Search results

  1. Izack Mwanahapa

    Wapinzani Msione AIBU kuwapokea wahanga wa Demokrasia kutoka CCM

    Nianze kwa kutoa pole kwa wanasiasa waliopatwa na janga la kufukuzwa uanachama na chama cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni kwa madai ya kukisaliti chama chao katika uchaguzi mkuu wa 2015. Nawashauri wapinzani Wapokeeni tu wageni hao wakija na ikibidi wafuateni Muwashawishi wajiunge nanyi katika...
  2. Izack Mwanahapa

    MATOKEO HUHALALISHA MBINU au MBINU HUHALALISHA MATOKEO?

    Kuna mazingira yanayonipa wasiwasi sana kwa namna mambo muhimu kwa mustakabali wa taifa na mikoa yake, yanavyoendesha katika awamu ya tano. Inaniumiza kwamba nia, dhamira, na malengo mazuri kabisa ya kufikia matokeo yanayotakiwa yanaharibiwa kwa mbinu (hila, fikra, ubabe, uonevu ) za ovyo...
  3. Izack Mwanahapa

    Kwaheri UKAWA Kwaheri UKUTA

    U WAPI UKAWA ULIOTUMAINIWA NA WENGI ? Watu wataendelea kufeli tu na kufanya siasa za mitandaoni kwasababu ya kuhubiri wasiyoyatenda. Ni hivi majuzi tu kutokana na ukweli wa dhana kwamba "Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu" baadhi ya vyama vya upinzani viliunda umoja wao wakauita "UKAWA"...
  4. Izack Mwanahapa

    NI MWISHO WA DEMOKRASIA NA VYAMA VINGI TANZANIA?

    Baada ya nguvu kubwa kutumika kuzuwia kuonesha bunge live na kamati ya Maadili kutumia meno yake kunyamazisha baadhi wabunge mahiri wenye hoja kinzani kwa kuwafukuza bungeni. Siku chache zilizopita jeshi la polisi Tanzania lilitoa tamko la kuzuwia Mikutano ya Hadhara na Maandamano kwa vyama...
  5. Izack Mwanahapa

    Serikali kukomesha kizuri cha Mabenki ya Biashara

    HONGERA SERIKALI KWA JITIHADA ZA KUMALIZA KIBURI CHA MABENKI YA BIASHARA Hatua ya Serikali kuhamishia fedha zake zote kutoka kwenye mabenki ya kibiashara inatajwa kuwa inalenga kumaliza kiburi na mikogo ya MABENKI ya biashara dhidi ya wafanyabiashara na wajasiriamali wa kawaida. Tanzania...
  6. Izack Mwanahapa

    Ujenzi wa ajira mpya sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na tatizo kubwa sana la ajira kwa watu waliofikia elimu ya juu, elimu ya kawaida ya sekondari na elimu ya msingi. Ni wazi kwamba kutokana na ukubwa wa tatizo hili kila mmoja wetu anapaswa kutoa mchango wake utakaowezesha kutanua wigo wa ajira iwe ni kwa...
  7. Izack Mwanahapa

    Busara itumike ziara za kushitukiza sekta binafsi

    Jana katika vyombo vya habari imeripotiwa kwamba mmiliki wa Fore Plan clinik amekimbia kituo chake kutokana na ziara ya Kushitukiza ilivyofanywa na naibu Waziri Dr. Hamis Kigwangala. Habari hii ya Dr. Mwaka waandishi wameiripoti kishabiki sana. Hakuna aliyemuona Dr. Mwaka akimkimbia naibu...
  8. Izack Mwanahapa

    Ni kweli vyama vimeachwa na jeshi la mtu mmoja ?

    Unauonaje hii unadhani ni kweli kwamba Magufuli anafanya siasa za juu ya vyama (zisizo na unazi wa vyama) kama wasemavyo baadhi ya wananchi?
  9. Izack Mwanahapa

    Tunahitaji watu imara au taasisi imara?

    Ndugu Zangu hivi ili Nchi zetu za Kiafrika ziweze kuendelea kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni na kuleta tija katika maisha halisi ya watu tunahitaji nini kati ya "WATU Imara" au "TAASISI Imara" (We need strong People or strong Institutions) ?
  10. Izack Mwanahapa

    Tunahitaji viti maalum kombe la dunia ?

    Kutokana na team nyingi za Africa Mashariki kufanya vibaya katika mashindano ya kufuzu kushiriki Kombe la dunia kwa muda mrefu. Je, kuna haja ya kupigania kuanzishwa wa viti maalum katika michuano hiyo ili team zetu ziweze kufuzu kushiriki michuano hiyo?
  11. Izack Mwanahapa

    TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    Kinyume na ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari Hajaonekana kwenye sherehe za kupishwa kwa Mh. Rais na wala jina Lake halikuwemo kwenye orodha ya wageni. Hivi majuzi muhubiri maarufu kutoka nchini Nigeria TB Joshua aliwasili nchini kwa kile kilichoripotiwa na baadhi ya vyombo vya...
  12. Izack Mwanahapa

    Tume ya Taifa imeitangazia Zanzibar uhuru?

