Search results

  1. Mbugusege

    Mafuta mazuri ya wanaume

    Mmmh hahaaaa kama alivunga ndo ujue ulikutana na shoga Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mbugusege

    Mafuta mazuri ya wanaume

    Yani ukitaka ugomvi na mwanaume aliyekamilika gusa makalio yake Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mbugusege

    Kwa wanaume: Mnampangia mtu aishi vipi afanye nini wewe inakuhusu nini?

    Mmmh tayari huko Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mbugusege

    Mafuta mazuri ya wanaume

    Mmmh kiruuuuu yelewiiiiii Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mbugusege

    Mpenzi wangu huvulia kufuli kwenye shuka, tatizo ni nini?

    Mmmh we ni mvumilivu miezi 5, unakula tu hujui hata sufuria wala chungu kilichopika!!, mi kwani naweza sasa lazima nione aisee Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mbugusege

    Joto kali lawakaanga Wairaq, lafikia 50C, wafanyakazi wapewa likizo

    Sio nguvu za kiume ni nguvu za kiumeme hahahaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mbugusege

    Joto kali lawakaanga Wairaq, lafikia 50C, wafanyakazi wapewa likizo

    Hahahaaa bado nafikiria hili wazo ulilipataje!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mbugusege

    I miss my ex man so much jamani

    Mmmh kupetipeti kwa maneno kweli hujambo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mbugusege

    Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

    Utafiti wa uongo mbona mbugusege sijamuona hapo kwenye namba moja Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mbugusege

    Siasa ni mchezo mchafu. Wasiasa sio watu wa kuchekea

    Hahahaaa wahenga walisema heri kenda shika kuliko kumi nenda rudi... Imekaa poa shikiria vzr ulichonacho mkuu
  11. Mbugusege

    Nahitaji sana kuoa walimu wa kike hasa wa sekondary au hata primary nitawapataje?

    Hahahaaa congrats to you madam for telling truth
  12. Mbugusege

    Serikali ya awamu ya tano inaongoza kwa uwongo kuliko serikali zote

    Duuuh uongo huu ni wa hali ya juu na sio wa kitaifa lkn mkuu kuanzia awamu ya kwanza hadi hii ya tano bado upo serikalini si ndo mabashite nyie mbaobana nafasi za watu wenye sifa, hahahaaa mtazamo tu....
  13. Mbugusege

    Wanawake bana

    Mmmh huyo kama ni mm nampa likizo bila malipo kwenda kwao
  14. Mbugusege

    Tuache masihara usiombe mwanamke akutongoze utajuta kuzaliwa, wanajua kutiririka hao

    Kyakyakyaaa kuwa makini jombaa asije akawa anakusomea ili akukwarue
  15. Mbugusege

    Hali ya mapato ya serikali yashuka, serikali haina pesa wananchi tujifunge mikanda

    Aisee uko sahihi unajua mi niliingia CRDB fence corner juzi yani ni kama vile sio siku ya kazi duuuh
  16. Mbugusege

    Hali ya mapato ya serikali yashuka, serikali haina pesa wananchi tujifunge mikanda

    Hahahaaa member umetisha, baba jesca hapendagi ujinga
  17. Mbugusege

    Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

    Kuna mzee hapa anasema hiyo mara nyingi huwa ni ishara ya kupatwa na msiba ila mi mwenyewe mgeni maeneo haya
  18. Mbugusege

    Yaliyonipata nimeamini mke wa mtu ni sumu

    Kweli mkuu we ni kubwa jinga effectively
  19. Mbugusege

    Vitambulisho vimeokotwa ni vya mama Jane Josia Haule

    Mfano kama hicho cha bima ya afya makosa yanafanyika na waandishi au waandaaji wa vitambulisho hivyo nakumbuka hata changu kina particulars ambazo sizo kabisa tar na mwezi ni sahihi lkn mwaka na majina walikosea spelling nyingi labda hivyo vingine
Back
Top Bottom