Search results

  1. O

    Eti uchumi umepanda kwa 7%

    Kwani ungekuwa we ndie Rais ungewambia nini wananchi?
  2. O

    Tofauti ya kisonono na kaswende

    Haaa! Hii ndo jf bana. Asante mkuu kwa somo lako.
  3. O

    Wana JF nisaidieni, jogoo langu limekuwa kero kwa wanawake

    <br /> <br /> siwezi kukulaumu kwani usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
  4. O

    Tunaibiwaaaaaa! Jamani wateja wa Vodacom someni hapa!

    @N-handsome& Rejao nina wasiwasi na hawa jamaa huenda ndo watuhumiwa no.1
  5. O

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Mh!! Kazi unayo kaka! Miezi 5 kishamegwa na mijibaba 2. Mwenye maamz ni wewe c kazi ye2 ni kujenga c kubomoa.
  6. O

    Wana JF nisaidieni, jogoo langu limekuwa kero kwa wanawake

    Ndugu wana JF wote nashukuru kwa ushauri wenu kwani nimeweza kupata wadau ambao wamenipa mbinu nyingi za kuweza kutatua tatizo langu ama kweli Jf ni kioo cha jamii. Mwenyezi MUNGU awabariki wote.
  7. O

    Wana JF nisaidieni, jogoo langu limekuwa kero kwa wanawake

    na mimi najua kama hiki ni chombo cha kuelimisha ndo maana na mimi nikakimbilia hapa. Naomba nikuhakikishie mi ninachokieleza ni cha ukweli na kama unabisha please nakuomba unikaribishe kwako ili nije nikuhakikishie hiki ninachokieleza ndani ya Jf. Wala mi co mhuni kama unavo dai mi nikimpata...
  8. O

    Wana JF nisaidieni, jogoo langu limekuwa kero kwa wanawake

    kuhusu wale wanaotaka kunijua kwa undani zaidi: mi ni kijana mtanashati wala mi co mchafu kama baadhi ya wadau wanavyodai, kuhusu saizi ya Jogoo langu likiwa limesimama linakaribia kufikia nchi 11 yani kwa ujumla ni kero tupu kwani siwezi kuvaa chupi ndani navaa pensi na suruali na hiyo pens...
  9. O

    Nimeathirika

    Nilidhani ni mimi tu kumbe tuko wengi!!! Mi na2mia cm ya mkononi mara nyingi nikiwa off unakuta niko bz sana na cm mpaka nahisi nataka kupofuka macho. Kuhusu gharama huwa c2mii gharama kubwa. Mi na2mia mtandao wa voda huwa nanunua kifurushi cha 50mb@Tsh 2,000 ambayo ina2mika@ muda wa cku 30.
  10. O

    Noti mpya hazina ubora?

    Hizo noti mpya balaaaaaa hapa ukweli ni kwamba wa Tz tumepigwa changa la macho.
  11. O

    Wana JF nisaidieni, jogoo langu limekuwa kero kwa wanawake

    Habari zenu, kabla ya yote napenda kuwapongeza wana JF wote kwa mchango wenu ambao mmekuwa mnaotoa kupitia humu JF. Mimi tatizo langu kubwa linalonisumbua kifupi tu mi nikijana mwenye umri wa miaka 25 (sijaowa) tatizo langu jogoo langu nikubwa mno kiasi kwamba mpaka imekuwa kero yani mpaka...
  12. O

    Foleni za magari dar zapatiwa ufumbuzi

    Mawazo yako nayaunga mkono@100% hivi una miaka mingapi ya kuzaliwa? Tunahitaji Wa2 wenye mawazo kama ya kwako mnafaa kuwa viongozi we2 nakushauri ugombea uongozi wowote kama U/kiti wa mtaa, udiwani, ubunge n.k Kweli kabisa naamini ukipewa nafasi unaweza kuikomboa hii nchi ye2. Big up sana.
  13. O

    Nimefiwa na mama yangu mzazi

    Pole sana jipe moyo utayashinda. Naomba Mwenyezi Mungu ailaze mahala pema roho ya mama ye2 mpendwa Ameeeeee
  14. O

    Naomba kuuliza

    Mara nyingi nimezoea kuona/kusikia kila kunapotokea fujo lazima utasikia kumetokea mauaji ya RAIA yanayosababishwa na jeshi letu la polisi, na hakuna hatua yoyote inayochukuliwa zaidi tu ya serikali kutoa kifuta machozi kwa wafiwa. Kwa bahati nzuri humu JF tunao wasomi wanaojua sheria vizuri...
  15. O

    Hasheem Thabeet afanya kufuru Bilicanas

    Huyo jamaa inawezekana ana laaaaana!!! Kama anajiona ana minoti ya kutosha, si bora hiyo minoti angeipeleka Tanesiko ili azuie mgawo wa umeme?
  16. O

    Mb. Vinzent Nyerere atoa mpya jimboni kwa Spika Makinda

    Ee bwana hii imetulia big up sana.
  17. O

    Mbunge wa TARIME apigwa na wananchi

    Safi sanaaaaaa
  18. O

    Sifa za mke MWEMA

    Haaaa! Ubarikiwe sana kwa somo la leo. Kuanzia sasa kwa kufuata mtiririko huu nina uhakika ntampata mke mwema. Asante sana MUNGU akubariki wewe pamoja na familia yako yote. Ameeeeeee
Back
Top Bottom