Search results

  1. Entrepreneurial

    Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    Weka sample bhana ipelekwe TBS ikakaguliwe...
  2. Entrepreneurial

    USHUHUDA: Dunia, uchawi umeniacha hoi. Mungu nikumbuke

    Is 'Havard' a new university somewhere in the western countries?? Au imeanzishwa huku kwetu Africa? Kama anaejua anijuze tafadhali, nimepata hamu ya kurudi masomoni ghafla!
  3. Entrepreneurial

    Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

    Kalamu & zitto junior, Kwa heshima zote, maana mvutano wenu imejaa mantiki na uwezo wa mdahalo upande zote mbili Kwa nyakati tofauti tofauti. Lakini mnatuchosha! Cool down (hata kama usoni mna tabasamu) Hii dhahabu haiwezi thibitishwa imetoroshwa Tanzania ikiwa dhahabu ghafi. Period! Kwa...
  4. Entrepreneurial

    Nachukia sana kuona wahindi na waarabu wanakaa Upanga wazawa tunalala Mbagala

    Wazawa waache kuajiri wazawa kusaidia kazi za nyumbani kuanzia leo... haipendezi... tuwalete hao wasaidizi kutoka India, Uarabuni na Ulaya jamani.. ndio itapendeza !
  5. Entrepreneurial

    Kidogo chochote unachopata, kitunze tafadhali

    Mungu ni mwenye kurehumu sana... kila anayeteseka kifedha kwa mfano, Mungu ana sababu zake kukubali apitie magumu hayo... kwani ni kuamua tu na inakuwa kwa muumba wetu... kuna matendo yetu (sio lazima madhambi), kuna mazingira, kuna binadamu mwingine ana sababisha (mmoja kwa mmoja au la), n.k...
  6. Entrepreneurial

    Kwanini Hayati Magufuli aliwapunguzia mishahara watumishi wa TMAA?

    Ukishaona mtu anawatukana wengine huko akiwepo mwenyewe pia, ujue kashachoka maisha...tuongelee point mmoja tu ili isiwe ndefu...kama hizo stress zinatokana na mambo za kiuchumi, ujue ni mtu hana akili kubwa sana lakini anadhani vinginevyo.. AU, ana akili sana na bahati (fursa) pia anazo lakini...
  7. Entrepreneurial

    Baadhi ya wahindi na hizi biashara

    Wewe unalipa kodi kikamilifu? Tuache uwongo, ni kama tunataka kusema kwamba wahindi wote kwa ujumla wao wangelipa kodi kikamilifu, ndio serikali ingejitosheleza.. Tusisahau kwamba wahindi hawafanyi kazi kwenye idara yoyote ile za serikali, labda mmoja mmoja tu.. 1 in like 10,000 maybe (something...
  8. Entrepreneurial

    Baadhi ya wahindi na hizi biashara

    Na wanaopokea hiyo rushwa ni nani? Hao hao wahindi tena au??
  9. Entrepreneurial

    Ngurumo: Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu

    Laiti Watanzania wote wangekuwa wakweli kama wewe... nawaza tu... tungekuwa mbali sana... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Entrepreneurial

    Huu ni Unafiki wa kisiasa, Mwenyekiti wa CCM hukuona kuwa Mbunge wa Morogoro hafai?

    Umeipendaje bila kuelewa maana yake kwanza?
  11. Entrepreneurial

    Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

    mala paap, haupo... au hata mimi...kisa? mapafu yalibana ghafla...
  12. Entrepreneurial

    Afrika Kusini waanza kupitishia mizigo yao yakiwemo magari katika bandari ya Dar es Salaam

    Kuwa na vidole nyingi (ku type mitandaoni) au tuseme ulimi (hata kama ni mmoja tu) siyo hoja pia, watu wanaangalia akili iliyotumika kusema chochote anachotaka kusema bin-Adam (au binadamu ukipenda)...
  13. Entrepreneurial

    Kuna hatua ugonjwa ukifika ni lazima busara itumike. Mnauza mali zote kulipia matibabu, ndugu anakufa kisha familia inabaki na umasikini wa kutupwa

    Mleta mada nilikusihi kwamba unaumwa akili... lakini nataka niseme kwamba sikumaanisha nikuudhi... nilitaka niku engage ili tujadili zaidi kwa nini nimesema hivyo... hata hivyo, kuambiwa unaumwa akili sio tusi...Nimesha futa hiyo post yangu na utanisamehe hata kama hatujuani kwani kama ulisikia...
  14. Entrepreneurial

    Kampuni ya Maziwa ya unga ya Cowbell Matatani

    Kwa hiyo hilo supermarket ndio waka chukua hao wadudu waka wadumbukiza mle ndani?? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom