Search results

  1. J

    Ukerewe, Mwanza: Meli Mpya yenye uwezo wa kubeba abiria 500 yazinduliwa

    Unasstahili Viboko 12 wakati unaingia na 12 wakati unatoka ukautangazie Umma.
  2. J

    Prof. Ndalichako, Shule hii Soksi za 1,500 Tunauziwa 5,000/=

    We ndugu, imesemwa wazi kwamba, kama ingekuwa ya mangi mtaani isingekuwa na taabu hii wanaopata wazazi, -----huyu anatumia mwanvuli wa dini kuanzia jina (Martin Luther School) na Pia kujenga Kanisa refu na kuweka msalaba Mrefu kuliko structure yeyote pale na kupaka rangi ya kuonekana, na pia...
  3. J

    Prof. Ndalichako, Shule hii Soksi za 1,500 Tunauziwa 5,000/=

    Kinachonifanya niandike kwa uchungu ni shule hii kutumia mwavuli wa dini, mmiliki akitutangazia yeye AMEOKOKA huku matendo yake mimi na wazazi wengine wa hapa Dar na wa Dodoma nilikokuwa naishi, wengi tunaumia na tunaona tunaibiwa live. Dr Ngalichako nakuaminia najua utachukua hatua. Ingekuwa...
  4. J

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Asante Yesu na Unatupenda na Unampenda Rais wetu
  5. J

    Serikali yaonya Shule binafsi kuhusu michango

    Ama unazo za kuchota au umefanikiwa kumpeleka shule ambayo ni fair au we mmiliki ama hauko informed. kuna shule zinazotoza kupitiliza. jna nimetolea mfano wa shule moja kuwa Soksi za shule zinauzwa mtaani 1500, wanataka LAZIMA ununue shuleni kwa 5,000 Tracsuit inauzwa mtaani 18,000...
  6. J

    Ada elekezi shule binafsi tayari

    Katika Kero niliyonayo ni hili la michango tena ya kulazimishwa na wamiliki wa shule Nikawa na Mtoto shule moja ya msingi iliyopo Dodoma, Kero kubwa zaidi na kinachonikwza ni shule hiyo kutumia mgogongo wa Dini, jina la shule na Kujenga kanisa kubwa mkoa mzima na kuweka msalaba mwekundu mrefu...
  7. J

    Prof. Lipumba na Lissu wakosoa uteuzi wa Prof. Muhongo

    Of all appointments, this is the MAN. na ni kwa faida ya Watanzania. Thank you God, Thank you Magufuli
  8. J

    Ni mteule yupi wa Kikwete aliekuvutia katika utendaji wake wa kazi?

    Magufuli Mwigulu Kairuki Lukuvi (Ardhi tu) Makonda Mkuu wa wilaya likuwa Iramba siku hizi Lindi Prof Muhongo Rehema Nchimbi Dau ila tatizo ni asilimia zaidi 80 na hivyo kumfanya awe amepatia kwa chini ya 20% tu Msechu ila tatizo ni kibiashara zaidi na sio huduma ya kiserikali, nyumba za morocco...
  9. J

    Kwanini Dr. Tulia asijiuzulu kupisha uchunguzi?

    Heee, yamekuwa hayo. Kwani Yanayoendelea bandarini na TRA Mnadhani nani katoa Taarifa? Fikirini!
  10. J

    Niwaulize watu wa Arusha, mnataka mageuzi gani?

    Kumbe sasa Ukawa walishinda sehemu ya mikoa hiyo 4 na sema na huo wa dar inakuwa 5, ok chukua na Pemba. Kumbuka nayo ni sehemu tu, ni baadhi tu ya majimbo! je mikoa mingine yoote hiyo kura zilienda wapi? Halafu Lowasa Ameibiwa Kura!!!
  11. J

    Yametimia: MSD yaweka nembo za Serikali kwenye dawa zake; wizi wa dawa kudhibitiwa

    si ndio tunasema KAZI imeanza. mbona hamuelewi?
  12. J

    Vikwazo vitano safari za nje

    Mleta Maada ana jipu!
  13. J

    Salum Mwalimu katumwa na CHADEMA ayaseme haya au ni mtizamo wake?

    Kwa sana Ukawa heri wangenyamaza tu ili wajitafakari! mitaji ya kisiasa yote inazibwa na inaenda kuzibwa! Hivi ubungo stand, mia mbili zetu za kulazimishwa hata kama unatoka na bag kubwa na ticket umesahau ndani ya bus, zinatusaidia kweli?
  14. J

    Mwenyekiti wa CCM Singida ajiunga na CHADEMA usiku huu

    Msindi ana nguvu? Mbona ameangushwa ubunge na Mmama Salome 2010, na Jana Tu amepigwa chini kwenye kura za maoni Mkalama!
  15. J

    Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    Nimewahi kumuona Emmanuel Tv amekaa kama waumini wengine. kuhusu kumtabiria sijawahi kuona, na ninahisi watu baada ya kumuona wakaja na maneno yao ya kutengeneza story. TB namuamini kama nitapewa hiyo video nitathubutu kuanza kujifikiria. ila kwangu mie kwa sasa, nimechoka na CCM ila siweze...
  16. J

    Balozi Amina ndie alieshinda kwa wingi wa kura, CCM walimdhulumu

    Kura around 1,500 sio 1500000
  17. J

    Balozi Amina ndie alieshinda kwa wingi wa kura, CCM walimdhulumu

    Siamini na haileti sense. Tofauti ya Magufuli na Amina ni kubwa mno mno, kama Amina ndiye aliyeshinda then wangechakachua na margin ingekuwa ndogo ili hata wajumbe wasitilie shaka, sasa kura around 1,500,000 kwa 280 haileti maana kwamba wa 280 ndiye aliyeshinda! ingekuwa ndivyo ningetegemea...
  18. J

    Mwaka huu rais akitoka CCM nitajua Mungu hayupo

    What a serious Joke against God are committing? May u ask for forgiveness before the real God
  19. J

    Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    So so wel said. sina shida na Jaji na Mungu ambariki sana kwa wema wake. Tatizo ni kwamba aina ya watendaji wetu na watanzania kwa ujumla tunahitaji Dictator, Edo anaonekana anakubalika sio kwa vile msafi bali kwa sababu ya udictator wake, ila sasa wanaomzunguka mi kwake nilishajitoa nakuomba na...
  20. J

    Hivi hizi sifa alizopata Waziri Lukuvi, ni za kweli?

    JK Alichelewa sana kumpa wizara huyu ndugu Lukuvi, Uzuri wa huyu bana anaji interact na watu wa aina yote, anayapata mengi ya mtaani na kuyafanyia kazi, Mama Yule alikuwa nchomile, alikuwa hata hawasikilizi wataalamu wake. Migogoro mingi anaifanyia kazi na wafanyakazi nao wamepata mori
Back
Top Bottom