    KUMTANGAZA RAIS WA TANZANIA BILA MUSTAKABALI WA KURA ZA WAZANZIBARI NI KUITANGAZA ZANZIBAR HURU Nianze kwa kurekebisha kauli ya mwenyekiti wa tume ya Taifa ya uchaguzi NEC alipokuwa akijaribu kuziokoa kura za Rais wa Jamuhuri ya muungano zilizopigwa na kuhesabiwa huko Zanzibar kwa kusema...
  13. Izack Mwanahapa

    An overview on tanzania general election 2015

    1. Introduction Tanzania expects to have a general election in October 25 this year. Tanzania has managed to hold multiparty democratic general elections after every five years since 1995. The Tanzanian general election of 2015 will be the 5th election to be held since the restoration of a...
  14. Izack Mwanahapa

    Team za urais CCM zameza vijana

    Ikiwa imebakia miezi michache kuelekea uchaguzi mkuu hapa nchini. Team za wasaka urais CCM zinaonekana kuongoza katika kuleta mgawanyiko na uhasama baina ya vijana bila kujali itikadi zao za vyama. Ukifuatilia mijadala kwenye mitandao ya kijamii utagundua kuwa Team za urais CCM zinamashabiki...
  15. Izack Mwanahapa

    Afya ya rais ni muhimu zaidi kuliko pesa za escro na kujiuzuru kwa mawaziri na watendaji wa serikali

    Rais ni kiongizi mkuu wa nchi hivyo ni wazi kwamba afya ya Rais ikiyumba nchi itatikisika. Ndio maana nchi zote duniani hjali afya na ulinzi wa maraisi wao. Hongera sana Rais Jakaya Kikwete kwa kupona na kuwa wazi kuhusu ugonjwa wako, ni viongozi wachache sana duniani wenye uwezo wa kuwaweka...
  16. Izack Mwanahapa

    Ni aibu kwa kambi ya upinzani kulilia uongozi wa viti maalum kwenye Bunge la katiba.

    Ni mtu mmoja tu toka kambi ya upinzani aliyejitokeza na kugombea nafasi ya kuongoza kamati za Bunge maalum la katiba. Inakera sana kuona watu wenye uwezo wa kujenga hoja na kuongoza wanaogopa kujenga hoja zao na kuonesha uwezo wao kwa kugombea nafasi za kuwa viongozi wa kamati mbalimbali za...
  17. Izack Mwanahapa

    Dr. Kitila Mkumbo ni Mfano wakuigwa kwa wanasiasa wote wanaojiamini na Kujisimamia

    Dkt. Kitila Mkumbo azungumzia kujiuzulu kwake CHADEMA - YouTube
  18. Izack Mwanahapa

    Usiruhusu woga na kunyenyekea viongozi wa juu iwe sifa mpya ya uongozi tanzania

    Watu waliojaliwa uwezo na uelewa na Mwenyezi Mungu, wanajukumu kubwa la kuhakikisha uwezo, vipaji, karama, elimu na uelewa wao unatumika kusaidiwa wengi ambao kwa namna moja au nyingine hali ya maisha imewafanya wawe gizani na wakubali kuburuzwa na wajanja wachache. Kusaidia jamii...
  19. Izack Mwanahapa

    Kwanini watu wanamshambulia Jaji Warioba badala ya kupinga hoja zilizowasilishwa kwa hoja mbadala?

    Jana Jaji Joseph Sinde Warioba amewasilisha Bungeni Rasimu ya pili ya katiba kwa muda wa masaa manne kwa ustadi na umahiri wa hali ya juu. Amejenga hoja zenye mashiko jajo si lazima kila mtu mtu azikubali kwani watu tunamitazamo tofauti. Hakuna anayeweza kupinga ukweli kwamba Warioba ni...
  20. Izack Mwanahapa

    Dr. Kitila Mkumbo ni mfano wa kuigwa, nuru iliyokiangazia Chadema 2010 to date

    Ninakupongeza kwa jitihada, weledi na msimao wako, Japo wamekufukuza Hongera kwa haya: 1. Umeandika historia kwa mchango wako wa kuandaa ilani nzuri ya CHADEMA 2010 ilani iliyokijenga na kukipa umaarufu chama, 2. Umeonesha msimamo chanya kwa kuwa msema ukweli na msimamia ukweli, 3...
Back
Top Bottom