Search results

  1. Truths

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    Neno 'Sunnah' ina maana gani? Na neno Mutahab ina maanisha nini?
  2. Truths

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    Actually kitimoto ni nyama inayoliwa na watu wengi zaidi duniani. Kuliko aina yoyote ya Nyama.
  3. Truths

    Rasmi sasa Vladmir Putin atumia Gari yake Mpya iliyotengenezewa Urusi

    Nachojua Tanzania tunafanya mpaka sasa;- 1. Kuongeza viti kwenye magari ya mitumba yanayokuja kutoka nje ili kujaza abiria wengi, kama Noah, Hiace, Coaster, nk 2. Kuongeza bodi za fuso Fighter ili ziweze kubeba mzigo mkubwa. Pamoja na kuongeza spring na double tyre. 3. Kununua tairi mpya...
  4. Truths

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    1. Kwa mujibu wa hili hadithi hii imeruhusiwa;- In Madeenah there was a woman who circumcised women and the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) said to her: “Do not go to the extreme in cutting; that is better for the woman and more liked by the husband.” Narrated by Abu Dawood...
  5. Truths

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    Sasa Mkuu, kama ni hivyo ulivyofafanua hapa, huoni kua The whole thing about circumcision in general is traditional based and not religion?.
  6. Truths

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    Hapa ndio unataka kutoa tafsiri ama picha ya kua;- ile ambayo tunaiona ni Mila Potofu kitabibu. Laiti Mohammad angezaliwa ulaya, angeilaani mila hii potofu, kulingama na vile jamii inaona inafaa ?. Ambapo aliibariki Mila hii ya waarabu wajahilia. Yaani ukweli ni subjective na Mila iliyopo...
  7. Truths

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    A: Kwenye kipengele cha kwanza nilikua nakuonyesha jinsi ilivyo muhimu kubatizwa kama unamuamini Yesu na kuifuata Sheria. Nanyi hambatizwi. Kipengele cha Pili nilikua nakupa highlights ukasome Mathayo 5. Huone tafsiri ya Yesu ilivyo. Na jinsi mnavyompinga mengi ya mafundisho yake ya msingi...
  8. Truths

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    1. Agizo la Ubatizo ni La Msingi. Kwakua ubatizo ulitoka Mbinguni. Mathayo 21:25 Ubatizo wa Yohana ulitoka wapi? Ulitoka mbinguni, au kwa wanadamu? Wakahojiana wao kwa wao, wakisema, Tukisema, Ulitoka mbinguni, atatuambia, Mbona basi hamkumwamini? Marko 1:5 Wakamwendea NCHI YOTE YA UYAHUDI...
  9. Truths

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    Q. Umesema hapa kwamba Mohammad hakuja na jipya. Whats the point mpaka aje angali hana kipya alichokuja nacho?. Q.unafahamu kua Yesu Kristo alikuja na Kipya? Umesema waislamu wanafuata mafundisho ya Yesu. Na ukatolea mfano wa Tohara ya mwili. Mbona hata wapagani wanafanya tohara ndio kusema...
  10. Truths

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    Sasa Mkuu, hapo umesema mwenyewe kua YESU HAKUJA KUTANGUA SHERIA ZA manabii. Je mbona Mohammad hakua nabii? Unamuaminije sheria zake, angali sio Nabii kama manabii wengine waliokuwepo zamani?. Na pia kwanini Hamumpendi Yesu ambaye ni Mkuu zaidi?
  11. Truths

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    Bahati Nzuri unafahamu baadhi ya side effects za huko unakotaka kukimbilia. Nilidhani Uu mjinga sana. Nakushauri Acha kukurupuka ndoa. Wanaume wa Imani yako ni wengi sana. Tazama huko.
  12. Truths

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    Una umri gani.? Nenda kapate mafunzo ya Ndoa kanisani kwako, kwanza ili uelewe kwa kina zaidi nini maana ya ndoa. Kisha fanya maamuzi. Mathayo 10:37 Apendaye baba au mama kuliko mimi, hanistahili; wala apendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili. Mathayo 10:33 Bali mtu ye yote...
  13. Truths

    Kanye West under fire after saying slavery was a choice

    By the way time is not what matters, it can be 400, 40, 12 years, or 4 or 2 days of slavery. Even the Jewish nation were suffered on Egypt for 400 Years. The point, is choice or not a choice. My answer is...If you married to a whitewoman you'll understand how to comment wisely. Kanye knows best
  14. Truths

    Kanye West under fire after saying slavery was a choice

    The Problem here is most Blacks are racists. In USA alone, They have BET Television network. BET awards. I've never see TV pronounced for white people alone. Black people call themselves a Nigga/Negro but they don't want a whitemen to use that name. If a white pronounced that name they'll...
  15. Truths

    Wanaume wengi hawabebeki

    Pole sana. Wewe kila unayekutana naye ana matatizo. Mara anaparamia. Hajui ku sex. Mara anakula mtaji. Pole sana.
  16. Truths

    Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    Napenda harakati zake. Lakini Kupambana na Dola sio jambo rahisi. Wapo watanzania hapa nchini walithubutu lakini hawakufanikiwa. Walikuwepo akina Agustine Lyatonga Mrema. Maalim Seif Sharif. Dk.Wilbroad Slaa. Edward Lowasa. Walifanikiwa kuiyumbisha Dola kwa kiwango cha kukata na shoka lakini...
  17. Truths

    Aljazeera yachambua maandamano ya Mange, yaishangaa Serikali

    Nakubakiana na wewe kua AlJazeera ni wachochezi. Lakini kwa case ya Tanzania, wamechochea kitu gani?.
  18. Truths

    Nimeangalia FUTUHI mwanzo mwisho sijacheka!!

    Futuhi: Lafudhi ya makabila fulanifulani. Ujumbe mahsusi wa watu wa tabaka fulani la elimu. Hapo Ni Lazima, usicheke tu.
Back
Top Bottom