Search results

  1. geraldincredible

    Housing ya samsung note 9

    Wakuu mwanangu kapasua simu yangu samsung note 9 iko chakachaka. Nilikua nauliza msaada naweza pata housing yake na gharama inaweza ikawa shingap? Natanguliza shukrani
  2. geraldincredible

    Nawezaje kubadili Imei namba?

    Wakuu nina simu yangu samsung note 5, nataka nibadili imei namba nipeni ujuz jinsi ya kufanya. Nimesaidiwa mengi jukwaa hili hope na hili nitasaidiwa. Natanguliza shukrani. Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  3. geraldincredible

    Naenda kazini mke wangu...

    Kuoa raha
  4. geraldincredible

    Simu yangu inaleta ujumbe huu nikitaka kupakua App

    wakuu simu yangu nadownload toka muda ujumbe unakuja hivi tatzo linaweza kua nn??
  5. geraldincredible

    Tatizo la simu yangu inachelewa kujaa chaji

    Wakuu natumia simu aina ya samsung note9, ilikua inachaji fresh with dk 55 simu imejaa chaji yale ilikua fast charge...ghafla imezngua sasa hivi masaa matatu chaji iko asilimia 40. tatizo linaweza kuwa nini? Natanguliza shukrani.
  6. geraldincredible

    Rise and fall of Paul

    Daaaaah
  7. geraldincredible

    Msaada wa netflix

    Wadau simu yangu samsung note 9 inagoma kudownload app ya netflix Nasaidiwaje? Natanguliza shukrani
  8. geraldincredible

    Nadhani Pauline Zongo anahitaji msaada

    Jana mitaaa ya Kinondoni nimekutana na Pauline Zongo akiwa kachoka sana saa 4 asubuhi kalewa chakari na ana mwonekano kama kachoka inasikitisha sana...... Nadhani anahitaji msaada wa hali ya mali. Soma pia > Msikilize Pauline Zongo wa East Coast Team, anasikitisha sana
  9. geraldincredible

    Naomba kujuzwa namna ya kupata simu iliyoibwa

    Wakuu nimeibiwa simu yangu Infinix hot 9 na rafiki wa karibu. Msaada wa toka kwenu nampataje? Nimemfuatilia central majibu ya njoo kesho yamekuwa mengi nina kila kitu include IMEI namba.
  10. geraldincredible

    Nataka nianze kuishi ghetto

    Wakuu kuna uzi jinsi gani ulianza kuishi ghetto humu. Umenivutia nimeona nichukue room nione maisha yakoje ombi langu kama kuna dalali pande za Ubungo, Kimara na Mwenge anisaidie nipate chumba nianze maisha. Kama kutakuwa na dalali anicheki PM tuyajenge nataka chumba kuanzia elfu 50 na...
  11. geraldincredible

    Mifugo Tz Pet's Clinic

    Mifugo Tz Pet's Clinic inatoa huduma za matibabu, chanjo, operations mbali mbali, kuhasi na huduma nyingine nyingi kwa wanyama kama mbwa, paka, kasuku, njiwa, etc Madaktari wetu wana experience ya kutosha, kwani wamekua wakiifanya kazi hii kwa miaka mingi Veterinary Services from Mifugo Tz...
  12. geraldincredible

    Navutiwa sana na Nifah

    Wakuu habari za majukumu.Mimi bwana ni mchunguliaji wa jf toka zamani sana nilikua guest tuu kusoma thread za watu basi..Basi tangu nimeijua jf nikajikuta navutiwa sana na bibie Nifah. KWANINI ALINIVUTIA? Cha kwanza Nifah alinivutia(sio kimapenzi)kutokana na kushabikia vitu...
  13. geraldincredible

    SIO MAGUFULI TU HATA JK JIPU ALISHINDWA KUTUMBUA JIPU LA MSHIPA

    RAIS MAGUFULI NA JIPU LA MSHIPA WA MOYO Aprili mwaka jana nilifanya mahojiano na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, aliyeihudumia nchi hii kwa miaka 10 mfululizo wakati wa utawala wa Rais wa Tatu, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin Mkapa. Katika mahojiano hayo, kipo kipindi nilimtaka...
  14. geraldincredible

    Ushauri: Nimechoka kufananishwa

    Wakuu, Nimekua na jambo linalonitatiza sana katika kutembea na jinsia tofauti sijawai date na msichana aseme hajanifananisha na boy au ndugu yake yoyote. Msichana wangu wa kwanza(o level)nilimpata alisema nimefanana na mtoto wa anko yake ambae yuko UK(binamu najua alikua anakula).Yani alikomaa...
  15. geraldincredible

    Hatma ya walimu wa sanaa Tanzania

    Samahani wakuu, Naomba kujua hatma ya walimu wa sanaa (ARTS) waliopo vyuoni na wale waliomaliza chuo toka 2015. Naona kama washatupwa, zikiongelewa ajira mpya wanajisifu na zile ajira elfu tatu za sayansi ila kuna lundo la vijana wetu zaidi ya elfu ishirini waliomaliza chuo mwaka juzi hawajui...
  16. geraldincredible

    Press ya Roma inaanza saa ngapi?

    Roma ataongea saa ngapi Leo....
  17. geraldincredible

    Social Media Reactions as unknown people kidnaps ROMA-Mkatoliki

    Vanessa Mdee Wherever you are, God is Bigger than, Stronger than, Realer than all the other forces that be. Stay UP brother @roma2030 #VivaRoma #FreeRoma #FreeMoni roho inauma na nimetoka kumsikiliza mkeo redioni hajui hata ulipo sasa ndiyo nini is this where we are at now? Ma studio yanavamiwa...
  18. geraldincredible

    Tukio gani baya au zuri ulilolifanya ukiwa mtoto na unalikumbuka mpaka leo?

    Wadau nina swali Ni tukio gani ulishawahi kulifanya ukiwa mtoto mpaka leo ukikumbuka unatabasamu liwe baya au zuri kivyovyote... Upande wangu mimi Tukio zuri ni kufaulu mtihani wa darasa la nne aisee nilifurahi sikumbuki kama nimewahi kufurahi vile. Tukio baya nilikutwa na baba na mama...
  19. geraldincredible

    Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

    Habari Nimekaa nimewaza kitu wengi wetu humu hatufahamiani physical zaidi ya kukutana humu kwa njia ya maandishi ila asilimia kubwa hatujawai kukutana.Mimi ni mmojawapo tangu nijiunge humu sijawai kukutana na mtu wa humu lengo la uzi huu ni kujaribu kuangalia wadau wa humu jf kwa majina yao na...
  20. geraldincredible

    Mad President: Mwimbo wa mwanamuziki wa Reggae nchini Zambia, Maiko Zulu uliomletea matatizo

    MKASA WA RAIS KICHAA Miaka 11 iliyopita, mwanamuziki wa Reggae nchini Zambia, Maiko Zulu alitoa wimbo unaoitwa Mad President (Rais Kichaa). Wimbo huo ndiyo uliobeba jina la albamu yake aliyoitoa mwaka 2006. Wimbo Mad President ulimwingiza Zulu kwenye matatizo ya kibiashara, kwani Shirika la...
Back
Top Bottom