Search results

  1. N

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Siku hizi hata GS na BAM wanagrade kama ni A,B,C,D nk kama unavyoona kwenye matokeo!! Siyo MTU una 70 ya BAM unawekewa S kama zamani Post sent using JamiiForums mobile app
  2. N

    Najitoa... CHADEMA Najiunga... CCM

    Utabishanaje akili huna...!!! Tena sibishani nakuelekeza maana unaweza kuwa hujitambui ulivyo.
  3. N

    Najitoa... CHADEMA Najiunga... CCM

    Ninawezaje kutafuta kiki kwa mtu asiyetumia hata 2% ya ubongo wake kufikiria? Yaani wewe kila kitu ni kukurupuka tu na ndo maana wengi tunakushangaa ulivyokurupuka hapo. Jitahd uwe unafikiria hata kidogo duu!!! Hata hivyo sidhani kama wewe una ubongo uliosawa maana unadhid kujidhihirisha tu...
  4. N

    Najitoa... CHADEMA Najiunga... CCM

    Kweli wewe ni mgumu wa kuelewa!!
  5. N

    Mbinu ya serikali kutaifisha IPTL na Pesa ya Manji

    Watu uelewa ni mdogo wanalazimisha kujadili vitu vikubwa ambavyo hawana uelewa navyo hata kidogo!! OK fine..manji ni supplier wa mihuli na sare lkn anaruhusiwa kumiliki ziada? Maana kama ni kusupply anapata tenda ya idadi inayotakiwa na kupeleka panapohusika kwa wakati, inakuwaje sasa ana...
  6. N

    John Bocco alienda Kufanya nini Cosafa

    Wewe ndo jibwa kubwa kuliko hata hao unaowambia mbwa,watu wanahoji alifuata nn wakati hakutumiaka? Kulikuwa na haja gani ya kumsafirisha kama kulikuwa na mtu anaweza kucheza nafasi yake? Matumizi mabaya ya pesa hayo
  7. N

    Yusuf Manji ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kukutwa na sare za JWTZ

    Ili uwe mhimili huru kwako asikamatwe manji.......
  8. N

    Rais Magufuli: Polisi fanyeni kazi yenu, hawa wanaoropoka wakamateni ili kusudi waisaidie polisi

    Sio kwa povu hilo utakuwa na maslahi binafsi wewe! Wakati mwingine wabongo hamueleweki mnataka nn na hamtaki nn,kila kitu kupinga!!kwa mfano wewe kuna siku katika maisha yako umewahi kuona Rais amefanya cha maana? Kila kitu kwako hakina maana!! Ni ujinga sana kuwa namna hiyo,unadhani kukosoaji...
  9. N

    Msukuma: Miswada mitatu ya dharura kama huna akili hata wakikupa siku 10 hutaweza ijadili

    Bora yangu ya kuokoteza kuliko yako unayeamini ya ukweli kumbe mjinga totally!!
  10. N

    Msukuma: Miswada mitatu ya dharura kama huna akili hata wakikupa siku 10 hutaweza ijadili

    Eti watu wamekomaa kumkandia msukuma....hivi ninyi mnaomkandia mnajua hata moja ya kumi tu ya ubongo wa msukuma hamna au sabb mna vyeti wakt ktk uhalisia wa maisha hakuna mlichokifanya!!! Msukuma siyo mwenzenu akili kubwa ile nadhani hata ninyi mnashangaa VP mtu mnayeamini hana akili...
  11. N

    Msukuma: Miswada mitatu ya dharura kama huna akili hata wakikupa siku 10 hutaweza ijadili

    Yaani ww hata moja ya kumi ya akili ya msukuma huna,fikiria Mara mbili nadhani unaelewa na nashangaa unatumia vigezo gani kusema hana akili au vyeti???? Msukuma siyo type yako kwa akili yake kubwa anaweza kukuajiri na kukulipa mshahara wowote unaotaka!!!
  12. N

    Aliemshauri ali Mayai kugombea Mungu anamwona

    Upumbavu wako hauvumiliki yaani wewe ni mjinga totally na inaonesha huelewi chochote juu ya Elimu!!!
  13. N

    Aliemshauri ali Mayai kugombea Mungu anamwona

    UDSM kuna certificate mpaka degree kama huelewi uliza....mfano wa certificate zao ni law ambayo hutolewa kupitia matawi yake kama mwanza,Zanzibar,mbeya,ukonga,iringa na hata hapo main campas!!
  14. N

    Rais Dkt. Magufuli na Serikali yako haraka sana imulikeni BBC idhaa ya Kiswahili

    Unaandamana ili ufanye nn cha kusaidia wananchi? Anayeandamana ni nani kama sio kushawishi wananchi wenye fikira ndogo waandamane. Mikutano inatusaidia nn? Eti wapinzani wamebanwa kwa hiyo unataka watukane wafanye fujo sawa tu!! Sisi tufunge maduka yetu kisa maandamano? Hivi yawezekana...
  15. N

    Rais Dkt. Magufuli na Serikali yako haraka sana imulikeni BBC idhaa ya Kiswahili

    Kwa hiyo wewe unataka chochote watangaze hata kama ni uchochezi? Hivi kweli watu humu wengi ni wajinga sana Ila wanaamini ni welevu,kama wewe una brain kabisa umewezaje kufikiri hiyo kauli ktk sentensi ya kwanza. Unaelewa weledi wa kazi ya uandishi na utangazaji habari? Unaielewa mipaka...
  16. N

    KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Jinga sana wewe kuliko watu wote waliowahi kuandika humu jf
  17. N

    Mafunzo kwa vijana wa vyuoni CCM yamalizika Hombolo, vijana wamuunga mkono rais Magufuli

    Kuliko unavyotia aibu wewe kwa unafiki na chuki dhidi ya wengine? Kwani kukusanyika kujadili mambo yao wewe unapata aibu gani kama siyo kuropoka.
Back
Top Bottom