Search results

  1. Gnaber

    Biashara kutoka China nitakayoweza kuuza mkoani

    Tochi,(headlights naona imekuwa fashion Siku hizi watu kutembea nazo usiku), kama mikoa ya baridi mablanketi yanatembea sana, batteries, radio za kuchaji kwa jua, kama Kuna udongo mwekundu brash za kufulia nguo, spare za pikipiki etc.
  2. Gnaber

    Supu is overrated

    Supu ni mlo unaoweza kutumia kwa breakfast ama kama chakula cha jioni haswa kwa watu wanaozingatia uzito na ufanisi wa chakula mwilini. Supu standard inatakiwa kuwa ni mlo uliokamilika, inaweza kuwa supu ya mbogamboga, sea food, ama nyama za kawaida Ila uwepo wa mbogamboga hâta kama ni supu ya...
  3. Gnaber

    Watu hufa

    Kuna mdada tulisoma nae, tulifahamiana Ila hatukua karibu kivile. Siku hiyo naona amenitext messenger ananisalimia Kisha akaniambia amenimiss sana alikua anaikubali personality yangu, nikashangaa kidogo kwa sababu yeye kitabia alikua ni introvet kwa hiyo sikuwahi waza kama angekua anatazama watu...
  4. Gnaber

    Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Mkuu Inaonekana unapenda sana kunya yaani kiasi unajinasibu nako kuwa wewe ni mnyaji bingwa zaidi hadi unakunyia ndani unapokula na kupumzisha akili, mbali zaidi mnachangia mande hicho kitendo..... Kuonyesha mpo serious mnahifadhi mbolea hadi inachachuka na kuanza kutoa harufu mbovu.... Kuvuka...
  5. Gnaber

    Msaada; Kupata soft copy ya kitambulisho nida

    Pm kumefungwa ndugu, mie Pia Nina shida mfanano tupe muongozo tafadhali.
  6. Gnaber

    Namna ya kukaanga yai kitaalamu

    Maziwa hufanya liumuke zaidi + kuongeza harufu na Ladha nzuri .... Kijiko kimoja au viwili tuu vyatosha.
  7. Gnaber

    Sharubati ya mboga za majani inatengenezwaje?

    Zipo mashine za kukamua juice bila kuweka maji, ila utahitaji mboga nyingi sana kuweza kupata walau glass moja ya hiyo juice. Kama unahitaji kutengeneza juice hizo lengo tu likiwa ni kupandisha pH ya damu yako basi naamini kula Moja Kwa Moja mboga mboga hizo pamoja na baadhi ya matunda yenye...
  8. Gnaber

    Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

    Kutoka DSM, najihusisha na ujasiliamali wa kutengeneza viungo vya chakula, detox tea, unga wa lishe maalum kwa ajili ya watoto, wagonjwa wenye upungufu wa kinga pamoja na wamama wanaonyonyesha, natengeneza mafuta ya kukuza nywele na bidhaa nyinginezo za urembo. Hua naandaa pia kwa ajili ya...
  9. Gnaber

    Maonyesho ya Bishara za Wajasilimali mikoa mbalimbali

    Jiunge na vyama mbalimbali vinavyohusiana na shughuli unazozifanya au vyama vya kijinsia hali etc, ukilipa ada wanakuadd kwenye list, vyama hivi hupewa mialiko na organizers na wao hutoa mialiko Kwa wanachama wao pamoja na taratibu za kushiriki. Kama ni mfanyabiashara Kuna TCCIA. Kama ni...
  10. Gnaber

    Somo kuhusu nyoka

    Mechanism ya kufanya kazi ya jiwe la nyoka ni ule uwezo wake wa kufyonza Kwa kua zina high binding affinity. Sasa mfupa, huu wa mnyama wa kawaida tuu mathalan wa ng'ombe aidha ukiuchoma au ukiuchemsha kwa muda mrefu sana au kwa kutumia pressure cooker (kama umewahi andaa supu ya kongoro hadi...
  11. Gnaber

