi nitapata dawa hii

    Wanajamvi natafuta suppliment hii kwenye picha. Kama una information zozote inakopatikana tafadhali njoo PM tuzungumze. Nahitaji haraka iwezekanavyo
  5. Elly255

    Changamoto kwenye Whatsapp business

    Nimekuwa mdau sana wa kufanya biashara kupitia mtandao na njia yangu kubwa ya kuinteract na wateja ni kupitia Whatsapp. Hivi karibuni napata tatizo la kufungiwa (ban) mara kwa mara kutumia Whatsapp business, na sababu wanayoisema ni kwamba namba yangu imekuwa registered kwenye simu nyingine...
  6. Elly255

    Kampuni za kutengeneza software Tanzania

    Habari wana jamvi. Swali langu naulizia kama kuna kampuni za kitanzania ambazo ni za kuaminika. Wanaweza kutengeneza software mfano apps na sysytem za kulink mteja na mtoa huduma. Nataka nitimilize wazo langu . Picha ya kitu ninachikosemea ni mfano wa booking.com japo mimi nataka niifanye kwenye...
  7. Elly255

    Ni kipindi gani ulitamani dunia ipasuke uingie

    Kwa upande wangu nakumbuka ilikuwa 2003 kama sikosei niko primary. Siku moja jioni kwenye saa 12 jioni naenda zangu kuchota maji bombani karibu na mto, si nikaingiwa na tamaa ya kula muwa. Ikabidi nivamie shamba moja kuiba, aise kumbe mlinzi aliwepo akanikamata na kunifunga kamba. Hapo niliwaza...
  8. Elly255

    Je, ni halali kununua pesa chafu na pesa za kigeni mtaani??

    Wanajamvi habari zenu. Naamini mko vyema na mnaendelea kupambana. Kuna hii ishu huwa naifikiria sana. Mtaani kuna vijana huwa wanapita na spika wakitangaza kununua pesa mbovu na dola na pesa zingine za kigeni. Je kwa sheria za fedha za nchini kuna uhalali wa kufanya hii biashara?? Na kwanini...
  9. Elly255

    Kwa pesa ya laki 5 naweza kupata simu gani nzuri.

    Mimi ni blogger na mjasiliamali kwenye sekta ya afya kwa hivo natumia zaidi simu kufikia wateja wangu. Najua humu kuna wataalamu wengi kwa hivo naomba mnishauri simu gani nzuri naweza kuchukua kwa sh laki 5. Kwa kuangalia speed, convenience kwenye matumizi, camera, hard disk na uwezekano wa...
  10. Elly255

    Maswali 10 muhimu kuhusu Kurefusha uume

    Je uume wangu una urefu sahihi?? Ni swali ambalo kila mwanaume hujiuliza, ili kujiridhisha na kuwa mwenye kujiamini pale anapokutana na mwanamke Yafuatayo ni majibu kwa maswali yote kuhusu uuume na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kikamilifu. Swali 1. Ni umri gani mwanaume huanza kusimamisha...
  11. Elly255

    Tv yangu ya sumsung sijaelewa Display

    Wakuu habari zenu, Ni kama siku 3 zilizopita nimenunua Tv ya Sumsung M5000, 5 series yenye inch 32. Kila nikiwasha kuna picha moja haitoki kabisa hata nikiwa naangakia movie inakuwa inahama upande mmoja wa kushoto kwenda kulia. Nimeshindwa kutoa kabisa hii picha wazoefu naombeni msaada...
  12. Elly255

    YUKO WAPI MRISHO MPOTO

    Kiukweli namkubali sana mshauri huyu na mkosoaji wa serikali kipindi hicho. Ukisikilza nyimbo zake hakika hukosi point iliyojificha na meseji inakuwa sent kwa mlengwa. Sasa nauliza jama kaenda wapi sasa mbona simsikii tuseme haoni mambo maovu yanayoendelea nchini. WANAOUJUA ALIPO KWA SASA NA...
  13. Elly255

    Vigezo vya kununua friji

    Wadau wa tech poleni kwanza na shuguli zenu pamoja na vyuma kukaza. Nataka kununua friji dogo la kutumia kwa sh laki 4 adi laki 4 na 50 la kunitosha manake nipo single sitakuwa na makorokoro mengi. Naomba kufahamishwa brand gani ni nzuri na itadumu .na pia vigezo gani vya kuangalia ili...
  14. Elly255

    Naomba mwongozo jinsi ya kupata mke mwema hapa JF

    Wadau wa JF nawasalimu, Mimi ni kijana mgeni kwenye jukwaa hili, nipo hapa mjini DSM, mpambanaji japo elimu yangu ya kawaida, nimefanikiwa kupata degree moja kwenye mambo ye afya. Umri 26. Back to the topic. Naomba mwongozo kwa wazoefu namna gani naweza kupata mke hapa JF maana nimechoka...
  15. Elly255

    Msaada app ya kubadili maneno ya kingereza kuwa synonims

    Nahitaji msaada kama kuna namna au aplication naweza kupaste maneno mengi ya kingereza kisha yakabadilishwa kuwa katika maneno mengine ya kingereza lakini yasipoteze maana. Mfano neno effect ni sawa na impact sasa nataka namna ya kubadilisha maneno mengi kwa mkupuo..
  16. Elly255

    Nahitaji Bloggers waishio Dar tupeane uzoefu

    Kama tunavojua teknologia inakua kwa kasi, binafsi napenda vitu computrized na pia kutumia mtandao kuongeza kipato. Tayari namiliki website 1 na blog 1 zote kwa mambo ya afya . Nipo Dar napenda kukutana na wazoefu wa kuendesha websites na blogs wa hapa mjini tupeane uzoefu nipo open mind nataka...
  17. Elly255

    Ukweli kuhusu nyota

    Wadau wa JF, nimekuwa nkifatilia na kusoma kuhusu nyota tangu nipo primary lakini huwa sipati conectin vizuri kati ya nyota husika mfano mashuke au Nnge na maisha halisi, wakati mwingine huwa nafikria ni mambo ya kichawi, naomba mwenye uelewa vizuri atupe hapa tujifunze
  18. Elly255

    Vyuo gani vinatoa shahada ya food & nutrition

    Kwa mwenye uelewa naomba kufahamu kwa hapa kwetu vyuo gani wanatoa kozi ya food & nutrition kwa level ya bachelor wanahitaji vigezo gani. Mwisho Wa kuwasilisha.
Back
Top Bottom