Search results

  1. G

    CHADEMA ndani ya Sumbawanga

    Umati ni mkubwa sana waliojitokeza huko sumbawanga katika maandamano ya CHDEMA,CCM hata wagawe pesa kwa watu na kutoa magari ya kuwabea watu hawawezi kuwa na umati kama huu.Mungu ibariki CHADEMA MUNGU WABARIKI WATANZANIA WAENDELEE KUPATA UFAHAMU ILI MKOLONI MWEUSI ATOKE MADARAKANI.
  2. G

    Ushauri wa bure kwa CHADEMA

    Niushauri mzuri mpiganaji mwenzangu,nilishaongea na Mkt MOWE kuhusu ilo akasema watalifanyia kazi.Chadema viva.........
  3. G

    Maandamano ya CCM Singida Thibitisho la Kifo Chake

    Aisee CCM wamechoka,wanatia huruma sana,hakika hiki ni chama cha mkoloni mweusi,mauti imewakuta,wangeona maandano ya CHADEMA huko Rukwa jana wasingeongea,maandano yalikuwa yana watu wengi sijawahi kuona mpaka mwenyekiti mstaafu na wawilaya wa CCM walirudisha kadi za chama cha CCM na kujiunga na...
  4. G

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    Mandamano ya Chadema Mbeya kwa kweli yametia fola umati wa watu ulikuwa mwingi sijawahi kuona hakika watanzania wamechoka na ccm,gamba kweli hilivuliki.
  5. G

    CHADEMA sasa ndicho chama tawala

    Ni kweli kabisa Chadema ndicho chama tawala mana kina nguvu ya uma na ukitaka kujua kuwa kina nguvu ya uma angalia mikutano yake watu wanavyojaa ukilinganisha na chama cha wakoloni weusi CCM,Chadema viva ALUTA CONTINU.....
Back
Top Bottom