Matukio yanayotokea sasa katika nchi yetu ni mchanganyiko wa mambo mengi na la msingi zaidi nionalo
kwetu sisis watanzania kulalamika kwamba hali ngumu na viongozi hawawajibiki. Ok yawezekana kweli hawawajibiki wanakula rushwa au
wanajali maslahi yao kuliko ya nchi yao na wananchi wao.
Sasa...
This man will live forever in the hearts of many people because he gave himself to his country and people
the thing that you cant see today in modern leaders
Alipowaponda baadhi ya watu kugombea uongozi wa taifa watu wengi walimwona kama mzee aliyepitwa na wakati ambaye alikuwa anajaribu kutumia umaaruffu wake kuweka mtu ambaye watu waliona kama ni kuwachagulia kiongozi. Aliweza kufanikiwa kupendekeza mtu ambaye hatimaye alikuja kuwa kiongozi wa...
Imekuwa ni porojo tu ndani ya bunge juu ya posho za wabunge na viongozi wa serikali na idara zake. Nauliza swali moja : hawa wabunge wanapoomba kura za watu wanakuwa wamelenga kuwatumikia au wapo kwa ajili ya masilahi yao? Kama kweli wanawatumikia wananchi basi wakubali kutolipwa posho ili...
Jamani nisaidieni kujua. Hawa wanasiasa wetu mara nyingi wanahubiri wasiyoyaamini
wenyewe na hawajali wanaowarepresent. Hivi kweli hawa watu wana dini na wanamwogo mungu?pa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.