Search results

  1. toroka uje mjini

    Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

    Hivi akivaa cheni mguu wa kushoto anakua anamaanisha kitu gani,na akivaa cheni mguu wa kulia..pia anamaanisha nini? Mwenye kufahamu naomba anijuze
  2. toroka uje mjini

    Tundaman Kuingia na Jeneza, Simba SC yaomba Radhi

    Mh Mtulia alivotembea na jeneza Mkoani mbeya,,kuwa anawazika.Chadema,,wakati wa kampeni hapo inakuwaje?? CCM iombe radhi au[emoji2211]
  3. toroka uje mjini

    Nikiona binadamu anazikwa nachanganyikiwa mno

    Hakuna kitu kinaumiza saana roho,,kama paleee,,,mpate ajali pamoja halafu ufe we peke yako tu...daahh,,roho inauma saana hapo[emoji2211]
  4. toroka uje mjini

    Tusiopenda kufanya mazoezi tuna hoja, sababu na visingizio vya msingi sana; Tuvumiliane Tafadhali

    Mimi kufukuzana na upepo hilo kwangu halipo,au kubeba mavyuma mazito pasipokujua tajiri yangu ni nani atakaenilipa hilo nalo halipo.. Hakuna mazoezi ya raha kama kuogolea...nimejiunga membership ktk shule moja,(International school).. Kila ifikapo 11 jion naenda kufanya mazoezi huku nikiangalia...
  5. toroka uje mjini

    Kwa walio Dar es Salaam tu: Hili ndilo suluhisho la uhakika kukabiliana na gharama zilizopanda za internet

    Leo mwezi wa pili sasa tangia nimejiunga na Fiber wireless Internet.. Nazidi kujilaumu nlikuwa wapi siku zote hizi,nikifkiria jinsi nlivokuwa nikilambwa Mb zangu na voda pamoja na tigo kwa siku wananitafuna hadi elf6.. Kwasasa natumia elf70 tu kwa mwezi lkn tunainjoy familia nzima kwa kupata...
  6. toroka uje mjini

    Rais Samia kushuhudia Utiaji Saini wa Mkataba wa Bilioni 400 za Kujenga Skimu za Umwagiliaji hekta 95,000

    Hapo ndipo huwa napo Mkubali Mh Bashe...anaitumikia wizara ya kilimo kwa weledi kabisa[emoji2211]
  7. toroka uje mjini

    Endeleeni kupandisha bei za mafuta ili akili zitukae sawa

    Huku kwetu lita moja ya mafuta ya taa ni 3750....***** yanabei kuliko hata petroli.. Kweli kipara anaupiga mwingi[emoji2211]
  8. toroka uje mjini

    EWURA yatangaza neema nafuu ya mafuta mwezi Septemba

    Eti mafuta tulioyanunua july yapo njiani yataanza kutumika September [emoji1] Ukisikia manyumbu ndio hawa. Unaongelea September wakati leo hii bei ya lita moja ya mafuta ya taa ni 3750...
  9. toroka uje mjini

    Natafuta mchumba wa kunioa

    Samahami,na wewe ni dini gani Sent using Jamii Forums mobile app
  10. toroka uje mjini

    Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyookoka

    Sintosahau nimeenda dar,hio nyumba niliofkia kuna binti yao,alitokea kunipenda saana. Siku moja akanambia leo uje chumbani kwangu,nikamwitikia tu,kisha nikampotezea, Mtoto alinimaind saana siku ya pili yake,ikapita kama siku 3 akanambia leo usiache kuja chumbani kwangu,nikambia poa Siku hio...
  11. toroka uje mjini

    Miaka 16 imetimia tangu nilishinde pepo la uvutaji bangi na punyeto

    Mimi nimeweza kuacha kila kitu,lkn Nyeto bana imeshindikana kuacha,yaani nisipo gonga dem wiki moja tu,lazma nicheze na Vaseline[emoji1321] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. toroka uje mjini

    Arejesha $43,000 (98mil TZS) alizopata kibahati kwa muhusika

    Kutokana na hali ya sasa ya nchi yetu,ingekua hata elf 10,mimi nisingerudisha[emoji1321] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. toroka uje mjini

    Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    [emoji3]bonge ya picha hio Sent using Jamii Forums mobile app
  14. toroka uje mjini

    Nimekosa usingizi kabisa kwa haya nayosikia toka kwa wakwe zangu muda huu

    Hivi wewe ndio uliye olewa au umeoa,!!! Dume zima unakaa ukweni miska mitano sasa,bila hata aibu unasema eti mshahara wa mke wangu ndio unanisaidia,,,,Nyambaafff Sio bure wewe lazma utakuwa mwanaume wa Dar[emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. toroka uje mjini

    Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Richard Gere na Julie Robert hio movie huwa siichoki kuirudia kutazama Sent using Jamii Forums mobile app
  16. toroka uje mjini

    Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

    Mbiti yaza Sent using Jamii Forums mobile app
  17. toroka uje mjini

    Yaliyokutwa Uganda kwenye safe houses za Iddi Amin

    Hawa wanazidi tu kumzushia marehwmu Iddi Amini...hilo jamaa lilikua straight saana na alikua mtu mwenye imani saana..lkn ukiona wayu wanavyo mchafua unaeza kusema Amini alikuwa ni mtu mnyama saana. Hata vita vya kagera wanajeshi wetu walipigwa saana hadi kuchkua uamuzi wa kulipua daraja la mto...
Back
Top Bottom