Search results

  1. M

    Komando wa kike Jeshini

    Angalia vizuri kofia zao mkuu. nataka kukwambia tu kuwa kofia za makomandoo sio nyekundu kama ma MP(Military Police)
  2. M

    Komando wa kike Jeshini

    hayo ni mafunzo ya awali jeshini so kila mwanajeshi anapitia. nakumbuka nilipokuwa nafika siku ya kwanza nilitamani sana kuwa comandoo ila baada ya kuhitimu na kuanza mafunzo nilifeli mwezi wa pili wa mafunzo na kupata hitirafu kwny mguu wa kushoto. hakuna komandoo wa kike(taarifa toka vyuo vya...
  3. M

    Komando wa kike Jeshini

    hayo ni mafunzo ya awali jeshini so kila mwanajeshi anapitia. nakumbuka nilipokuwa nafika siku ya kwanza nilitamani sana kuwa comandoo ila baada ya kuhitimu na kuanza mafunzo nilifeli mwezi wa pili wa mafunzo na kupata hitirafu kwny mguu wa kushoto. hakuna komandoo wa kike(taarifa toka vyuo vya...
  4. M

    Tofauti kati ya computer science na IT

    Mimi niliwai kwenda IFM mwaka 2009 wakati nataka nisome IT na wakati huo nilkuwa tayar nimechukua form UDSM na niliambiwa unatakiwa uwe umesoma sayansi "O" au "A" Level. na pia kinaenda TCU kwa uchunguzi zaidi ndo nikapewa full details. QM uwezi fananisha na Mathematics za mlimani za watu wa...
  5. M

    Tofauti kati ya computer science na IT

    Mimi na muhitimu wa Shahada ya kwanza katika sayansi ya kompyupa. Mimi ninachofahamu ni kwamba Bsc in Computer Sc, Bsc in IT. Mfano: University of Dar es Salaam Bsc in Cmptr sc ni lazima awe amesoma Physics na Math (PCM, PGM) na darasa wanafunzi hufunzwa Mathematics pia mwaka wa kwanza mpaka...
  6. M

    Wahitimu hewa chuo kikuu cha dar es salaam 2012

    Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimewatunuki shahada wanafunzi wasio na sifa katika mahafali ya arobaini na mbili Kwa minajili ya kutunikisha Digrii za awali, Stashahada na vyeti kikundi cha pili saa saba na nusu Mchana Jumamosi ya tarehe 3 November,2012. Bahadhi ni hawa: 1.Jongo Nasra (shule ya...
  7. M

    Wahitimu hewa chuo kikuu 2012

    Jamani ni chuo kikuu cha Dar es Salaam Mahafali ya arobaini na mbili kikundi cha pili saa saba na nusu mchana jumamosi, Tarehe 3 November 2012. Na kama unataka kuhakikisha hili omba kitabu cha wahitimu kikundi cha pili mahafali ya arobaini na mbili.
  8. M

    Wahitimu hewa chuo kikuu 2012

    University of Dar es Salaam
  9. M

    Wahitimu hewa chuo kikuu 2012

    University of Dar es Salaam
  10. M

    Wahitimu hewa chuo kikuu 2012

    Tembelea link hii ya gazeti la Mtanzania Daima. Vituko vyatawala mahafali UDSM
  11. M

    Wahitimu hewa chuo kikuu 2012

    Nimesikitishwa sana na kuona wahitimu wasio na sifa kutunukiwa shahada zao bila kufanya mitiani yao ya mwaka wa tatu hata mmoja. ...................hii ni usibitisho tosha ma Profesa wetu kwa kweli waliopo kipind hk wanatia shaka sana katika elimu ya kizazi kijacho
  12. M

    Kuhusu sasatel

    Jaman bidhaa za sasatel nyingi zinaonekana ni feki . Mimi ni miongoni mwa wateja wa sasatel niliye uziwa mordem na min-laptop bomu .plz naomba ushauli wenu nifanyaje?
  13. M

    Msaada wa banjuka TTCL broadband

    Moja Sasatel wanatumia CDMA (Carrier detection media access) ambayo inakuibia muda bila ww kujua coz ukitumia Tsh 500 masaa 24 bila kudownload sasa utakua unafanya nini. Pili Bidhaa za Sasatel i mn hardware zao si za kuaminika Tatu Hawako tayari kumsaidia mteja anapopata tatizo
  14. M

    Sasatel na Simply kaeni tayari

    Sasatel na Simply Computers nawapa siku 60 na ndani ya siku hizo muwe mmenilipa pesa zangu na kuniomba radhi,kunilipa pesa zangu na kunipa fidia kwa kunipotezea muda na nishati yangu niliyopewa na Mungu,Kutoa fidia kwa watu wote mlio wasababishia matatizo kama yangu na kama haya au kati ya haya...
Back
Top Bottom