Search results

  1. M

    Kusini: Korosho kuzinyima mapato Halmashauri mwaka huu 2018/2019

    Madiwani wanalipwa posho kutokana namakusanyo ya ndani ya Halmashauri husika. Sasa kama Halmashauri hiyo chanzo chake ni ushuru wa mazao ikiwemo korosho tatizo linakuwa wapi?
  2. M

    Kusini: Korosho kuzinyima mapato Halmashauri mwaka huu 2018/2019

    Halmashauri nyingi za Mikoa ya Kusini zinategemea ushuru wa mazao mbali mbali kama chanzo yamapato ya ndani. Korosho ni zao moja ambalo lilikuwa linaziingizia Halmashauri fedha nyingi za ndani. Kwa mfumo wa ununuzi wa korosho wa msimu huu wa 2018/2019, Halmashauri zinaonekana zitakosa mapato...
  3. M

    Rais Magufuli ammwagia sifa Mzee Lowassa, amuita 'superman'

    Huwezi kumfanyia ustaarabu mtu mhuni. Dawa ya mhuni ni kuwa mhuni zaidi yake
  4. M

    Rais Magufuli ammwagia sifa Mzee Lowassa, amuita 'superman'

    Hujui unachokiandika....... Magufuli ni mbaguzi, hajiamini ni mtu wa kupenda kusifiwa hata kwenye vitu vya kijinga. Anaenda kudhalilisha Viongozi wengine kama alivyotaka kufanya kwa Mhe. Heche kule Tarime bahati mbaya akakutana na mgumu. Anaonesha wazi wazi upinzani/ukosoaji ni uadui dhidi...
  5. M

    Matamko kuhusu Elimu yaliyotolewa Mtwara ni hatari sana

    Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara alikuwa na ziara katika Halmashauri kadhaa ikiwemo Nanyamba. Katika ziara yake hiyo moja ya kundi alilokutana nalo ni watumishi wa kada ya Elimu (Walimu, Waratibu Elimu Kata, Maafisa Elimu na wengineo). Nilishangazwa sana na Mkuu huyu wa Mkoa aliposema...
  6. M

    Mbowe na viongozi 6 wa CHADEMA wafikishwa Mahakamani Kisutu, wasomewa mashitaka 8, wanyimwa dhamana hadi Machi 29

    Kwani nani yuko busy kati ya kina Mbowe na hao wanaowatafutizia makosa ya kuwabambikia ili wawaite kila kukicha Mahakamani na Polisi?
  7. M

    Watanzania Tumchangie Tundu Lissu

    JINSI YA KUCHANGIA MATIBABU YA MHE. TUNDU ANTIPHAS LISSU Benki: CRDB Jina la Akaunti: CHADEMA M4C Namba: 01J1080100600 Tawi: MBEZI BEACH _Huhitaji kwenda Benki_ Unaweza kuchangia kwenda kwenye akaunti hiyo ya benki kupitia huduma za M-PESA au Tigo Pesa na au Airtel Money kama ifuatavyo...
  8. M

    Umeme wetu Masasi

    Hapa kwetu Masasi umeme wetu umekuwa kama wa mshumaa, upepo ukivuma kidogo unazima. Tanzania ya viwanda yaja.............. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Ruvuma: Dkt. Mashinji (Katibu Mkuu wa CHADEMA) na Viongozi 8, watakaa Korokoroni Polisi kwa saa 48

    *Tuliokamatwa hapa Mbambabay ni*; 1. Mhe. Dr Vincent Mashinji (Katibu Mkuu) 2. Mhe. Cecil Mwambe (Mkiti wa Kanda) 3. Philbert Ngatunga (Katibu wa Kanda) 4. Ireneus Ngwatura (Mkiti Míos) 5. Delphin Gazia (Katibu Mkoa) 6. Zubeda Sakuru (Mbunge) 7. Asía Mohamed (Afisa Kanda) 8. Cuthbert...
  10. M

    Ruvuma: Dkt. Mashinji (Katibu Mkuu wa CHADEMA) na Viongozi 8, watakaa Korokoroni Polisi kwa saa 48

    Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Zubeda Hassan Sakuru akamatwa na Polisi Mbambabay Wilayani Nyasa. Mbunge huyó ambaye anatoka Mkoa wa Ruvuma amekamatwa mchana huu akiwa anakamilisha maandalizi ya Kikao cha ndani Wilayani huyó. Kikao hicho kinatarajiwa kuongozwa na Katibu Mkuu Dr Vincent...
  11. M

    USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

    Hata mtoto wa chekechea atakuona Juliana mpuuzi. Ukiangalia hata kwenye picha Wabunge wa CHADEMA wako wengi wewe peke yako. Maana yake umewafuata. Wacha ule kichapo
  12. M

    Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

    It is true that you have got nothing!! It is because you are narrow minded
  13. M

    Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

    Haihami Sema huelewi mfano huu. Fuatilia tangu tumeanza chaguzi kwa mfumo wa vyama vingi nani anapoteza Majimbo, Kata, Vijiji/Mitaa na Vitongoji na nani anaongeza katika kila uchaguzi. Hapo utaelewa maana ya mfano huo
  14. M

    Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

    Ukiwa na duka uwe unaangalia kadiri muda unavyokwenda duka lako linafilisika au linazidi kukua. Usijisifie tu kwamba una duka.
  15. M

    Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

    Subiri siku ifungwe uhame. Ukifanya analysis utajua ni timu gani inapanda kiwango kila awamu ya uchaguzi.
  16. M

    Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

    Kumbe ulikuwa hujui jana kulikuwa na uchaguzi? Pia kama hujui kama Songea Mjini kuna kata inaitwa Tanga basi ungeuliza
  17. M

    Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

    MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI KANDA YA KUSINI HALMASHAURI YA WILAYA MBINGA Kata ya Maguu Waliojiandikisha 6903 Waliopiga kura 4101 (59.41%) Kura zilizoharibika 29 (0.6%) CCM: 2355 (57.43%) CHADEMA: 1717 (41.86) MANISPAA YA SONGEA. Kata ya Tanga...
  18. M

    LINDI: M/kiti wa CHADEMA na Katibu wa tawi la Nyangamara wahukumiwa miezi 8 bila faini

    Ungejua mimba za mapacha mnazopigwa WANACCM hungeandika upuuzi huu.
  19. M

    LINDI: M/kiti wa CHADEMA na Katibu wa tawi la Nyangamara wahukumiwa miezi 8 bila faini

    Acha uongo na upuuzi. Hao akina Mathew walikuwa wanatetewa na Wakili Deusdedith Kamalamo wa Lindi tangu kesi inaanza.
Back
Top Bottom