    Watu wanatumia Akili sana kupata kipato mjini mipango

    Mkuu Kuna hii code walikufungulia!? Ile chupa anayotumia muuza mafuta momkama kipimo nadhani ni ya maji ya hills water,? ambazo Kitako chake kina asili ya kua flat, sasa wao wanaogelea na mkondo huo. Zile chupa hua wanazikalisha kidogo kwenye hot plate , zinapungua ukubwa maana yake kwenye...
  12. Gnaber

    Somo kuhusu nyoka

    Kama umejenga eneo ambalo nyoka walikuwepo hapo kabla inakua kama umevamia makazi Yao..... Utawaua mara Kwa mara. Kuna miti maalum ambayo hupandwa kama uzio... Miche yake hufanana kama mche wa kisamvu na ipo mingi tuu inauzwa mitandaoni. Kama unavichaka au bustani za maua kuzunguka nyumba...
  13. Gnaber

    TANZIA Msanii wa maigizo maarufu Bi Sonia afariki dunia

    Akicheza nafasi ya mama, sauti yake vile anaongea Kwa upole na utulivu bila kubwatuka hovyo kama wasanii wengi "wanavyoigiza katika uigizaji wao". Tena enzi hizo kabla ya kampeni za kuwaasa waigizaji waache maigizo Bali wavae uhusika katika kazi zao, hakika alinikosha sana. Hakika sote ni wa...
  14. Gnaber

    Nimejikuta ni mtu wa mawazo sana na bado ni kijana mdogo

    Niliwahi kusoma Mahali, hiyo Hali inaitwa mid-life crisis.... Ni hali ambayo watu wengi huwatokea katika umri was miaka 35-45 ila inaweza kutokea katika umri wowote pia. Wengi hua na mawazo ya kujilaumu na kujiona useless kisa tuu mtu ameshindwa kufikia malengo yake makubwa ya kimaisha...
  15. Gnaber

    Fanya vitu hivi ili usizeeke haraka

    1. Kula chakula hai/chenye kiini cha uhai Chagua chakula ambacho kiini Cha uhai wake haujaharibiwa kama ni tunda basi mbegu yake iwe na uwezo wa kuota na kuendeleza kizazi. Pia chakula fresh ni bora zaidi kuliko chakula kilichoandaliwa na kuhifadhiwa Kwa muda mrefu. 2. Kula chakula kizima Hii...
  16. Gnaber

    Naomba ushauri wa namna ya kuanzisha drinking water co

    Ishu muhimu katika kiwanda cha maji ya kunywa sio kuwa tu na cha chanzo cha maji, Bali ni kuweza kuzalisha maji katika mazingira yanayokidhi ubora ili yaje kua salama kwa mtumiaji. Kwa hiivyo hapo unachohitajika kujiandaa navyo ni kituo cha uzalishaji kinachokidhi ubora, mashine za kuchuja...
  17. Gnaber

    Mafuta/lotion gani nzuri isiyo bleach ngozi?

    Movit herbal inaweza kusaidia..
  18. Gnaber

    Msaada: Mdogo wangu aliye kidato cha nne ana ujauzito

    Kama performance yake shuleni ni nzuri mwacheni afanye mtihani, wanafunzi wengi wanaopata ujauzito shuleni sijui sababu ya udogo ama vipi matumbo Yao hua hayatokezi sana kiasi cha kuleta attention kwa watu, mshoneeni uniform oversize itasaidia kumsitiri. Mnatakiwa kumpa moyo kuwa hiyo sio...
  19. Gnaber

    Anayejua aina nzuri ya perfume

    Maduka mengi Ila kwa urahisi msimbazi kariakoo, yanapopaki magari ya mabibo na wanasukana sana watu huo mtaa, Kuna duka kubwa la vipodozi, perfumes bidhaa za usafi n.k jina limenitoka Ila linaonekana tuu..
Back
Top Bottom