Foreign Affairs and International Cooperation minister Francis Katsaira said Tanzania has released a new Lake Malawi map which shows the east African country has taken a chunk of Lake Malawi, which is potentially rich in oil and gas..
“We have already reported them to the African Union and very...
Tujikumbuse post zetu za kwanza kabisa kwenye mtandao huu pendwa
je ni kipindi kile JF bado inaitwa jamboforum au ni hii ya sasa.
binafsi uzi wangu wa kwanza niliupeleka jukwaa la MMU kuomba ushuri kwenye masuala mazima ya mapenzi..
nawakumbuka watu walionipa tabu sana nijamaa mmoja waccm...
what are your opinions jamani..
when your partner moans and talks dirty?.. funguka some of your experiences..
huyu bibie totally got turned on when I would moan LOL
I think it is one of the sexiest parts of..., hearing your partner moan and enjoy herself.
personaly I dont like the...
"Ningekuwa mshauri wa Raisi Jakaya Kikwete kuhusu muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba,ningemshauri asisaini sheria hiyo iliyopitishwa na Bunge mwezi uliopita"
"ushauri wangu unazingatia lengo moja kubwa:kutengeneza muafaka wa kitaifa, na kwa maana hiyo makundi yote ndani na nje ya Bunge...
"why do we kill people who are killing people to show that killing is wrong?" -Holly near
"Never let your schooling interfere with your education" - Mark Twain
"To attain knowledge, add things everyday.To attain wisdom,remove things everyday" -Lao Tzu
Nimekuwa nafatilia kwa umakini mpambano unaoendelea kati ya Ruge na Jide, nimegundua Jide ni mpambanaji kama alivyo mh. Sugu, kwani Ruge wengi wanamuogopa ila Jide kausema ukweli ambao wengi wamehindwa. sasa nakushauri ujiunge na Makamanda wa kweli wApigania haki bila kuchoka.. fanya haraka...
Kipindi kinaendelea sasa hivi,
Wameongea mengi sana, mzungumzaji mkuu amesema JF ni mali ya chama flani na imejaa upotoshaji kuhusu dini ya kiislamu, imejaa matusi yanayomtukana Rais wetu tena matusi ya nguoni.
Kwakweli wmeongea mengi sana, pia wanalalamika watoto wa kiislamu kuminywa toka...
Kwa muda mlefu sasa tumekua tukisikia na kujionea vitendo vya kibuguzi nchini.
Nchii kila kona kuna cd za matusi,vipeperushi,magazeti n.k hasa mashambulizi hayo yanaelekea kwa wakristo(kwa jinsi nionavyo mimi)
ukiwa umejifungia nyumbani kwako unaweza usijue hali ilivyo mbaya sana,lakini...
wadau,
Kuna story niliambiwa ningependa kuifahamu vizuri
Nasikia kwamba huko Mara alikuwepo padri mmoja mzungu mbaguzi sana miaka ya 1950s inasemekana mzungu huyo alikua na mashaka kama kweli waafrika nao ni wanadamu kama walivyo wao wazungu.
Inasemekana ikafikia kipindi akawa anawabatiza...
may be it is our nature to have these super-rich, super-powerful people in our society...they are no ''real'' kings anymore but there are people making more or less officially the same calls that kings used to make(think of king mswati) hiko wazi tunitaji stonger leaders than we think we do...
Biggest wars
''I do not know what the third world war will be fought whith,but fourth world war will be fought with sticks and stones'' said Albert Einstein.war is not heatthy for children and other human beings.
THE BIGGEST CONFLICTS OF THE 20th CENTURY..
1.second world war(1935-45) 20 million...
title says it all.fungukeni kitu muhimu kwenye dunia hii kwamba bila hicho kitu shida ingekuwepo..
I want to see what every one says to this off the top of their heads..
Karibu
Vitambulisho vya Taifa vinanikumbusha uchaguzi mkuu wa 2010..
Kipindi hicho mgombea wa uraisi kupitia ccm alitawanya mabango yake nchi nzima hata kule kusiko fikika kwa urahisi {vijijini ndani}
nakumbuka Nyamagana ilienea mabango ya chagua Masha kwa maendeleo,kona hadi kona kuanzia buhongwa...
kwa hali ya kawaida soda na juisi ni vinywaji vinavyotumika kwenye sherehe mbalimbali, pia vinywaji hivi utumiwa na wengi kuwapa wageni
sasa nashindwa kuelewa kwanini mikutano au warsha za kisiasa zinaweka maji mezani badala ya soda au juisi.
au ni ule uvumi kwamba soda zina madhara ila sisi...
is there such a thing as natural talent? Au juhudi za watu tu zinawafanya waonekane wanavipaji.. Eti shule za vipaji maalumu, ni kweli hawa wana vipaji ambavyo ni maalumu au wametia bidii kwenye masomo kuliko wengine?
Wakuu heshima kwenu
dou you believe natural talent exist or do people...
Kwangu mimi, hizi hapa:
'Those who receive privelege have the duty to repay the sucrifice which others have made, they are like the man who has been given all the food available in a starving village in order that he might have strength to bring supplies from a distant place.If he takes this...
hii imenishangaza sana
mdada mmoja kwenye kipindi cha wanawake live amesema eti wadada wengi siku hizi wanajiingiza kwenye mapenzi sio kwa sababu wanawapenda sana wanaume bali ni kutokana na mfumuko wa bei unaondelea hapa nchini
eti wanawake wako tiyari kuishi na mwanaume asiyempenda ilimradi...
kwanza heshima kwenu wakubwa na vijana wenzangu,
kuna habari za kihistoria niwewahi kuzisikia lakini sikupata historia hiyo kwa kina na nimeona hapa kuna wenye uelewa mpana wa mambo yetu ya kihistoria hivyo basi nitapata majibu.
Kutokana na vita baridi iliyoanza baada ya vita kuu ya dunia na...
I think,
the average life expectancy will be over 100 in Europe but below 40 in Africa asia and America
nudity and sex will be common place on TV(both local and international Tv stations)
everything will probably be purchased on credit cards
free internet worldwide
am not sure if we'll be...
Yamesemwa ndani ya kongamano linalofanyika chuo kikuu cha Dar es salaam..
Mtoa mada mzee abdulatiful abdala kutoka kenya..alisema eti Kenya sasa imefika mbali kuliko Tanzania katika nyanja za lugha ya kiswahili..
Akikanusha hoja hiyo kutoka meza kuu,alisema eti kenya bado hawajatufikia katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.